Mungu ana angalia moyo wako na sio mavazi

Mungu ana angalia moyo wako na sio mavazi

Wakusolve

JF-Expert Member
Joined
Jul 30, 2020
Posts
561
Reaction score
997
Mungu angalii mavazi au jinsi ulivyo Mungu ana angalia moyo wako unaweza kuwa unavaa

Unavyopenda na Mungu akakutumia , jikite kuwa mtu mwenye upendo, utu, kusamehe, kusaidia ayo ndio mambo ya msingi .

Mavazi sio dhambi kama watumishi wengi wanavyosema Mungu ana angalia moyo ,

Watumishi wengi baadhi wanawajaza watu hofu kuhusu mavazi kitu ambacho akina husiano na dhambi,
 
Mungu angalii mavazi au jinsi ulivyo Mungu ana angalia moyo wako unaweza kuwa unavaa

unavyopenda na Mungu akakutumia , jikite kuwa mtu mwenye upendo, utu, kusamehe, kusaidia ayo ndio mambo ya msingi .

mavazi sio dhambi kama watumishi wengi wanavyosema Mungu ana angalia moyo ,

watumishi wengi baadhi wanawajaza watu hofu kuhusu mavazi kitu ambacho akina husiano na dhambi,
"Vivyo hivyo wanawake na wajipambe kwa mavazi ya adabu, kwa haya na kiasi; si kwa kusuka nywele, wala dhahabu, wala lulu, wala mavazi ya gharama"

1Timothy 2:9.

Soma Biblia mkuu. Unajua maana ya mavazi ya adabu?
 
Sio wote ni wasabato mkuu, tusisuke tena!
Mavazi ya gharama ndio yakoje?
 
Back
Top Bottom