Tajiri Tanzanite
JF-Expert Member
- Oct 23, 2016
- 2,536
- 4,621
Haya maneno kumbuka walizungumza marehemu enzi hizo..hizi ni kauli za kishatani ambazo zote zimejibiwa na Mungu..sasa angalia na wewe usiwafuate wenzako kwa kauli hizi.Kwa hiyo nae angeongoza nchi akiwa ICU?
Mkuu, kwani ile tetesi inayovuma tangu jana hauja pata udambwi udambwi...🤔Hapo vip!!
Nimetafakari sana dhidi ya vifo vya watu wa 3,yaani Magufuli,membe na Sitta.
Nikajiulize kumbe hata miongoni mwa hawa watu watatu ambao walikuwa ndio wanampinga Lowassa,hata mmoja asingeweza kufikisha meli bandarini.
Ila chakujifunza ni kwamba sauti ya wengi huwa ni sauti ya Mungu,siongei kwa ubaya au kwa lengo la kuwakejeli marehemu,ila nikwalengo la kujifunza.
Whitehair ndio alikuwa mpango wa Mungu ila kuna mswahili alimuwekea husuda..Waswahili bhana.
Mchagga akanywe mbege huko,hana sifa za kuwa rahis wa TanzaniaKiti cha Mbowe hicho ni suala la muda tu.
Nimepata ila huu ndio ukweliMkuu, kwani ile tetesi inayovuma tangu jana hauja pata udambwi udambwi...🤔
Basi sawa mkuuNimepata ila huu ndio ukweli
Ilikuwa ya slaa maana ndie mzima wa afya chadema damu!Hapo vip!
Nimetafakari sana dhidi ya vifo vya watu wa 3,yaani Magufuli, Membe na Sitta.
Nikajiulize kumbe hata miongoni mwa hawa watu watatu ambao walikuwa ndio wanampinga Lowassa, hata mmoja asingeweza kufikisha meli bandarini.
Ila chakujifunza ni kwamba sauti ya wengi huwa ni sauti ya Mungu, siongei kwa ubaya au kwa lengo la kuwakejeli marehemu, ila nikwalengo la kujifunza.
Whitehair ndio alikuwa mpango wa Mungu ila kuna mswahili alimuwekea husuda Waswahili bhana.
N A K A Z I A [emoji419]Ilikuwa ya slaa maana ndie mzima wa afya chadema damu!
Halafu mwenyewe silverhair anasema hawakukutana barabarani.Hapo vip!
Nimetafakari sana dhidi ya vifo vya watu wa 3,yaani Magufuli, Membe na Sitta.
Nikajiulize kumbe hata miongoni mwa hawa watu watatu ambao walikuwa ndio wanampinga Lowassa, hata mmoja asingeweza kufikisha meli bandarini.
Ila chakujifunza ni kwamba sauti ya wengi huwa ni sauti ya Mungu, siongei kwa ubaya au kwa lengo la kuwakejeli marehemu, ila nikwalengo la kujifunza.
Whitehair ndio alikuwa mpango wa Mungu ila kuna mswahili alimuwekea husuda Waswahili bhana.
Chaguo sahihi ilikuwa Dr. SlaaKwa hiyo nae angeongoza nchi akiwa ICU?
Nape naye alitoa kufru hii,nimekaa pale [emoji117]Haya maneno kumbuka walizungumza marehemu enzi hizo..hizi ni kauli za kishatani ambazo zote zimejibiwa na Mungu..sasa angalia na wewe usiwafuate wenzako kwa kauli hizi.