johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Dar es salaam tumeongeza maombi!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wakati huu hamjasema zimenyesha kwa sababu ya nani na kupamba eeh.Ahsante Mungu kwa kusikia na kujibu maombi yetu ya kuomba mvua. Nimeshuhudia mvua zikiendelea karibu maeneo yote ya kanda ya ziwa.
Mkoa wa Mwanza, Geita, Shinyanga, Kigoma, Musoma, Sumbawanga n.k mvua inamwagika. Sijui maeneo mengine.
Tuendelee kumuomba Mungu.
Shinyanga sehemu gani mana ndio nimepita jana kukame kma chadAhsante Mungu kwa kusikia na kujibu maombi yetu ya kuomba mvua. Nimeshuhudia mvua zikiendelea karibu maeneo yote ya kanda ya ziwa.
Mkoa wa Mwanza, Geita, Shinyanga, Kigoma, Musoma, Sumbawanga n.k mvua inamwagika. Sijui maeneo mengine.
Tuendelee kumuomba Mungu.
Mikoa mingi haina mvua kipindi hiki, sio Dar peke yake.Ila watu wa dar bana. kanda ya ziwa mvua zipo kama kawaida. wakati mnalalamika ukame,kanda ya ziwa walikua wanawashangaa
Huu ni msimu rasmi wa mvua hizi.Ahsante Mungu kwa kusikia na kujibu maombi yetu ya kuomba mvua. Nimeshuhudia mvua zikiendelea karibu maeneo yote ya kanda ya ziwa.
Mkoa wa Mwanza, Geita, Shinyanga, Kigoma, Musoma, Sumbawanga n.k mvua inamwagika. Sijui maeneo mengine.
Tuendelee kumuomba Mungu.
Poleni Sana dear. Maji ya kuoga na kuflash vyoo yapo??Dar na yenyewe imeanza joto lilikuwa too much
Yapo dear ninapoishi maji hayajawahi kukatika changamoto ilikuwa joto Leo nitalala nimejifunika aiseePoleni Sana dear. Maji ya kuoga na kuflash vyoo yapo??
Babu kama una imani juu ya Mungu basi utakuwa umenielewa nilicho kisema.Mleta mada unashindwa kutambua kwamba mwisho wa mwaka miaka yote ndio huwa msimu wa mvua kwa mikoa ya kanda ya ziwa.
Kwa nini huwa hatuombi mvua inyeshe msimu kwa kiangazi
Hapana hapa tunamshukuru Mungu aliye mkuuu
Muweza wa kila kitu