Mungu anaratibu anguko la CCM. Hakutakuwa na ombwe la uongozi

Msimgeuze Mungu hommie na kumtajataja hovyohovyo
 
Wala sijawahi kumshauri Mungu.

Yeye hana haja ya msaidizi maana anayaweza YOTE uyajuayo na usiyoyajua
sasa umejuaje Mungu anaratibu anguko la CCM? Mungu sio Mbowe... acheni kutaja jina lake hovyo
 
Msimgeuze Mungu hommie na kumtajataja hovyohovyo
Kumtukuza
Kumshuhudia Matendo yake
Kumuomba
Kumuishi
Lazima umtaje maana yeye ndiye Jina Kuu kuliko majina yote.

Asipotajwa, tumtaje nani
 
Kumtukuza
Kumshuhudia Matendo yake
Kumuomba
Kumuishi
Lazima umtaje maana yeye ndiye Jina Kuu kuliko majina yote.

Asipotajwa, tumtaje nani
Usimtaje kibwege kwenye masiasa yenu
 
sasa umejuaje Mungu anaratibu anguko la CCM? Mungu sio Mbowe... acheni kutaja jina lake hovyo
Mungu anavyofanya mambo yake hakuna formula ya mwanadamu inaweza kuelewa japo kiduchu anafanyaje.
Kile unachokidharau na kukibeza ndicho kinageuka kuwa imara na thabiti kesho

Mim nimeshasema nilichopaswa kuwaambia na mengine ni nyie kubishania na kuvimbisha shingo kama nyoka aliyemeza yai lililochemshwa
 
Umenena !
 
Yai
lililochemshwa Kumbe ni hatari kwa nyoka 😅🙏
 
Baraza na wanawake Chadema linaadhimisha siku ya wanawake Duniani Dodoma muda huu kama unavyo kwenye picha hii.
 
Haya yanayojiri nilishayasema hapa.

Bado hamjaona ya kutosha, the worse is yet to come
 
Hata mwenge siku hizi watu hawautaki.....wanalazishwa kwa nguvu....kweli anguko liko karibu.
 
CCM bado ipo sana sababu haijapata mpinzani wala haijachokwa mitaani.

Tena soon tunaingia na mbwinu maridhawa ya kuimarisha chama

KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI CCM
ZIDUMU FIKRA ZA MWENYEKITI SSH
The kicks of a dying horse
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…