Mungu ameonyesha nafasi ya urahisi ya mwaka 2015 ilikuwa ya Lowassa

Hapo vip!

Nimetafakari sana dhidi ya vifo vya watu wa 3,yaani Magufuli, Membe na Sitta.

Nikajiulize kumbe hata miongoni mwa hawa watu watatu ambao walikuwa ndio wanampinga Lowassa, hata mmoja asingeweza kufikisha meli bandarini.

Ila chakujifunza ni kwamba sauti ya wengi huwa ni sauti ya Mungu, siongei kwa ubaya au kwa lengo la kuwakejeli marehemu, ila nikwalengo la kujifunza.

Whitehair ndio alikuwa mpango wa Mungu ila kuna mswahili alimuwekea husuda Waswahili bhana.
Kaka urahisi sawa lakini si URAIS.
 
Bora ungesema nafasi ilikuwav ya pinda, samia na rose. Mzee Lowosa pamoja yuko hai ila angekuwa rais picha tu afya imedhoofika sana.
Kwa hiyo wewe ni personal GP wa Mr.Lowassa?,tuache upumbavu wa kuandika vitu ambavyo huna uhakika navyo,hujui kwa sasa Mr. Lowassa yupo wapi ,acha kueneza uongo
 
Acha unafiki
 
Hapo vip!

Nimetafakari sana dhidi ya vifo vya watu wa 3,yaani Magufuli, Membe na Sitta.

Nikajiulize kumbe hata miongoni mwa hawa watu watatu ambao walikuwa ndio wanampinga Lowassa, hata mmoja asingeweza kufikisha meli bandarini.

Ila chakujifunza ni kwamba sauti ya wengi huwa ni sauti ya Mungu, siongei kwa ubaya au kwa lengo la kuwakejeli marehemu, ila nikwalengo la kujifunza.

Whitehair ndio alikuwa mpango wa Mungu ila kuna mswahili alimuwekea husuda Waswahili bhana.

Na ndivyo ilivyokuwa!
 
Back
Top Bottom