"Mungu ameumaliza ugomvi" Je, hii ni kauli ya Nape kufurahia kifo cha hayati Magufuli? Ndio kusema Mungu alifurahi Membe kurudi CCM?

"Mungu ameumaliza ugomvi" Je, hii ni kauli ya Nape kufurahia kifo cha hayati Magufuli? Ndio kusema Mungu alifurahi Membe kurudi CCM?

Ndio unafurahia mtu kufa?
Kufa ni lazima utake usikate, utakufa tu, ila kuishi ni majaliwa ya mola, ww ulijua utaishi milele? Kufa ni jambo la kawaida sana, labda uwe na akili fupi kama CHADEMA
 
Kwani Mungu akiamua hata huyu Nape si anakufa sasa hivi, yaani sasa hv, ila Mungu aliamua Magufuli afe, mimi sioni tatizo hapo.
Hicho umesema ukweli mungu ndo mwamuzi hata hao wabwabwaja maneno iko siku watakufa na kuiacha dunia hii.hivo sio vema kudhihaki marehemu make hakuna mtu anaependa kufa Bali mapenzi ya mungu.
 
Fikiria sasa hivi Ole Sabaya angekuwa RC wa Kilimanjaro na Muro wa Dar, Makonda waziri wa mambo ya ndani, Bashiru Katibu mkuu kiongozi, Polepole waziri wa Habari, Mnyeti waziri wa katiba na sheria, Mambosasa IGP, Musiba bado mwanaharakiti huru, Ndugai Spika.
 
Back
Top Bottom