Mungu anawaogopa nini Wanadamu mpaka awatolee Sadaka ya Mwanae?

Ndugu Yako katika Imani kaweka fact
Ni vizuri umekiri Uislam utaenda kufa na utarudi Madina kama nyika anavyorudi kwenye shimo lake , hilo tumemaliza msirudie tena kupinga unabii wa muhammad
Aisee we jamaa ni mjinga kupita kiasi nani alosema Muhammad ni nabii wa uongo hlf lete ushahidi wa huyo alosema ivo
 
Ilo mujiulize nyinyi mulodanganywa kua mumemsulubu mushaambiwa kafananishwa nyie mumeshikilia kasulubiwa sisi hatuamini hilo
Alie fananishia na walio ona wakaandika nani mkweli?
 
Wacha uongo, hakuna pahala Mtume Muhammad Salla Allahu Alayhi Wasalaam akaongea hayo.

Hayo mnaongea nyie mapoyoyo.
 
Aisee we jamaa ni mjinga kupita kiasi nani alosema Muhammad ni nabii wa uongo hlf lete ushahidi wa huyo alosema ivo
Wewe ukiweka fact za kumpinga Muhammad au unabisha
 
Endelea na ujinga wako huo iyo dini yenu itakufa we tizama tu saivi watu wameamka hawaendi makanisani wanajua wanaenda kutapeliwa tuu

soma hpa hlf njoo useme tena kua utauzika Uislamu wakati walokuletea ukristo makanisa yao yanageuzwa misikiti saivi
 
Hakuna Yenye Ukweli ndani Yenu Nyie Wote.. Ukristo wala Huko Kwenu. Vyote vimeandikwa

Maana Hata Quran Lugha maandishi yake ya Mwanzo hayakuwa Maandishi ya kiarabu. Kiarabu ni Tafsiri ya Quran
 
Peleka uharo wako huko, mjitungie wenyewe msingizie wengine?

Heri ya wa Muta kuliko wewe kila mwanamme anaeingia kwenu unaambiwa mwamkie babako.

iQuote Qur'an, ndio kitabu pekee alichopewa Mtume Muhammad na Allah.

Hizo zingine zote porojo zenu msiokuwa na akili timamu.
 
Hakuna Yenye Ukweli ndani Yenu Nyie Wote.. Ukristo wala Huko Kwenu. Vyote vimeandikwa

Maana Hata Quran Lugha maandishi yake ya Mwanzo hayakuwa Maandishi ya kiarabu. Kiarabu ni Tafsiri ya Quran
Prove, kwenu nyie kwenye kuabudu miti na mapango kuna ukweli?
 
Sasa tutajibuje hilo na huamini Mungu kama yupo?
 
Mutah girl , nakwambia post zangu Kaa pembeni, Mimi na target wenye maandiko Yao wewe hayakuhusu , wewe jikite kufanya mutah
 
Pinga haya maneno ya Muhammad tufunge mada

Uislamu ulianza kama dini ndogo na utarudi kuwa dini ndogo
-Muhammad saying, “Islam began as a small religion and will return to the state in which it began. Then blessed will be the few Mishkat al-Masabih 159

Akaongeza Uislam utasinyaa na utarudi Madina kama vile nyoka anarudi kwenye shimo lake
-“Faith will shrink back to Medina as a snake shrinks back to its hole.” (Bukhari and Muslim.) Mishkat al-Masabih 160
 
Hakuna Yenye Ukweli ndani Yenu Nyie Wote.. Ukristo wala Huko Kwenu. Vyote vimeandikwa

Maana Hata Quran Lugha maandishi yake ya Mwanzo hayakuwa Maandishi ya kiarabu. Kiarabu ni Tafsiri ya Quran
Kama ulikuwa hulewwi, elewa kuwa Qur'an zimo vifuani mwa watu toka siku ya kwanza ilipoteremshwa hadi leo. Hakuna kitabu chochote duniani kilichohifadhiwa vifuani mwa watu kama Qur'an.

Hivyo vya mikono ya watu huko huko mnakodanganyana msiojuwa hata maana ya Qur'an ni nini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…