Blaza una akili timamu?Wewe unamatatizo makubwa. Binadamu ndio anamuokoa binadamu mwenzake?. Acha kujitoa akili, nyie ndio mkiuguua tumbo mnaanza kulia Mungu nisaidie nakufa. Wakati wa Nuhu walikuwepo wabishi zaidi yako lakini mwisho ulipofika waliliia Kama watoto. Juzi hapa kulikuwa na Corona Tanzania tukafany maombi ya kufunga, je Kuna binadamu gani alikuwa ana uwezo wa kuondoa corona?.
Duh! huo muujiza wa mungu unaoumba hadi leo ndio upi na mbona basi watu wa leo hawamjui huyo mungu kupitia huo uumbaji unaoendelea kama walivyojua hao watu wa kwanza?Twende Taratibu tu Ndugu yangu Kwanza Unatakiwa Kuelewa Kwamba Binadamu wa Kwanza Kuumbwa ni Fumbakasa na Mwasi mkewe. Hawa Ndio waliokuwa wa Kwanza Kulingana na Elimu ya Jadi na Wazee. Hawa ndio Waliopewa Elimu ya Kuishi na Wao Kurithisha Elimu hiyo kwa Watoto wao Ndio mpaka Leo hii Elimu hiyo Ipo na Ndio inayofundishwa Elimu hii walipata Kutoka Katika Muujiza Wa Mungu ambao ndio huo Unaoumba Mpaka leo
Ubishi unaletwa Kama Mtu mmoja Kati Yetu Atang'angania Jambo analojua Hata Kama Hana Ukweli sahihi wa Ki Mungu.
Sasa Angalia Kwamba Maombi unayoyanajibuwa kwa Wewe kufanya Nini.
1. Watakuambua Peleka Sadaka
2. Huko Nyuma Watu walikuwa wanachinja Wanyama na ndege ambapo ni Sadaka za Damu
3. Usipopeleka Hivyo Vitu Hao Viumbe hukasirika na Kukuletea Mabalaa
Sasa Ili Ujibiwe lazima Huyo unayemuomba Akuombe Wewe kitu kwanza Na Ukimnyima Anakasirika. Sasa Ndugu yangu kwa Akili ya Kawaida Mungu anakuomba Wewe hivyo vitu Ili Yeye afanyie Nini. Hivyo vitu ni Viumbe wasio Mungu ndio wanataka Mfano Wewe mwenyewe Binadamu na Hayo Majini na Malaika ndio Hupenda Hivyo vitu
Duh! huo muujiza wa mungu unaoumba hadi leo ndio upi na mbona basi watu wa leo hawamjui huyo mungu kupitia huo uumbaji unaoendelea kama walivyojua hao watu wa kwanza?
Kama Wewe Mkristu au Mwislamu sijui kama Unaomba Bila Kufanya Hayo. Maana Kwenye kitabu unachokiamini Sadaka Za Damu Zipo na Sadaka za Kawaida zipo amabzo leo hii ni PesaHalafu mbona watu wanaomba bila kupitia kwa mtu au kutoa sadaka wala kuchinja au haujaona hilo?
Nani amekwambia wakristo wote hutoa ela kama sadaka kwa Mungu.?Maana Kwenye kitabu unachokiamini Sadaka Za Damu Zipo na Sadaka za Kawaida zipo amabzo leo hii ni Pesa
Sawa uumbaji unaeendelea ila swali langu ni kwamba mbona watu wa leo hawamjui huyo mungu kupitia huo muujiza wa uumbaji unaoendelea hadi leo badala yake huo muujiza uliishia kwa hao watu wa kwanza tu?Mungu Alipoumba hakupumzika Uumbaji Unaendelea mpka Leo. Toka Hata Hapo Nje utaona Nyasi. Hata Uyoga Vinajiotea na Kuna vinavyoumbwa Huvioni kwa Macho yako
Kama Wewe Mkristu au Mwislamu sijui kama Unaomba Bila Kufanya Hayo. Maana Kwenye kitabu unachokiamini Sadaka Za Damu Zipo na Sadaka za Kawaida zipo amabzo leo hii ni Pesa
Sawa uumbaji unaeendelea ila swali langu ni kwamba mbona watu wa leo hawamjui huyo mungu kupitia huo muujiza wa uumbaji unaoendelea hadi leo badala yake huo muujiza uliishia kwa hao watu wa kwanza tu?
Haujaona hata viongozi wa dini wakiitwa kwenye shughuli za kiserikali huwa wanaomba dua na huwa hawachinji wala kutoa sadaka yeyote?
Watu wakitaka kulala wanaomba dua,wakitaka kula wanaomba n.k sasa hayo ya lazima kuchinja umeyatoa wapi mkuu?
Sadaka Kuu kwa Wakristu wa Sasa Ni Pesa. Usijipotoshe na kuudanganya Ubongo wako ndugu yangu.Nani amekwambia wakristo wote hutoa ela kama sadaka kwa Mungu.?
Ukishaona mtu anaanza kutoa Matusi m najua ameshashindwa hana hoja kwaio kaa ukitulize kishuzi ichoSikiliza, wewe bado huna akili ya kujadiliana na mimi kuhusu mambo ya dini na mambo ya mungu. Kajadiliane na mataahira wenzako huko madrasa
Nadhani hatujaelewana, wewe haya unayoyaeleza kuhusu huyo mungu wako unadai kuwa umeyapata kutoka kwa hao watu wa mwanzo kuumbwa ila nachouliza mimi hapa kwanini na sisi tusiyajue hayo ya huyo mungu kwa njia kama iliyotumika kwa hao watu wa kwanza ambayo ni kupitia miujiza ya uumbaji? maana umesema uumbaji bado unaendelea ila ajabu watu hawapati hiyo elimu ya kumjua huyo mungu kupitia huo uumbaji na matokeo yake tunategemea masimulizi ya hao watu wa mwanzo tu.Sasa Ndugu yangu utamjuaje wakati Elimu hutaki tofauti na Elimu ya Vitabu vya Mapokeo. Ndugu yangu Tz mbogo Unashinda Unaangalia Kwaya na Kwenda Kwenye Nyumba za Ibada kila Jumapili Ulitegemea utamjuaje Mungu mwenye Vyote na Muujiza Wake unafanyaje Kazi wakati Katika Majumba Yao wanataka Wakupotoshe usimjue
Ila Uongo una muda Wake ukifika Unakufa. Ila Ukweli hata Kama Ukikaa Huko Miaka 1000 utakuja Tu utaujua
Sijasema Kila Wanapoomba Wanatoa Sadaka. Ila Kwenye Vitabu Mmeambiwa Mpeleke sadaka Pale Mnapoomba. Sijui kama Unaelewa Hapa ndugu yangu. Na Imeandikwa mmjaribu kwa Sadaka ni Hitaji la Muhimu analolitaka Mungu kwenye hivyo Vitabu
Sadaka za Kuchinja Mbona Zipo Kwenye Kitabu Unachoamini ndugu yangu.
SOMO LA KWANZA
Mtatoa pia beberu mmoja kuwa sadaka ya kuondoa dhambi, licha ya sadaka ya kuteketezwa ya kawaida pamoja na sadaka yake ya nafaka na sadaka yake ya kinywaji.
Hesabu 29:19
SOMO LA PILI
Waambie kwamba sadaka watakayonitolea ya kuteketezwa kwa moto, itakuwa ifuatavyo: Wanakondoo wawili wa mwaka mmoja wasio na dosari yoyote, kwa ajili ya sadaka ya kuteketezwa ya kila siku. Mwanakondoo mmoja atatolewa asubuhi na wa pili jioni; kila mmoja atatolewa pamoja na sadaka ya nafaka ya kilo moja ya unga uliochanganywa pamoja na lita moja ya mafuta bora yaliyopondwa. Hii ni sadaka ya kutolewa kila siku inayoteketezwa kabisa motoni, ambayo ilitolewa kwa mara ya kwanza mlimani Sinai kama sadaka ya chakula, harufu nzuri ya kumpendeza Mwenyezi-Mungu.
Hesabu 28:3-6 BHND
_________________________________________
Hizo ni Sadaka za Mungu unayemwamini ametoka Kwa wana wa Israeli kama Yupo Tofauti na Mungu wa Sasa Hivu Unayemwabudu inabidi ujijue Unamwabudu Mungu Tofauti usiyemjua
Mungu Mwenyezi anawaangalieni tu mkiteseka.Kwani Mungu yeye Ndugu yangu anakuogopa Nini wewe mpaka akutolee Sadaka. Maana Kulingana Na Biblia Ww ndio mkosaji. Na Kumbuka Wale wa Sodoma na Gomora walichomwa Moto fasta tu walipomkosea na Wale wa Gharika hivyo hivyo. Ila Wewe ukamsababisha Amtoe Mwanae Badala ya Wewe ndio Ungetakiwa Kumchomwa Moto au Kuangamizwa
Soma Bible mengine umechapia, kama kichwa chako hakijatulia huwezi kuelewa utaishia kubishana, kasoma Bible kama kazeti la udaku huwezi kuielewaKuna Utata mkubwa Sana Katika kuzaliwa kwa Yesu kutokana Na Maandiko ya Biblia. Ila Kwa Akili Timamu Binadamu yeyote lazima Azaliwe kwa Mifumo maalumu ya Mbegu ya Kiume kuungana Na Mbegu ya Kike Tofauti na Hapo Binadamu hawezi Kutokea
Ningetamani Sana mumuache Nabii ISSA mnamvumishia mengi yasioyakweliSoma Bible mengine umechapia, kama kichwa chako hakijatulia huwezi kuelewa utaishia kubishana, kasoma Bible kama kazeti la udaku huwezi kuielewa
Kila zama na kitabu chake ila yote ni ubatili mtupuKuna miungu wengi wamekuwepo kwa jamii tofauti, kwa mfano wafilisti walikuwa na mungu wao anaitwa dagoni, kulikuwa na mungu baal wa wakanani, na huyo mungu sumeria wa kuitwa anu.
Swali kwa nini Mungu wa israeli wa kuitwa Yehova na mwanawe wa pekee aitwaye Yesu Kristo waendelee kuabudiwa mpaka sasa ilhali hao wengine wa mchongo hawasikiki?
Nadhani hatujaelewana, wewe haya unayoyaeleza kuhusu huyo mungu wako unadai kuwa umeyapata kutoka kwa hao watu wa mwanzo kuumbwa ila nachouliza mimi hapa kwanini na sisi tusiyajue hayo ya huyo mungu kwa njia kama iliyotumika kwa hao watu wa kwanza ambayo ni kupitia miujiza ya uumbaji? maana umesema uumbaji bado unaendelea ila ajabu watu hawapati hiyo elimu ya kumjua huyo mungu kupitia huo uumbaji na matokeo yake tunategemea masimulizi ya hao watu wa mwanzo tu.
Nimekwambia hivi ukiondoa hayo ya sadaka na kuchinja bado watu huomba dua pasipo kutumia sadaka wala kuchinja, hilo unalizungumziaje?
sasa wewe umekazania issue ya sadaka na kuchinja tu.
Fafanua Ndugu Uhuru unaishaje wa Binadamu akiwa anahoji haya MaswalaHili ni swala zito sana.
Uhuru wa binadamu huwa unaishia pale anapoanza kuhoji haya maswala
Ndugu zetu hawa Waafrika hawajui haya.Kila zama na kitabu chake ila yote ni ubatili mtupu
Kipindi Anu anaabudiwa na Sumerians Kwa maelfu ya miaka huyo Jehovah/YWH/Elohim pamoja na mwanae Yesu walikua hawajaexist
Jiulize walikua wapi?
Dini ni utapeli wa kale ambao warumi walikuja kuufufua Kwa mfumo wa kisasa kipindi Cha kina Constantine pale Constantinople city uturuki!
Mimi hicho ndicho ninachosimamia ndugu yangu nikajua Wewe upo Pamoja na Hawa Wanaopeleka Zaka.. Sadaka.. Za Shukrani kwa Viumbe huko Kanisani wakijua Kwamna Wanampa MunguMungu Mwenyezi anawaangalieni tu mkiteseka.
Wewe saidia maskin yatima na Na endelea na maisha yako .hayo ya sadaka Kwenye bahasha na makafa mmeyaanzisha nyie
Biblia ipo kwenye Mfumo huo kwa Makusudi kabisa ndugu yangu ili Ukupumbaze wewe uone kwamna Ni Mafumbo kumbe Uhalisia haupo HivyoSoma Bible mengine umechapia, kama kichwa chako hakijatulia huwezi kuelewa utaishia kubishana, kasoma Bible kama kazeti la udaku huwezi kuielewa
Kuna miungu wengi wamekuwepo kwa jamii tofauti, kwa mfano wafilisti walikuwa na mungu wao anaitwa dagoni, kulikuwa na mungu baal wa wakanani, na huyo mungu sumeria wa kuitwa anu.
Swali kwa nini Mungu wa israeli wa kuitwa Yehova na mwanawe wa pekee aitwaye Yesu Kristo waendelee kuabudiwa mpaka sasa ilhali hao wengine wa mchongo hawasikiki?