Mungu alivyomjibu mtesi wa Oliver N'Goma, dikteka Omary Bongo

Na izi ni roho za kiafrica... Tuna roho mbaya kinoma!!!! Na wakati huo huo ukute na ngoma za jamaa alikuwa anasikiliza

Sent using Jamii Forums mobile app
 
I see, just imagine unamuwekea vikwazo mtu asipate tiba ili afe, nawewe uendelee kutawala.
Baadhi ya viongozi wa Africa ni matatitizo kuliko matatizo yenyewe.
Viongozi wa aina hii wanaididimiza Afrika.
 
Miziki yaake ni ladha hadimu saaana kwel kizuri hakidumu

Ndivyo mnavyojidanganya mzehe! Kitu kizuri/wema hawadumu, ila sio wanaomfuata shetani kama oliva wenu n.k wanaomchukiza Mungu.
 
Hayo aliyafanya huyo Mungu? Duh huyo Mungu wa visasi na kuonyeshana ubabe mbona kama tumekwisha sasa.

Sasa badala ya kumuonyesha muhitaji figo kwa kumuweka hai ili aone watesi wake wakifa si angemtengenezea figo mpya?
Mungu wa Oliver alikuwa na uwezo. Wa kuuwa tu na si kuponya[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Karma !!!!


Hata kwetu mbona wapo tu?

Zamu yao is loading........
 
kumbe mfalme wa zuku kifo chake kilitokana na kunyimwa kusafiri kwa ajili ya kupata matibabu. Walaaniwe familia ya kina Bongo wapumbavu sana jinga kabisa
 
Viongozi wa Africa wanaviburi sana. Huwa wanajiona wao na MUNGU ni sawa.

Nachukia sana mtu ambaye ana hisi ana power ya kuamua hatima ya mwingine au maisha ya mwingine. Huwa nachukia sana watu wanaohisi wao wananguvu na mamlaka juu ya wengine.

Mbona amekufa sasa kama alijihisi yeye ni kidume kuzuia mwenzake asipatiwe matibabu?! Fala sana huyo Bongo.
 
Sawa
 
RIP Mfalme wa Zouk. Huyu mwamba alikuwa na ubunifu wa pekee kabisa katika kukuza soko la aina ya muziki aliokuwa anaupiga. Miaka ile ya mwanzoni mwa 90's soukouss ikiwa ndio inashika kasi ya ajabu, hakufanya ajizi. Katika albam yake ya Bane kuna nyimbo mbili za Lusa na Mayumba ambazo alifanya mchanyato wa Zouk na Soukous. Aliwaleta wanamuziki mashuhuri sana akiwamo Dally Ndala Kimoko(Soloist), Lokassa ya Mbongo(Rythym) na Ngouma Shungu Omba Lokito(base guitar). Hawa walitenda haki ya hali ya juu katika nyimbo hizi mbili.

RIP Oliver N'goma.
 
Mungu ni Fundi na Mungu hadhihakiwi
 

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…