4 7mbatizaji
JF-Expert Member
- Dec 8, 2019
- 8,406
- 9,619
Nawasalimu wote kila mmoja kwa imani yake wana JF.
Nalazimika kuandika machache Ili nifikishe ujumbe tu.
Kichwa cha habari kinajieleza sana, nini namanisha hapa
Mh Mbowe ni Mwenyekiti wa chama cha Chadema Tz, anakabiliwa na mashitaka ya UGAIDI, maana nyingine wapenzi, wanachama wote wanakabiliwa na mashitaka haya hilo liko WAZI.
KWa kua lengo langu nikufikisha ujumbe basi nazungumza machache
Sikia enyi mamlaka, mwaweza mfanya lolote mh Mbowe, ila elewa Mh Mbowe amekua mtu wa busara sana na wakutumia hekima Sana Kama mwana siasa, sasa kwa hila zenu mnaweza mfunga Ili kuikomoa CHADEMA ila mtajuta. Namanisha nini hapa?
Namanisha CHADEMA inawatu, CHADEMA inaviongozi wenda ambao hawana hata subira pale tu HAKI inapokua inanyongwa,wapo ila wenda hawajapewa majukumu hayo kutokana na taratibu za CHAMA ila wakipewa wao mtakumbuka sana Mh Mbowe.
Huyu Mh Mbowe pamoja na CCM kumpitisha kaa la moto ni mvumilivu sana, sasa shupaza shigo.
Niwaombeni hakuna kitakacho saidia bila meza ya mazungumzo na maridhiano lakini kwanza Mh Mbowe akiwa huru,vinginevyo mbaki naye.
Acheni kibri kwamba nyie ndo nyie, wakati mwingine lazima tumia rejea ya viongonzi wa nchi waliopita na kutambua kwamba bila kuwa karibu na kubadilishana mawazo na watu wenye fikra mbadala (wapinzani) kama nchi mambo hayawezi kwenda,mfano mh KIKWETE alifanya, huwezi lazimisha kila mmoja acha anachokiamini kwamba akubaliane na wewe kwa kheri au kwa shari never Duniani au Mbiguni that's wapo malaika walimuasi Mungu, na wakawa Mashetani.
Sasa hamjifunzi au chukua ushauri kwa wakongwe kama MJK why?
Nchi haiwezi jengwa na mawazo ya mtu mmoja, chama kimoja lazima kujengwa na watu wote na mawazo tofauti Wala sio Mabavu
Mkipenda jitafakari ila msipotaka shauri zenu
Niwatakie ijumaa njema..