Mungu alifanya kazi kwa siku 6 kisha ya saba akapumzika. Tuliwezaje kuijua kama ni Ijumaa, Jumamosi au Jumapili?

Mungu alifanya kazi kwa siku 6 kisha ya saba akapumzika. Tuliwezaje kuijua kama ni Ijumaa, Jumamosi au Jumapili?

Mjukuu wa kigogo

JF-Expert Member
Joined
Sep 19, 2023
Posts
445
Reaction score
1,094
Wakuu nina swali kidogo hapa.Inasemekana Mungu alifanya kazi Kwa siku 6 kisha ya 7 akapumzika.Sasa sisi waumini wa madhehebu mbalimbali tuliwezaje kuijua kama ni IJUMAA, JUMAMOSI au JUMAPILI?

FB_IMG_1696361386723.jpg
 
Mijadala yenye mrengo wa kidini siku zote haitafuti kufahamu ukweli, lengo lake ni kutafuta mabishano zaidi.
 
Mambo ya siku kuitwa sunday to Saturday yaliletwa na utawala wa rumi wa kale kwa kuangalia jua na mwezi na majina ya Miungu waliyokuwa wanaiabudu. Lakini siku ya kwanza inayotamamkwa kibiblia (christianity) ina maana jumapili then jumamosi ndio sabbath Mungu alipumzika
Fp7stb6WYAEeF9S.jpg
 
Sijawahi ona neno jumatatu, jumanne au alhamis au jumamosi kwenye Biblia.

Ambae amewahi ziona naomba anionyeshe na mimi👀
 
Nani amesema Sunday ni siku ya kwanza na Saturday ni siku ya saba?
Wapi kwenye Biblia au kitabu chochote imeandikwa hivyo?
 
Mambo ya siku kuitwa sunday to Saturday yaliletwa na utawala wa rumi wa kale kwa kuangalia jua na mwezi na majina ya Miungu waliyokuwa wanaiabudu. Lakini siku ya kwanza inayotamamkwa kibiblia (christianity) ina maana jumapili then jumamosi ndio sabbath Mungu alipumzika View attachment 2771051
Nani amesema Sunday ni siku ya kwanza na Saturday ni siku ya saba? Kitabu gani cha dini kimeandika hivyo?
 
Back
Top Bottom