Mungu alivyomjibu mtesi wa Oliver N'Goma, dikteka Omary Bongo

Best songs kwangu kutoka kwake ni bane na adia

 
Namkubali San mwanamziki huyo na nyimbo zako baneee na lusaa mwanamaa wa ndandyeee, kumbee Gabon ndio og

Lusa mwana mama la Danse la we
Ukosi la Dublin fuche
Beu kiboko na nyogii

Lusa usiwasililize watu
Maneno yao ni kama mbu
Wanakupigia kelele masikioni!!!
 

Asante mkuu!!
Binafsi huyu ndo mwanamzuki wangu kuwahi kutokea kwenye bara hili!!
Kuna siri nyingine kuhusu chanzo cha umauti wa NOLI
 
Ila huyu jamaa alikuwa fundi sana mziki wake hauishi utami kila siku kama umetoka leo. Huelewi anaimba nini lakini unafeel.
Nge kwa mfano kumbe ni sala ya mwanamke mwenye kupitia wakati mgumu anamuomba Mungu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…