lete tafsiri ya kiswahili mna nyie ni copy na paste hya tafuta tafsiri ya kiswahili hlf tuendelee na mjadalaAcha uongo na upotoshaji na hakuna aliposema unayomlisha
Maneno ya muhammad yapo wazi
“Islam began as something strange and will go back to being strange, so glad tidings to the strangers.’”Sunan Ibn Majah 3986
He also reported Muhammad saying, “Islam began as a small religion and will return to the state in which it began. Then blessed will be the few Mishkat al-Masabih 159
Kwani uongo kua Uislamu hauongezeki kwani ni uongo?Ungefuatilia niliye mjibu ungeelewa , yeye alidai uislamu watu wanaongezeka , nikamkanya asipingane na Muhammad kasem
wazi
Uislam ulianza kama Strange (Ajabu,kituko) na Utarudi kuwa Strange
Ulianza kama dini ndogo na Utarudi kuwa dini ndogo
“Islam began as something strange and will go back to being strange, so glad tidings to the strangers.’”Sunan Ibn Majah 3986
He also reported Muhammad saying, “Islam began as a small religion and will return to the state in which it began. Then blessed will be the few Mishkat al-Masabih 159
Kitabu natumia cha kingereza , alafu mbona ni kingereza rahisi sana kimetumiaka hapalete tafsiri ya kiswahili mna nyie ni copy na paste hya tafuta tafsiri ya kiswahili hlf tuendelee na mjadala
Maana yake ni kwamba unasema Muhammad alikuwa muongo, nimecheka sana! nimeshamaliza hili usirudie tenaKwani uongo kua Uislamu hauongezeki kwani ni uongo?
m naongea kwa facts na ww lete factsView attachment 2138238
Hhhhhh ndo mana nikakwambia nyie ni wale wa kucopy na kupaste hamuujui Uislamu mm ninoujua nakuelezea unakataa sasa mm nikufanye nnKitabu natumia cha kingereza , alafu mbona ni kingereza rahisi sana kimetumiaka hapa
“Islam began as something strange and will go back to being strange, so glad tidings to the strangers.’”Sunan Ibn Majah 3986
He also reported Muhammad saying, “Islam began as a small religion and will return to the state in which it began. Then blessed will be the few Mishkat al-Masabih 159
Aisee we akili zako zipo miguuni mna ata mtoto wa darasa la kwanza hahitaji kuelezewa iyo fact niloiweka hpoMaana yake ni kwamba unasema Muhammad alikuwa muongo, nimecheka sana! nimeshamaliza hili usirudie tena
He also reported Muhammad saying, “Islam began as a small religion and will return to the state in which it began. Then blessed will be the few Mishkat al-Masabih 159
Kama hiyo ni fact maana yake umethibitisha Muhammad alitoa unabii wa uongo , nimeshakwambia nimeshamaliza kaziAisee we akili zako zipo miguuni mna ata mtoto wa darasa la kwanza hahitaji kuelezewa iyo fact niloiweka hpo
We una kichwa kigumu..wapi nimesema yesu ni Mungu? au kusoma nako shida.Yesu kasema au mwandishi ndio kasema,? na kama Yesu ndie kasema hayo Ww kwa nini unamwita Mungu. Au ni Mungu mdogo?
Nimekuuliza Ndugu yangu Mariam Yeye alizaa Nini kama Mungu Tayari Keshazaa Huko Zamani. Huo mstari wako Mbona Hauna Jibu languYohana : 8 : 58 - Yesu akawaambia, Amin, amin, nawaambia, Yeye Ibrahimu asijakuwako, mimi niko.
Hebu tuambie
Kati ya ibrahim na mariam nani alikuwepo kwanza
Alikuwaje Mfano wa Binadamu wakati alikuwa na Sifa zote za Binadamu. Mbuzi atafananishwa na Mbuzi Mwenzake na Binadamu atafananishwa na Binadamu mwenzakeSasa aliyekuambia Yesu ni binadamu ni nani? Maandiko yenyewe yanasema alikuwa tu mfano wa binadamu
We una kichwa kigumu..wapi nimesema yesu ni Mungu? au kusoma nako shida.
Kumbukeni nilivyowambia nitakwenda na nitarudi, kama kweli mnanipenda mngefurahi na kushangilia maana nakwenda kwa baba: na baba yangu ni mkuu kuliko mimi°
Yesu anasema Mungu ni Mkuu kuliko yeye.
Quran imemtaja Issa (AS) sio Yesu!Kuna kundi la watu ambao hawajui lakini wanajifanya wanajua. Wewe upo kwenye Hilo kundi. Unaishambulia Biblia na kusema Ni uongo. Jiulize ni kwanini Yesu au Issa anatajwa Sana kwenye Quran?.
Nimekuuliza ni wapi nimesema Yesu ni Mungu? hujajibu naona unaruruka kama kuku aliyekatwa kichwa.Wewe umesema hapo Yesu anasema Mungu ni Mkuu Kuliko Yeye.
Sasa Inakuwaje Tena Mnamwita Ni Mungu
...Kwani nimeuliza we ni dini gani? Yesu alikufa kwa ajiri ya binadamu wote.m nimekwambia I am a Muslim
jaribu kutafuta swali linaloendana kidogo
Unajua tofauti ya Mizimu na Watakatifu? Hizo dini mnazoziamini ni za mizimu ya wazungu na mizimu ya waarabu. Mababu zetu ukiwaita mizimu utakuwa huna akiri.Nyuzi zako nyingi ni kukosoa mambo ya dini za kigeni,nakushauri uanzishe dini ya asili ya mizimu mbona utapata wafuasi wengi.
Binadamu walifanya Jambo Gani Kwani Mpaka Yeye Akawafia Ndugu yangu....Kwani nimeuliza we ni dini gani? Yesu alikufa kwa ajiri ya binadamu wote.
Dini ya Mizimu Kwanza Aliileta Yesu mwenyewe. Maana Alitoka Akaenda Kuongea na Mizimu ya Musa na Elia Pale Mlimani na Wakamtia Moyo kama MnavyoambiwaNyuzi zako nyingi ni kukosoa mambo ya dini za kigeni,nakushauri uanzishe dini ya asili ya mizimu mbona utapata wafuasi wengi.
Kuamini Kunakuja Baada ya Kutokuwa na Shaja Juu ya Mambo unayoyasema. Sasa mtu anaulizwa Swali La kiakili tu badala Atumie akili Kulijibu Yeye anakuletea Aya ya Vitabu hivyo hivyo VilivyompotoshaWatu wengi humu haulizi maswali kwa maana ya kutaka kujifunza wasichokijua bali kwa mtazamo wa kutaka kuchallenge.
Imagine wewe ni mwanafunzi/mwanachuo umeenda darasani kwa lengo tu la kutaka kuchallenge mwalimu/lecturer wako HAKUNA namna utakaa uelewa somo lake. Utabakia vile ulivyo.
Wewe ni mwanadamu tena u mavumbi tuu kisha unataka kuyachallenge mambo ya Mungu (divinity) kabla ya kumwamini, HAKUNA namna utakaa uyaelewe pasipo kumwamini kwanza. Utabakia na ujinga wako huku ukijiona mwerevu mbele zake.
Kaa chini uwe tayari kujifunza.
Sasa Mbona Mnaenda Kanisani kukemea Mapepo na Mashetani kama Nyie Pekee ndio mlistahili kuwa HapaHawaogopi. Anawapenda wanadamu
Kumbuka aliiitengeza Dunia kwa lengo tu amuumbe mwanadam aje aishi hu
Mbona hujiulizi kwa Nini Shetani anamng'ang'ania mwanadamu amkoseshe asitende mapenzi ya Mungu Kuna Nini humo?
Ngoja nikuambie Shetani ana wivu sana na mwanadamu kwa sababu Mwanadamu anasanehewa dhambi. Shetani hasamehewi dhambi kwa hiyo anataka aende jehanam na wanadamu wengi sana
So anapofusha fikra zao wasielewe mpango wa Mungu waendelee kucheza na dhambi mwisho wake jehanam mile
Kumbuka mshahara wa dhambi ni mauti Bali karama ya Mungu ni uzima wa milele