Mjukuu wa kigogo
JF-Expert Member
- Sep 19, 2023
- 445
- 1,094
[emoji23]Kila siku ni siku ya mapumziko ni wewe tu na hela yako
Zaidi kabla ya Kristo number zilianzia 9 kurudi nyumaWakuu nina swali kidogo hapa.Inasemekana Mungu alifanya kazi Kwa siku 6 kisha ya 7 akapumzika.Sasa sisi waumini wa madhehebu mbalimbali tuliwezaje kuijua kama ni IJUMAA,JUMAMOSI au JUMAPILI?
Nani amesema Sunday ni siku ya kwanza na Saturday ni siku ya saba? Kitabu gani cha dini kimeandika hivyo?Mambo ya siku kuitwa sunday to Saturday yaliletwa na utawala wa rumi wa kale kwa kuangalia jua na mwezi na majina ya Miungu waliyokuwa wanaiabudu. Lakini siku ya kwanza inayotamamkwa kibiblia (christianity) ina maana jumapili then jumamosi ndio sabbath Mungu alipumzika View attachment 2771051