Mungu anahusikaje na watu kuwa masikini au matajiri kama invyosemwa kwenye dini?

Mungu anahusikaje na watu kuwa masikini au matajiri kama invyosemwa kwenye dini?

Yoda

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2018
Posts
64,960
Reaction score
111,265
Kuna ukweli gani kwamba Mungu ndiye huwafanya baadhi ya watu kuwa matajiri mamilionea, mabilionea hadi matrilionea huku akiwafanya wengine kuwa masikini mafukara wa kutupwa, omba omba na homeless?!

Wengine wanasema sijui hizo ndio kudra/kadara za Mnyazi Mungu, wengine wanasema sijui ndio baraka au vipawa lakini mimi nafikiri kuna namna hili jambo watu wa dini wamekariri tu wanayoambiwa kwenye dini zao ila hata wao hawaelewi kabisa(kama fumbo la utatu), kuna walakini mkubwa sana .
 
Back
Top Bottom