Mungu aliyeumba Milkway(kilimia) galaxy na ulimwengu kwa ujumla ni mkuu sana

In short bado haujui maana ya theory kwenye science...unaichanganya na maana ya Theory in Language.
Utakuwa ulisoma HKL
Basi toa maana ya theory kisayansi na pia maana ya law kisayansi..na utujuze tofauti ya law na theory e.g The law of motion,, relativity nk same kwa theory.
 
Please edit to 300.000km/s and not 300km/s
 
3. Our universe ( Milky way Galaxy) with 9 planet (entirely solar system) including our home
Hapana, umeskosea sana
Solar sytem (mfumo wa jua) ina Planets 8.
Tunaweza kuuita mfumo wa jua kama NYOTA MOJA (SINGLE STAR)
Kwa hiyo basi:
----Galaxy moja ina Billions of STARS; our MILKY WAY GALAXY has 100 Billion stars
----Universe ina Billions of Galaxies
There are about 125 billion galaxies in the observable universe.
Hizi ni zile zinazoonekana tu kwa kutunia darubini, lakini idadi halisi ni kubwa kuliko hii
 
Na kuna countless galaxies out there!!!/(“‘>~**}!!! Atukuzwe!
 
Basi toa maana ya theory kisayansi na pia maana ya law kisayansi..na utujuze tofauti ya law na theory e.g The law of motion,, relativity nk same kwa theory.
law/principle kwenye sayansi ni maelezo ya nini /kitu gani hutokea kwenye ulimwengu kukiwa na circumstance fulani. Lakini
Theory kwenye sayansi ni maelezo ya kwanini hiko kitu hutokea hivyo kwenye hizo corcumstances.


Mfano: Newton’s law of gravitation inaelezea nini kinachotokea pale unapokuwa na Mass mbili (Lazima zitavutana kwa nguvu iliyo sawa na product ya hizo mass mbili, gawa na square ya umbali kati yao)

Lakini Eisnstein’s general theory of relativity imeelezea kwanini hizo mass mbili huvutana (kwasababu mass inacurve space inayoizunguka,kwahyo hii curvature ya space ndio husababisha gravitational force)

So tunahitaji law kujua vitu vinatokeaje lakini tunahitaji theory kujua kwanini hutokea hivyo.
 
Nobody can prove kwamba alitamka tu vikatokea lakini uwepo wa hizo sayari nyingine ni proof ya supernatural creator same way kama simu/computer unayotumia ku post hapa ni proof ya kuwepo kwa mtengenezaji ingawaje hujamwona.
 
Ukiachana na hayo, Mimi binafsi nikiangalia angani na kuona nyota zilivyozagaa vile nafsi inaniambia kabisa kule kwenye nyota Kuna watu au beings zozote like humans zinaishi unakuta nao wanashangaa angani kama sisi na kujiuliza maswali kama nijiulizayo Mimi, Huwa nafsi kama inaniambia kuwa Kuna historia ya binadamu siijui...
 
Au unakuta hata somewhere nje uko wako viumbe ila hawana uwezo mkubwa kiakili wa kufikiri...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
uwepo wa hizo sayari nyingine ni proof ya supernatural creator same way kama simu/computer unayotumia ku post hapa ni proof ya kuwepo kwa mtengenezaji ingawaje hujamwona.
Actually it doesnt prove or disprove anything
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…