ukikaidi utapigwa2
JF-Expert Member
- Feb 24, 2015
- 15,265
- 29,991
Masanja sio mchungaji usihangaike naeHuu utamaduni umekuwa ni cancer kwa ukristo maana baadhi ya waumini waliozoea kuvaa hovyo wakienda kuanzisha makanisa yao wanachafua ukristo, Mtu kama Masanja anavaa kata k / Mlegezo / Suruali chini ya ma*****
Hayo mavazi yote hapo inategema na context, sitegemei aliyeko ufukweni , ama aliyealikwa dinner avae suti, hapana:NB: mods nawaomben msihamishe huu uzi jukwaa,kuuedit,au kutoa kipande chochote kile, kwa niloandika, Kuna funzo kubwa sana hapa kuzuia kasi ya mmomoo wa maadili (Moral Decay) ambao unazidi kumea.
ni jukumu letu kama wakristo kujaribu kukumbusha waumini juu ya wajibu wao kuvaa mavazi yanayositiri, hili likipuuzwa litafanya makanisa yawe sehemu ya kuongeza ufuska, hapo zamani sheria kama mwanamke asivae nguo za wanaume hususani suruali zilizingatiwa na yeyote aliekiuka aligeuzwa mlangoni, lakini sasa hali imebadilika.
Mfano mimi kwa jumapili iliyopita ya ppasak niliweka mkasa nilipoenda kumpa kampani na kusikiliza neno kanisa flani ambalo lina waumini wengi hata duniani lakini nilichokutana ni mabinti kuvalia suruali, nilishangazwa kuambiwa kinachoangaliwa ni roho, moja wao nilimpiga picha hii hapa.
Hawa wenzetu wachache wa jumamosi naona kwao suala la mavazi hawataki masikhara na kwa hili wamefanikiwa kwa kuendelea kukazia maandiko, hata iwe suruali pana utapigwa stop mlangoni! ishu iliyopo ni makanisa mengine hasa kkkt, katoliki na kwa walokole, hali ni mbaya kiasi kwamba unaona kama vile nayo makanisa yanaenda na mabadiliko ya utandawazi hata kwa mavazi (hapo zamani ukivaa ovyo unafukuzwa)
Huku mitaani tunaweza kuvumiliana lakini yatupasa tujue nyumba yoyote takatifu inabidi mtu asiende kwa namna yoyote ambayo inakera wengine ama kuwatia wengine majaribuni hasa katika mavazi
JE KAMA MUNGU HAANGALII MAVAZI ANAANGALIA ROHO, HAYA MAVAZI NI SAWA ?
View attachment 2585387
View attachment 2585391
View attachment 2585393
View attachment 2585392
PAMOJA TUUNGANE KUZUIA MMONYOKO WA MAADILI
Ni wapi imeandikwa kwamba suruali ni nguo ya mwanaume?... hapo zamani sheria kama mwanamke asivae nguo za wanaume hususani suruali zilizingatiwa na yeyote aliekiuka aligeuzwa mlangoni, lakini sasa hali imebadilika.
MSAHAFU inasema wanawake wavae nguo za kike na wanaume wavae za kiume, wewe unaweza kuvaa bikini? Itaweza kuzuia dushe likae vizuri?Ni wapi imeandikwa kwamba suruali ni nguo ya mwanaume?
Kwani pedi zinavaliwa muda wote? Zinavaliwa umri wowote? Adam na Eve walipojiundua wapo uchi walijisitiri kwa kuwaa majani, Je, majani ni mavazi ya kiume au ya kike?Mwanamke anaweza kuvaa boxer? kama yupo kwenye MP boxer inaweza kushikilia pedi?
Mwanamke anavaa sketi akikoja apandishe juu kwakuwa lazma achchumae, hivi unavyongangania kuvaa nguo za kiume huko chooni huwa unakojoa umesimama?Kwani pedi zinavaliwa muda wote? Zinavaliwa umri wowote? Adam na Eve walipojiundua wapo uchi walijisitiri kwa kuwaa majani, Je, majani ni mavazi ya kiume au ya kike?
Hakika RC Church na Sabato ndiyo makanisa angalau yaliyobaki katika misingi ya Imani Thabiti na Misingi ya Ukristo. Haya mengine yamekuwa ni vurugu tu hasa Lutheran, Anglican na Moravian yamekuwa ni makanisa ya matamasha na kuhubiri mafanikio ya kidunia, na ndiko waumini wengi huvaa mavazi ya ajabu sana. Na hili wimbi la wahubiri wanaoanzisha makanisa ya Kinabii, uamsho, ufufuo na uzima na hawa wanaotusumbua na maspika mitaani wengi wametokea Lutheran na hayo mengine. RC na SDA yatabaki kuwa ni makanisa ya kweli na waumini wao huwa hawayumbi katika misingi yaoWasabato, mashahidi wa Yehova pia wakatoliki kwa mbaali kidogo uzingatia suala la mavazi kwingine huko wanaogopa sadaka zitapungua. Haya christianity science church yaani makanisa ya kizazi kipya hali ni mbaya kabisa kwenye mavazi, muhimu sadaka tu.
Nguo za kiume ndio zipi? Hiyo ni kwa mujibu wa sheria gani? Ni akina nani walikaa wakaweka makubaliano kwamba nguo za kiume ziwe hivi na za kike ziwe hivi?Mwanamke anavaa sketi akikoja apandishe juu kwakuwa lazma achchumae, hivi unavyongangania kuvaa nguo za kiume huko chooni huwa unakojoa umesimama?