Mungu anaratibu anguko la CCM. Hakutakuwa na ombwe la uongozi

Umewakong'ota nyundo za vichwa,je sasa yupi wa kuweza kukuelewa😂
 
Huo uratibu wake unakamilika lini
Mimi naona dhamana wanayo wananchi wao ndio waamuzi wa hatma yao
Kwanza mbadala ni yupi na sidhani kama ni sawa kumuhusisha mwenyezi sabb mwaka 2030 ccm inaenda kuchukua tena kwa 80% ina maana mungu atakuwa ameshindwa kwenye uratibu wake
 
'Wewe ni mwanaume'... ’kuwa mwanaume’,
From putin[emoji635][emoji1218]
 
Mungu ameshawapa wanadamu akili za kujitawala, usidanganyike eti Mungu atakuja kusaidia kuiondoa CCM madarakani. Wananchi wakishindwa wala usidhani CCM itakaa iondoke madarakani
 
watanzania wenye mapenzi mema na Nchi wasikate tamaa, CCM inaenda kuporomoka kama jiwe ndani ya maji katika nyakati hizi kwa sababu them sucking the blood of the sufferer.[emoji1752][emoji817][emoji818]
 

Duh! Yaani unamaanisha huyu Gwajima wa misukule au kuna Gwajima mwingine?
 
Hakika
 
Umeandika ujinga mtupu.tatizo kuna watu mnafikiri wako juu ya sheria,wakishtakuwa wamebambikiwa kesi.wao wako huru kufanya lolote kwenye nchi hii,ni ruksa wao kuvunja sheria. Wakichukuliwa hatua,wamebambikiwa kesi!, ni mawazo ya kipumbavu.na ni ujinga wa hari ya juu.
 
CCCCCM imekataa kutubu,

Kifo hakikwepeki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…