Mungu anaratibu anguko la CCM. Hakutakuwa na ombwe la uongozi

Dhamana ya wananchi imebakia kwenye vibwagizo vya wanasiasa.

Wananchi wamepokwa dhamana
 
Dhamana ya wananchi imebakia kwenye vibwagizo vya wanasiasa.

Wananchi wamepokwa dhamana
Kuna mdau hapo juu kasema kijani itaongoza mpaka itakapo amua kuacha yenyewe naona wanyonge tuishi tu humo maana hakuna namna tena
 
Ningependaa tu kukwambia kuwa CCM IPO na Itaendelea kuwepo na utaendelea kuiona katika maisha yako ambayo Mwenyezi MUNGU atakujalia kuishi hapa Duniani,CCm utaiacha hapa Duniani,uzao wako utaikuta na kuiacha.

CCM haina mbadala wake hapa Tanzania,haina wa kuitikisa Wala kuiyumbisha ,CCM ndio Tumaini la watanzania katika kuwaletea maendeleo,ndio Nguzo ya amani na utulivu wa Taifa letu, CCm Ndio Taifa lenyewe,Ndio msingi ulio shikilia Taifa letu,Huwezi ikaitenganisha CCm na Taifa letu.

CCM Itaendelea kushinda katika kila uchaguzi, Itaendelea kupita na kuchaguliwa katika kila ngazi za uongozi, Itaendelea kuaminiwa na watanzania kutokana na Sera,ajenda na maono ya kiuongozi iliyonayo CCM ,Itaendelea kupewa ridhaa ya uongozi kutokana na kuaminika na watanzania juu ya Dhamira yake njema katika kuwatumikia watanzania.
 
Usimwekee Mungu masharti na vigezo.

Njia Zake ziko juu sana, mawazo yake ni juu mno - kuliko ya kwako na mtu yeyote.

Hakuna WA kumzuia na pia hakuna CHA kumzuia Mungu akitaka kutenda.
 
Leo CCM ipo , lakini haitokuwepo madarakani siku zijazo.
 
Upepo wa mabadiliko unavuma kote nchini, katiba na tume HURU tu ndio kilichobakia.
Hivi kinachoendelea tusijisahaulishe kuwa hakuna kinachoendele. Hakuna wa kuzuia hii ratiba
 
Usimwekee Mungu masharti na vigezo.

Njia Zake ziko juu sana, mawazo yake ni juu mno - kuliko ya kwako na mtu yeyote.

Hakuna WA kumzuia na pia hakuna CHA kumzuia Mungu akitaka kutenda.
Mnataka Mungu aisapoti CHADEMA? Mkiacha kutukana viumbe vyake anaweza akawafikiria. Polisi ni kiumbe cha Mungu ila nyie mnawaita Policcm. Hapo tayari mnakuwa mmekosea
 
Mkutano wa jana wa Mwenezi uliishia wapi? Naona kimya
 
Mnataka Mungu aisapoti CHADEMA? Mkiacha kutukana viumbe vyake anaweza akawafikiria. Polisi ni kiumbe cha Mungu ila nyie mnawaita Policcm. Hapo tayari mnakuwa mmekosea
Hoja ni CCM. Mambo ya CHADEMA fungua uzi wake
 
Hoja ni CCM. Mambo ya CHADEMA fungua uzi wake
Mkuu jua kwamba kuanguka kwa CCM ni hadi kutokee mfarakano usioweza kutatulika ndani ya CCM na sio kutolewa madarakani na chama chochote cha upinzani katika hivi vilivyopo. WanaCCM wenyewe wanajua vizuri madhara ya kutolewa madarakani ndo maana inapofika wakati wa uchaguzi wanakuwa kitu kimoja ili chama kishinde. Hizo dua zenu za kuku haziwezi kuipata CCM.
 
Hilo unalolisema ni nadharia.

Angalia namna wanavyoenenda headless
 
Hilo unalolisema ni nadharia.

Angalia namna wanavyoenenda headless
Wewe kaa hapo subiri miujiza. Utasubiri sana mkuu. Fanya mambo yake mengine ili usizidikupoteza muda kusubiri anguko la CCM
 
Wewe kaa hapo subiri miujiza. Utasubiri sana mkuu. Fanya mambo yake mengine ili usizidikupoteza muda kusubiri anguko la CCM
Hapana mkuu, wala sina la kusubiria kwa sababu uwazavyo wewe sivyo ipangwavyo na Mungu.

Siongezi wala kupunguza neno kwenye nilichpandika post #1
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…