Mungu anawaogopa nini Wanadamu mpaka awatolee Sadaka ya Mwanae?

Nani ana hicho kipimo cha ukweli?

Ndugu akili yako Timamu ndio kipimo cha Ukweli. Kwani Ulipoambiwa Wewe ulikuwa Nyani ulikubaliana nao!?

Akili yako ilipochambua Ukaoona Hakuna Ukweli humo ukaachana Na Hiyo Mambo

ndio maana naona muhimu ni watu kuamua tu kufuata dini yeyote au kuanzisha yake maadamu mungu hachukii hata hiyo dini itakuwa na mambo ambayo si sahihi kwani kuna kosa au adhabu za kwa mungu? mimi naona hiyo ndio njia rahisi na ni suluhisho.

Sawa Ndugu Unawexa Kufanya Hivyo ila Akili Timamu za Watu ndizo zitakazochambua Dini uliyoianzisha ina Ukweli gani ili waifuate. Maana Kuna Maswali lazima Watauliza
 
Wewe jibu Mimi nimesoma Aya yote na Haina majibu ya maswali yangu , majibu niliyapata kwenye Hadith na tafsir

Koran 66:4. Kama nyinyi wawili hamkutubia kwa Mwenyezi Mungu, basi nyoyo zenu zimekwisha elekea huko. Na mkisaidiana dhidi yake muhammad, basi hakika Allah ndiye kipenzi chake, na Jibrili, na Waumini wema, na zaidi ya hayo Malaika pia watasaidia.

maswali
1. hao wawili ni kina nani? ,
2. Wamefanya dhambi gani mpaka waambiwe watubu? ,
3. Wakisaidiana dhidi ya Muhammad kwani Muhammad kafanya nini? ,
4. Kwa nini Allah asaidiane na Malaika wote , jibril na waumini wote kupambana na hao wawili?
5. Awa wawili wana nguvu gani mpaka Allah asaidiwe
1) Soma aya 66:3
2) Wapi umeona wamefanya dhambi hata ufikiri kuwa kutubu ni kwa dhambi tu?

Hata Manabii huomba toba. Qur'an, 3...Jisomee...

146. Na Manabii wangapi walipigana na pamoja nao Waumini wengi wenye ikhlasi! Hawakufanya woga kwa yaliyo wasibu katika Njia ya Mwenyezi Mungu, wala hawakudhoofika wala hawakuwa wanyonge. Na Mwenyezi Mungu huwapenda wanao subiri. 146

3_147.gif

147. Wala kauli yao haikuwa ila ni kusema: Mola wetu Mlezi! Tughufirie madhambi yetu na kupita kwetu kiasi katika mambo yetu, na isimamishe imara miguu yetu na utunusuru tuwashinde kaumu ya makafiri. 147
 
Mutah girl acha janja janja na jibu
Kwanini kawaambia nyoyo zenu zimekwisha elekea huko , wapi huko nyoyo zao zimeelekea

Alafu jibu Aya maswali

Koran 66:4. Kama nyinyi wawili hamkutubia kwa Mwenyezi Mungu, basi nyoyo zenu zimekwisha elekea huko. Na mkisaidiana dhidi yake muhammad, basi hakika Allah ndiye kipenzi chake, na Jibrili, na Waumini wema, na zaidi ya hayo Malaika pia watasaidia.

maswali
1. hao wawili ni kina nani? ,
2. Wamefanya dhambi gani mpaka waambiwe watubu? ,
3. Wakisaidiana dhidi ya Muhammad kwani Muhammad kafanya nini? ,
4. Kwa nini Allah asaidiane na Malaika wote , jibril na waumini wote kupambana na hao wawili?
5. Awa wawili wana nguvu gani mpaka Allah asaidiwe
 
Hapana, kwani kuna ulazima?
Sasa huoni kuwa umeingizwa mkenge na Wazungu? Jiulize kwanini zisiwepo kama wameandika wao hao wa awali? Umejazwa ujinga.

Wewe unaonesha unaamini kabisa kuwa Yesu alayhi salaam ni mzungu.

Wewe ni wa kanisa lipi la Ukristo? Muanglikana? Mkatoliki wa Roman au Mlutheri?
 
Nimesahau lakini kuanzia matayo mpaka matendo ya mtume ukisoma vizuri humo utakutana na Mungu alikaa kikao na wasaidizi wake kwamba nani aende kuokoa wanaadam ndipo yesu alipojitokeza kuwa yeye atakuja dunian kutuokoa na kwamba mateso yote atayamudu

So Yesu alijitokeza kama nani? Kwenye hilo kundi la wasaidizi yeye ni mmoja ya hao wa saidizi?
 
Mwanaye siyo mungu! Ni mtoto wa Mungu ambaye huko mbiguni sijui ndiyo alikua malaika? Ndiyo siye waroma tupo zetu na bikra maria tu huku kuchanganywa hatutaki

[emoji23][emoji16][emoji16]
 
Biblia ipo kwa lugha yake original , ndio maana ata Allah akatumia neno injil ambalo sio la kiarabu kuelezea kitabu Cha issa
Injili ipi iliyopo kwenye biblia aliyoitaja Allah?
 
1) Soma aya 66:3
2) Wapi umeona wamefanya dhambi hata ufikiri kuwa kutubu ni kwa dhambi tu?

Hata Manabii huomba toba. Qur'an, 3...Jisomee...

146. Na Manabii wangapi walipigana na pamoja nao Waumini wengi wenye ikhlasi! Hawakufanya woga kwa yaliyo wasibu katika Njia ya Mwenyezi Mungu, wala hawakudhoofika wala hawakuwa wanyonge. Na Mwenyezi Mungu huwapenda wanao subiri. 146

3_147.gif

147. Wala kauli yao haikuwa ila ni kusema: Mola wetu Mlezi! Tughufirie madhambi yetu na kupita kwetu kiasi katika mambo yetu, na isimamishe imara miguu yetu na utunusuru tuwashinde kaumu ya makafiri. 147
Repent au tubu - feel or express sincere regret or remorse about one's wrongdoing or sin

Acha kudanganya unaongea na watu wazima
 
1) Soma aya 66:3
2) Wapi umeona wamefanya dhambi hata ufikiri kuwa kutubu ni kwa dhambi tu?

Hata Manabii huomba toba. Qur'an, 3...Jisomee...

146. Na Manabii wangapi walipigana na pamoja nao Waumini wengi wenye ikhlasi! Hawakufanya woga kwa yaliyo wasibu katika Njia ya Mwenyezi Mungu, wala hawakudhoofika wala hawakuwa wanyonge. Na Mwenyezi Mungu huwapenda wanao subiri. 146

3_147.gif

147. Wala kauli yao haikuwa ila ni kusema: Mola wetu Mlezi! Tughufirie madhambi yetu na kupita kwetu kiasi katika mambo yetu, na isimamishe imara miguu yetu na utunusuru tuwashinde kaumu ya makafiri. 147
Koran 66:3. Na Nabii alipo mwambia mmoja wa wake zake jambo la siri. Basi alipo litangaza yule mke, na Mwenyezi Mungu akamdhihirishia Mtume, alimjuvya sehemu na akaacha sehemu nyengine. Alipo mwambia hayo, huyo mke akasema: Nani aliye kwambia haya? Mtume akasema: Kaniambia Mjuzi Mwenye khabari zote

Swali
1:Huyu mke ni yupi na jina lake nani Kati ya wake 13 wa muhammad?
2: nani anaongea hapa mpaka anasema na mwenyezi Mungu akamdhihirishia ? Kama ni Allah kwa Nini hajasema na nikamdhihirishia? Je anajisahau yeye ni Mungu?
 
Kwanza nini kilichokujulisha kuwa aliyetajwa hapo ni Nabii Muhammad na wake zake?
 
Hilo swali lingine , ni nabii gani alietajwa hapo?
Fata mafundisho, isome Qur'an kama itakiwavyo si kusomewa.

Wewe ndiye uliyesema halafu unataka nithibitishe mimi? Kama si ujuha ni nini huo? Kama huelewi ulichokiandika au umeuliza swali kwa kufikiria tu kichwani mwako na kuweka majina yasiyo kuwepo inabidi ujifikirie mara mbili. Qur'an haitafsiriwi kwa maneno ya Binaadam inajitafsiri yenyewe.
 
Sawa jibu basi maswali

Koran 66:4. Kama nyinyi wawili hamkutubia kwa Mwenyezi Mungu, basi nyoyo zenu zimekwisha elekea huko. Na mkisaidiana dhidi yake muhammad, basi hakika Allah ndiye kipenzi chake, na Jibrili, na Waumini wema, na zaidi ya hayo Malaika pia watasaidia.

maswali
1. hao wawili ni kina nani? ,
2. Wamefanya dhambi gani mpaka waambiwe watubu? ,
3. Wakisaidiana dhidi ya Muhammad kwani Muhammad kafanya nini? ,
4. Kwa nini Allah asaidiane na Malaika wote , jibril na waumini wote kupambana na hao wawili?
5. Awa wawili wana nguvu gani mpaka Allah asaidiwe
 
Fata mafundisho, isome Qur'an kama itakiwavyo si kusomewa.

Wewe ndiye uliyesema halafu unataka nithibitishe mimi? Kama si ujuha ni nini huo? Kama huelewi ulichokiandika au umeuliza swali kwa kufikiria tu kichwani mwako na kuweka majina yasiyo kuwepo inabidi ujifikirie mara mbili. Qur'an haitafsiriwi kwa maneno ya Binaadam inajitafsiri yenyewe.
Mimi majibu ninayo , kipenzi Cha Allah ,kinajulikana wazi ni Muhammad
Koran 66:4 ...Allah ndiye kipenzi chake, na Jibrili, na Waumini wema, na zaidi ya hayo Malaika pia watasaidia
 
Sasa kama huo ndio muono wako na tafsiri yako nani akuzuwie?

Ulikuwa unauliza umbea?
 
Sasa jibu maswali
Koran 66:1. Ewe Nabii! Kwa nini unaharimisha alicho kuhalilishia Mwenyezi Mungu? Unatafuta kuwaridhi wake zako. Na Mwenyezi Mungu ni Mwenye kusamehe, Mwenye kurehemu.

1. Muhammad alifanya dhambi ya kuharamisha kitu ambacho ni halali kwa nini?
2. Ni kitu gani Muhammad aliharamisha?
3. ALItaka kuwaridhia wake zake ,je ni wote 13 au ni baadhi?
4. Nani anaongea kwenye hii Aya Muhammad au Allah? Kama ni Allah kwa Nini anamtaja mwenyezi Mungu badala aseme nilikuhalalishia Mimi
 
Sasa kama huo ndio muono wako na tafsiri yako nani akuzuwie?

Ulikuwa unauliza umbea?
Awa wanawake wawili walikuwa na nguvu kiasi gani mpaka Allah asaidiane na jibril, Malaika wote na waumini kupambana nao?

Back
Top Bottom