Mungu anawakumbusha Mbowe ni wingu tu ndani ya CHADEMA, mvua za mawe bado zimetulia

Naunga mkono hoja , jamaa maamuz anatumia busara , labda aje wamaamuz magumu .
 
Naunga mkono hoja , jamaa maamuz anatumia busara , labda aje wamaamuz magumu .
Ikitokea jua CCM wataanza tembea wanaongea wenyewe pamoja na kusaidiwa na dola, Mbowe ni mstahimilivu Sana
 
Ndiyo. Mshupaza shingo huota mshipa.
 
Jifunzeni kubeba misalaba kama wanaume. Kila siku kulialia na thread. Sio yeye wa kwanza kuwa ndani. Nyie makamanda gani sasa
 
Moto mkubwa huanza na cheche. Ujiti wa kiberiti husababisha moto hata wa kuangusha ghorofa.

CCM wasipotumia akili, wapo kwenye risk position:

1) Vijana wengi wanaiunga mkono CHADEMA. Kukitokea vurugu, vijana ndio wenye nguvu za mapambano. CCM itaumizwa zaidi.

2) Wasomi wengi wanaiunga mkono CHADEMA. Kukitokea uasi wa namna yoyote, wasomi na high IQ people ndiyo huwa washindi.

Salama ya CCM, ni kuwa waungwana kuleta kujivika ushetani kama wanavyofanya sasa.
 
Tulieni mahakama ifanye kazi yake! Kafungwa sabaya alikuwa mkuu wa wilaya mbowe ni nan asifungwe, msitake kuonekana kila siku mnaonewa wakati sio kweli
 
Sasa mnasubiri nini kusimama sasa hivi ?

Lianzisheni muda huu huu. Mnabweka bweka tu humu bila action yoyote.
Kama Chama changu ccm ndo hapa tulikofikia kwa kuingiza ukabila kwenye mazingira ambayo sio mazuri.
Ndugu vidonda ni vingi kwa nini tusiyaheshimu mabila ya watu.
 
Hivi wachaga wamekukosea Nini?

Kama chama kipo nchi nzima na kina kila kabila, wanaingiaje hapa?
Mimi ni mwaccm kwa haya hapa kabila langu haliwezi kusengenywa hivi kwani tumewakosea nini mpaka tuanze kunekanaa hatuna haki
 

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…