FabNXTzqEtcgazfbjjfo
JF-Expert Member
- Jan 17, 2019
- 1,486
- 1,874
- Thread starter
-
- #741
[emoji23][emoji23][emoji23] Haya ndugu yangu. Umenifanya Nicheke sanaMie sitak kuteteresha imani yangu niache! Mie ni roma ninaye amini katika mungu baba, mungu mwana na mungu roho mtakatifu!
Nani ana hicho kipimo cha ukweli?
ndio maana naona muhimu ni watu kuamua tu kufuata dini yeyote au kuanzisha yake maadamu mungu hachukii hata hiyo dini itakuwa na mambo ambayo si sahihi kwani kuna kosa au adhabu za kwa mungu? mimi naona hiyo ndio njia rahisi na ni suluhisho.
1) Soma aya 66:3Wewe jibu Mimi nimesoma Aya yote na Haina majibu ya maswali yangu , majibu niliyapata kwenye Hadith na tafsir
Koran 66:4. Kama nyinyi wawili hamkutubia kwa Mwenyezi Mungu, basi nyoyo zenu zimekwisha elekea huko. Na mkisaidiana dhidi yake muhammad, basi hakika Allah ndiye kipenzi chake, na Jibrili, na Waumini wema, na zaidi ya hayo Malaika pia watasaidia.
maswali
1. hao wawili ni kina nani? ,
2. Wamefanya dhambi gani mpaka waambiwe watubu? ,
3. Wakisaidiana dhidi ya Muhammad kwani Muhammad kafanya nini? ,
4. Kwa nini Allah asaidiane na Malaika wote , jibril na waumini wote kupambana na hao wawili?
5. Awa wawili wana nguvu gani mpaka Allah asaidiwe
Mutah girl acha janja janja na jibu1) Soma aya 66:3
2) Wapi umeona wamefanya dhambi hata ufikiri kuwa kutubu ni kwa dhambi tu?
Hata Manabii huomba toba. Qur'an, 3...Jisomee...
146. Na Manabii wangapi walipigana na pamoja nao Waumini wengi wenye ikhlasi! Hawakufanya woga kwa yaliyo wasibu katika Njia ya Mwenyezi Mungu, wala hawakudhoofika wala hawakuwa wanyonge. Na Mwenyezi Mungu huwapenda wanao subiri. 146
147. Wala kauli yao haikuwa ila ni kusema: Mola wetu Mlezi! Tughufirie madhambi yetu na kupita kwetu kiasi katika mambo yetu, na isimamishe imara miguu yetu na utunusuru tuwashinde kaumu ya makafiri. 147
Sasa huoni kuwa umeingizwa mkenge na Wazungu? Jiulize kwanini zisiwepo kama wameandika wao hao wa awali? Umejazwa ujinga.Hapana, kwani kuna ulazima?
Nimesahau lakini kuanzia matayo mpaka matendo ya mtume ukisoma vizuri humo utakutana na Mungu alikaa kikao na wasaidizi wake kwamba nani aende kuokoa wanaadam ndipo yesu alipojitokeza kuwa yeye atakuja dunian kutuokoa na kwamba mateso yote atayamudu
Mwanaye siyo mungu! Ni mtoto wa Mungu ambaye huko mbiguni sijui ndiyo alikua malaika? Ndiyo siye waroma tupo zetu na bikra maria tu huku kuchanganywa hatutaki
Injili ipi iliyopo kwenye biblia aliyoitaja Allah?Biblia ipo kwa lugha yake original , ndio maana ata Allah akatumia neno injil ambalo sio la kiarabu kuelezea kitabu Cha issa
Repent au tubu - feel or express sincere regret or remorse about one's wrongdoing or sin1) Soma aya 66:3
2) Wapi umeona wamefanya dhambi hata ufikiri kuwa kutubu ni kwa dhambi tu?
Hata Manabii huomba toba. Qur'an, 3...Jisomee...
146. Na Manabii wangapi walipigana na pamoja nao Waumini wengi wenye ikhlasi! Hawakufanya woga kwa yaliyo wasibu katika Njia ya Mwenyezi Mungu, wala hawakudhoofika wala hawakuwa wanyonge. Na Mwenyezi Mungu huwapenda wanao subiri. 146
147. Wala kauli yao haikuwa ila ni kusema: Mola wetu Mlezi! Tughufirie madhambi yetu na kupita kwetu kiasi katika mambo yetu, na isimamishe imara miguu yetu na utunusuru tuwashinde kaumu ya makafiri. 147
Hiyo injili ni ya Allah haipo kwenye biblia na wala haijulikani ilipo, Allah Kuna mda alisema alipotezaInjili ipi iliyopo kwenye biblia aliyoitaja Allah?
Koran 66:3. Na Nabii alipo mwambia mmoja wa wake zake jambo la siri. Basi alipo litangaza yule mke, na Mwenyezi Mungu akamdhihirishia Mtume, alimjuvya sehemu na akaacha sehemu nyengine. Alipo mwambia hayo, huyo mke akasema: Nani aliye kwambia haya? Mtume akasema: Kaniambia Mjuzi Mwenye khabari zote1) Soma aya 66:3
2) Wapi umeona wamefanya dhambi hata ufikiri kuwa kutubu ni kwa dhambi tu?
Hata Manabii huomba toba. Qur'an, 3...Jisomee...
146. Na Manabii wangapi walipigana na pamoja nao Waumini wengi wenye ikhlasi! Hawakufanya woga kwa yaliyo wasibu katika Njia ya Mwenyezi Mungu, wala hawakudhoofika wala hawakuwa wanyonge. Na Mwenyezi Mungu huwapenda wanao subiri. 146
147. Wala kauli yao haikuwa ila ni kusema: Mola wetu Mlezi! Tughufirie madhambi yetu na kupita kwetu kiasi katika mambo yetu, na isimamishe imara miguu yetu na utunusuru tuwashinde kaumu ya makafiri. 147
Kwanza nini kilichokujulisha kuwa aliyetajwa hapo ni Nabii Muhammad na wake zake?Koran 66:3. Na Nabii alipo mwambia mmoja wa wake zake jambo la siri. Basi alipo litangaza yule mke, na Mwenyezi Mungu akamdhihirishia Mtume, alimjuvya sehemu na akaacha sehemu nyengine. Alipo mwambia hayo, huyo mke akasema: Nani aliye kwambia haya? Mtume akasema: Kaniambia Mjuzi Mwenye khabari zote
Swali
1:Huyu mke ni yupi na jina lake nani Kati ya wake 13 wa muhammad?
2: nani anaongea hapa mpaka anasema na mwenyezi Mungu akamdhihirishia ? Kama ni Allah kwa Nini hajasema na nikamdhihirishia? Je anajisahau yeye ni Mungu?
Hilo swali lingine , ni nabii gani alietajwa hapo?Kwanza nini kilichokujulisha kuwa aliyetajwa hapo ni Nabii Muhammad na wake zake?
Fata mafundisho, isome Qur'an kama itakiwavyo si kusomewa.Hilo swali lingine , ni nabii gani alietajwa hapo?
Sawa jibu basi maswaliFata mafundisho, isome Qur'an kama itakiwavyo si kusomewa.
Wewe ndiye uliyesema halafu unataka nithibitishe mimi? Kama si ujuha ni nini huo? Kama huelewi ulichokiandika au umeuliza swali kwa kufikiria tu kichwani mwako na kuweka majina yasiyo kuwepo inabidi ujifikirie mara mbili. Qur'an haitafsiriwi kwa maneno ya Binaadam inajitafsiri yenyewe.
Mimi majibu ninayo , kipenzi Cha Allah ,kinajulikana wazi ni MuhammadFata mafundisho, isome Qur'an kama itakiwavyo si kusomewa.
Wewe ndiye uliyesema halafu unataka nithibitishe mimi? Kama si ujuha ni nini huo? Kama huelewi ulichokiandika au umeuliza swali kwa kufikiria tu kichwani mwako na kuweka majina yasiyo kuwepo inabidi ujifikirie mara mbili. Qur'an haitafsiriwi kwa maneno ya Binaadam inajitafsiri yenyewe.
Sasa kama huo ndio muono wako na tafsiri yako nani akuzuwie?Mimi majibu ninayo , kipenzi Cha Allah ,kinajulikana wazi ni Muhammad
Koran 66:4 ...Allah ndiye kipenzi chake, na Jibrili, na Waumini wema, na zaidi ya hayo Malaika pia watasaidia
Sasa jibu maswaliSasa kama huo ndio muono wako na tafsiri yako nani akuzuwie?
Ulikuwa unauliza umbea?
Awa wanawake wawili walikuwa na nguvu kiasi gani mpaka Allah asaidiane na jibril, Malaika wote na waumini kupambana nao?Sasa kama huo ndio muono wako na tafsiri yako nani akuzuwie?
Ulikuwa unauliza umbea?