Mungu anawaogopa nini Wanadamu mpaka awatolee Sadaka ya Mwanae?

Sio wote wasio amini dini hawajapitia mafunzo ya dini. Wengine na hasa wasomi ni waelewa wazuri wa dini tangu utoto wao. Walijitoa kwenye dini walipo jua ukweli, na wengine walipokosa majibu kwa maswali ya msingi. Huwezi kuwa muumini wa dini bila kuacha kuamini historian ya dunia na sayansi iliopo.
 
Tuanze na nafsi tatu za Mungu

Ni nini kinachokushinda kuelewa?

Mfano binadamu ana Roho ,nafsi na mwili , kwa nini huwezi sema binadamu watatu na unatambua ni mmoja

Jua , Jua Lina umbile ,Lina mwanga na Lina joto , mbona unalitamua Jua kama moja na sio matatu?
 
Emmanuel maana yake Mungu pamoja nasi ndio kilicho maanaishwa
Imeandikwa Ataitwa si Maana Ya Jina ila Ataitwa Emanueli. Hata Wewe jina Lako ni Mokiti ila Ndani yake lina Maana na Ndilo unalotumia. Isaya yeye alisema Mtoto ataitwa Emanueli
 
Imeandikwa Ataitwa si Maana Ya Jina ila Ataitwa Emanueli. Hata Wewe jina Lako ni Mokiti ila Ndani yake lina Maana na Ndilo unalotumia. Isaya yeye alisema Mtoto ataitwa Emanueli
Alisema ataitwa Mungu pamoja nasi
Shida ipo wapi ,
Nakwambia you are demonic possessed ,
Demons ndio wanashukilia akili Yako
 
Tuanze na nafsi tatu za Mungu

Ni nini kinachokushinda kuelewa?

Mfano binadamu ana Roho ,nafsi na mwili , kwa nini huwezi sema binadamu watatu na unatambua ni mmoja

Sasa Binadamu kama Yupo Hivyo Mungu Naye unamfananisha Na Viumbe wake. Kwa Kumgawa Hivyo Majini, malaika nao wameumbwa Kivyao Pia

Unaposema Mungu ana Nafsi hana Tofauti na Wewe sasa. Maana Kazi za Nafsi nj Kufurahi.. Kufikiria na Utashi uliona wewe

Jua , Jua Lina umbile ,Lina mwanga na Lina joto , mbona unalitamua Jua kama moja na sio matatu?

Mimi Ndio nalitamka Jua Kuwa ni Moja sisemi Jua Matatu. Ila Wewe kwa Mantiki zako ungesema Jua Matatu kama Unavyosema Mungu Katika Utatu

Tatizo lenu Mnataka Kumfananisha Mungu na Viumbe vilivyo. Ndio maana Mnampa Sifa za Viumbe. Mungu Hashirikiani na Viumbe katika Kufanya kazi Zake. Akishirikiana na Viumbe maana Yake Umemnyima Uwezo wa Kuwa Mungu Mkuu. Maana Viumbe wake wengi alioshirikiana nao kulingana na Maandiko wengi walikataliwa Na Kuuawa
 
Alisema ataitwa Mungu pamoja nasi
Shida ipo wapi ,
Nakwambia you are demonic possessed ,
Demons ndio wanashukilia akili Yako
Ingia Kwenye Hoja usijifiche kwenye neno Demon pale unapoulizwa Maswali na Binadamu mwenzako ndugu yangu. Jibu kwa Hoja

Sijawahi sikia Watu wanaitwa Maana Ya Majina Badala ya Jina lenyewe. Isaya Alisema Ataitwa Emanueli hakusema ataitwa kwa Maana ya Jina Hilo(Mungu pamoja Nasi ) . Hata Jina Yesu lina Maana Yake mbona Hutumii Maana Ya Yesu ila Unamuita Yesu

Kwahiyo Malaika angetakiw Kutimiza Utabiri wa Isaya kwa Kumwambia Mariam amuite Emanueli siyo Yesu tena
 
Nimeshaliza kazi yangu umeshaelewa , sijamfananisha na viumbe ila nimekupa mfano na umekuingia vilivyo
 
Kwanza hii sadaka aliitoa kumpa nani? Na pili je upande mmoja anatoa mwenyewe na upande wa pili anapokea mwenyewe???
Ndio Maswali Yangu Hayo Nimeuliza. Yesu alitolewa Sadaka kwa Sababu Wewe au Mimi tulifanya Nini Kusababisha Hayo Yote
 
Kasome hiyo sura kuanzia mwanzo mpaka ukifika hapo aya ya 4 utakuwa umeshapata majibu ya maswali yako yote.

Soma kijana.
 
Hiyo ni phrase , Mungu pamoja nasi
Usilete maana zako kwenye Imani za wengine ,

Ndio maana napo wajibu waislamu unaona natumia maana zao na vitabu vyao sio maana zangu na jinsi navyo amini mimi
 
Kasome hiyo sura kuanzia mwanzo mpaka ukifika hapo aya ya 4 utakuwa umeshapata majibu ya maswali yako yote.

Soma kijana.
Wewe jibu Mimi nimesoma Aya yote na Haina majibu ya maswali yangu , majibu niliyapata kwenye Hadith na tafsir

Koran 66:4. Kama nyinyi wawili hamkutubia kwa Mwenyezi Mungu, basi nyoyo zenu zimekwisha elekea huko. Na mkisaidiana dhidi yake muhammad, basi hakika Allah ndiye kipenzi chake, na Jibrili, na Waumini wema, na zaidi ya hayo Malaika pia watasaidia.

maswali
1. hao wawili ni kina nani? ,
2. Wamefanya dhambi gani mpaka waambiwe watubu? ,
3. Wakisaidiana dhidi ya Muhammad kwani Muhammad kafanya nini? ,
4. Kwa nini Allah asaidiane na Malaika wote , jibril na waumini wote kupambana na hao wawili?
5. Awa wawili wana nguvu gani mpaka Allah asaidiwe
 
Yeye anadhani Wapagani eti ni Watu wasiojua Kitu chochote kumbe Ni Watu wanaojua Hata Kuliko Yeye Sema washaona Dini hizi ni Utapeli mkubwa
 
Binadamu wa Kwans kulingana na Elimu ya Wazee wetu nj Fumbakasa na Mwasi mkewe. Adam na Hawa ni Hudi na Jemi waliokuwa Watu kutoka India [emoji1128] Hudi alijulikana Kama Adam na Jemj alijulikana kmaa Hawaii ambaye nyie ndio mnamwita Hawa.
Unaamini lakini?
 
Nimeshaliza kazi yangu umeshaelewa , sijamfananisha na viumbe ila nimekupa mfano na umekuingia vilivyo
Hujajibu Maswali Ya Msingi Ndugu. Umemfanisha Na Viumbe Vyake ndio Umemfanisha na Wewe ulivyo na umemfananisha Na Jua Lilivyo ambacho nacho ni Kiumbe.. Wakati huo unasema Hafanani na Chochote kile wakati Unasema ana nafsi kama Binadamu alivyo

Na Kumbuka alimtuma Mwanae Si Yeye Ingawa Wewe Unampa Sifa Mwanae Kama Mungu. Na Yeye mwenyewe alishasema Si Mkuu kuliko Mungu

Maswali Yangu ya Msingi

1. Binadamu wewe ulifanya Jambo Gani Mpaka Amtume Mwanae Awe Sadaka

2. Kama Yesu alikuwa Mungu kwanini Aliomba Mungu alipokuwa anasali


Hayo Ndio Maswali yangu ya Msingi
 
Nimesahau lakini kuanzia matayo mpaka matendo ya mtume ukisoma vizuri humo utakutana na Mungu alikaa kikao na wasaidizi wake kwamba nani aende kuokoa wanaadam ndipo yesu alipojitokeza kuwa yeye atakuja dunian kutuokoa na kwamba mateso yote atayamudu
 
Kwani wewe umenielewa vp mkuu?
 
Hawa ndiyo alimkuta mwanamke mwingine ila adam alikua wakwanza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…