Mungu anawaogopa nini Wanadamu mpaka awatolee Sadaka ya Mwanae?

Mungu anawaogopa nini Wanadamu mpaka awatolee Sadaka ya Mwanae?

Haha huyo jamaa kichwa panzi..haelewi kitu
Haya ndugu nimekubali kuwa Nipo hivyo basi Msaidie kumjibia Mwenzako aliyekimbia haya Maswali

1. Kama Mungu keshamzaa Yesu Kabla ya Ulimwengu kuwepo. Mariam alizaa Ninj

2. Isaya Alitabiri kuwa Mtoto ataitwa Emanueli ila Wewe unamwita Yesu. Jina Yesu kwanini lilitumika Badala la Jina Emanueli alililolitabiri nabii Isaya

3. Ulifanya Kosa Gani Mpaka Yesu unayeniambia Ni Mungu akaja Kwako kukukomboa
 
Sio kuogopa, ni upendo uliozidi kipimo

Yaani Mungu Aliyewaunguza Sodoma na Gomora kwa Kutenda maovu.. Mungu aliyeshusha Mvua Ikaangamiza Wale Viumbe waliokuwepo Kipindi hicho.

Leo hii mumuulize Mwanae wa Pekee Awaangalie Tu.. Mmpige Mijeredi na Kumtukana Asiwashushie Moto. Anawaogopa Nini Nyie
Alikuwa 100% Mungu na 100% mwanadamu. Kupitia uanadamu wake akapigwa mijeledi, akasulubiwa, akafa kwa ajili ya wote wnye mwili.

Kupitia Uungu wake akaponya na akaokoa. Leo tunatumia udhihirisho wake huu kutoa mapepo na kufungua waliofungwa
 
Alikuwa 100% Mungu na 100% mwanadamu. Kupitia uanadamu wake akapigwa mijeledi, akasulubiwa, akafa kwa ajili ya wote wnye mwili.

Kupitia Uungu wake akaponya na akaokoa. Leo tunatumia udhihirisho wake huu kutoa mapepo na kufungua waliofungwa
Wewe ulifanya Kosa Gani Mpaka Yeye aje. Umfanyie hayo yote

Hayo mapepo mbona Hayatoki kila siku mnayatoa huko Kanisani. Kama Kweli Yupo kanisani Huyo pepo angeweza Sogelea hilo kanisa
 
Haya ndugu nimekubali kuwa Nipo hivyo basi Msaidie kumjibia Mwenzako aliyekimbia haya Maswali

1. Kama Mungu keshamzaa Yesu Kabla ya Ulimwengu kuwepo. Mariam alizaa Ninj

2. Isaya Alitabiri kuwa Mtoto ataitwa Emanueli ila Wewe unamwita Yesu. Jina Yesu kwanini lilitumika Badala la Jina Emanueli alililolitabiri nabii Isaya

3. Ulifanya Kosa Gani Mpaka Yesu unayeniambia Ni Mungu akaja Kwako kukukomboa
We si umesema Biblia inapotosha..kwahiyo unataka nikupotoshe? maana mimi nafuata mafundisho ya Biblia.
 
Ndugu Yako katika Imani kaweka fact
Ni vizuri umekiri Uislam utaenda kufa na utarudi Madina kama nyika anavyorudi kwenye shimo lake , hilo tumemaliza msirudie tena kupinga unabii wa muhammad
Kwanza huyo si Muislamu, huwezi kumuita Mtume Muongo kisha ukawa bado Muislamu. Huyo si muislamu. Kwanza mtaje huyo mtu.

Kingine hakuna sehemu niliyokiri kwamba Uislamu utakufa, na Uislamu hautakufaa bali utarudi katika hali yake ya mwanzo.

Sasa nani amepinga unabii wa Mtume ? Hapa tunapinga upotoshaji wako wa kijinga.
 
We si umesema Biblia inapotosha..kwahiyo unataka nikupotoshe? maana mimi nafuata mafundisho ya Biblia.
Wewe ndio ulikuwa unasema Yesu si Mungu. Huoni kwamba Hujui hata Unachofuata na Kusimamia kwenye hayo Mafundisho

Maana Mm nakuuliza Wewe kuhusu hayo mafundisho uliyopo unakosa majibu unaniambia ninakichwa cha Panzi


Na Kama bado Unaamini kuwa si Mungu Basi Mungu wa Biblia hataki kuwaleta Pamoja maana Hamuwezi kuwa na Mafundisho tofauti tofauti halafu ni nyie kwa Nyie
 
Kwanza huyo si Muislamu, huwezi kumuita Mtume Muongo kisha ukawa bado Muislamu. Huyo si muislamu. Kwanza mtaje huyo mtu.

Kingine hakuna sehemu niliyokiri kwamba Uislamu utakufa, na Uislamu hautakufaa bali utarudi katika hali yake ya mwanzo.

Sasa nani amepinga unabii wa Mtume ? Hapa tunapinga upotoshaji wako wa kijinga.
Muhammad ndio ameweka wazi kabisa
Uislamu ulianza kama dini ndogo na utarudi kuwa dini ndogo
-Muhammad saying, “Islam began as a small religion and will return to the state in which it began. Then blessed will be the few Mishkat al-Masabih 159

Akaongeza Uislam utasinyaa na utarudi Madina kama vile nyoka anarudi kwenye shimo lake
-“Faith will shrink back to Medina as a snake shrinks back to its hole.” (Bukhari and Muslim.) Mishkat al-Masabih 160

*Ni wazi juhudi zetu mbeleni zinazaa matunda , tutaurudisha Uislam kwenye shimo
 
Upo sahihi kwamba Binadamu wa Sasa Hawezi patikana bila hivyo (mbegu ya Kike na Kiume). ila Binadamu wa kwanza Alipatikana Bila Hivyo maana Aliumbwa. Viumbe vyote vya Kwanza Viumbwa na Vilivyofuata Vilizaliana kwa Mifumo yao ilivyowekewa na Mungu

Binadamu wa Kwanza aliumbwa na Kuwekewa Mifumo ya Uzazi na Mifumo hiyo ndio inayoweza Kuzaa na Mungu aliweka Hivyo Ili watu waongezeke

Ukiwa na Mawazo kwamba Lazima Alizaliwa Maana Yake hakuna atakayepata Jibu la Mzazi wake ni nani. Maana Yake kama Ww unaamini Adam na Hawa Hata Wao walikuwa na Wazazi na Hao wazazi walikuwa na Wazazi na Hao wazazi walikuwa na Wazazi
Kwahiyo mtu wa kwanza aliumbwa hilo unaona linawezekana ila mtu kupatikana kwa kuzaliwa pasipo mbegu za kike na kiume hilo Mungu haliwezi?
 
ila mimi swali linalokuja kichwani ni je !

Mungu na Shetani nani ana nguvu ?
kama Shetani ni kiumbe wa Mungu kwa nini vitu vizuri vizuri vyote ni vya Shetani ?

mziki shetani, mademu wazuri shetani, pesa shetani,pombe shetani ...

Mungu ana uwezo gani wa kutushawishi sasa ?
 
Hili andiko lako Mungu alishatoa jibu kwamba "msichunguze maandiko maana mnatafuta ubatili"!

Mungu alijua upo na utachunguza lutafuta makosa tuu Wala hutafuti usahihi.

Yesu ni Mungu.

kama Yesu ni Mungu na Baba yake Yesu ni nani ?

na Mungu wa Yesu ni nani ?
 
Alimtoa sadaka mwanaye mpendwa akamuacha apigwe kichapo cha aibu mpaka kifo

Fikiria huyo ni mwanaye mpendwa na hakuna mwingine kwa Mungu mwenye kuzidi viwango vya upendo kama huyo

Na bado belivers wanaendelea kutaka tuamini kuwa anatupenda

He killed his own son so that he can forgive us... but if we don’t believe he killed his own son he is gonna kill us too

What a joke but I ain't laughin?

alimtoa mwanaye kwa nani ikiwa yeye ndiye top ?
 
Ungejiuliza Wewe kwanza hilo Swali Ndugu yangu maana Wewe upo kwenye hayo Hayo mapokeo ya Wazee wa Israeli na Mababu wa Huko

Kwa Upande wangu Ni Masimulizi ya Wazee wetu Na Binadamu wa Kwanza Na Si kwamba Aliongea na Mungu bali Muujiza Wake Mungu





Mungu yupo alipo na Hakai na Viumbe vyake. Muujiza Wake ndio upo Na Unatenda Uumbaji Mpka Dakika Hii tunayoongea. Unaumba Viumbe kila Siku na Haujawahi kuchoka.

Wewe unamtegemea Mungu Ila Kumtii ni Jukumu lako mwenyewe hakulazimishi. Unamtegemea Yeye ambaye Humuoni Maana Ukilima Unapata Mazao ukienda Hapo Nje utachuma Mchicha Ambao hujui umetoka wapi na Utakula ukienda sehemu utachuma Embe Utakula Ambalo hujui Limefikaje hapo. Utakuta uyoga umejiotea Utachuma na Utakula. Utaenda Kwenye Vyanzo vya Maji utakunywa Maji yake bila Kujua Yametokea Wapi. HAPO unakuwa umemtegemea Mungu. Manaa hivyo vyote aliviumba na akakuwekea Wewe kiumbe hata Kma Ni muovu utavipata

Sasa Ukiniuliza Mungu nimejuaje kwamba Yupo au Hayupo wewe ndio ujiulize Kwanini Ninaweza Kula Bila kujua Chakula hiki kimefikaje Hapa ninaweza Kunywa Maji yaliyopo bila Shida
Mkuu hiyo miujiza kwanini itokee kwa hao wazee tu na kibaya hawana uthibitisho katika hicho wanachokidai? Una uhakika gani kuwa hao binaadamu wa mwanzo au wazee huko hayo waliyoyaeleza kuhusu mungu ni ya kweli na si vitu walivyovitunga tu?

Inakuwa ngumu tukisema tuanze kujadili mungu hivi au vile wakati bado hatujaelewana hayo mambo yahusuyo mungu tunayapata vp.
 
Wewe Ni dhehebu gani mpaka useme Yesu sio Mungu?. Msingi wa Ukristo Ni utatu Mtakatifu. Mungu Baba, Mungu Mwana na Roho Mtakatifu. Kama huamini hilo wewe utakuwa sio mkristo Bali dini nyingine au cult.

Je, Mungu ni watatu-katika-mmoja na ni mmoja katika watatu kwa wakati mmoja au ni mmoja kwa wakati huo huo?
 
Kuna Mambo Yapo Ulimwenguni ukiyatafakari kwa Kina hayaingii Akilini ndugu waafrika wenzangu

Kuna Historia katika Vitabu kwamba Mungu alimtoa Mwanae Ili aje Kuikomboa Dunia katika Dhambi (ambazo zipo mpaka Leo)

Ukiangalia kwa Undani Historia hii ya kuzaliwa kwake inatia Shaka sana kabla ya Kujua Majibu ya kuzaliwa kwake inakuja Historia kwamba hana Baba. Kabla hujapata Majibu ya Baba ni nani Inakuja Kwamba ni Uwezo wa Mungu ndio akazaliwa. Yanakuwa Maswali juu ya Maswali

Kumbuka Yusufu na Mariam si kwamba Walikuwa ni Wachumba la hasha bali walikuwa tayari wapo Ndani (wameoana) wanaishi pamoja. Hakuna wachumba Wanaoishi pamoja kwa Utaratibu wa Kuishi. Ukichumbia wewe utakaa kwako na Huyo mchumba atakaa kwao. Kama Waliishi pamoja maana Yake waliweza Kushiriki Tendo la Ndoa yao na Ukifuatilia kwa Makini Yusuf alikuwa Pamoja na Mariam kila Sehemu hakuna Sehemu inayosema Alikuja Kumuoa mariam Ikiwa na Maana Kwamba Tayari alikuwa keshaoa maana yake ule uchumba ulio andikwa Tayari ukayeyuka

Binadamu huzaliwa Kwa Mwanaume na Mwanamke hili halina ubishi. Ila Kuna Kuja Utata wa Hapa Kwamba Yesu alizaliwa bila Mfumo maalumu wa Uzazi wa Baba na Mama ila Roho Mtakatifu kama Wanavyodai (kumbuka Hata Huko india Wapo Watu wenye Hadithi hizi hizi za Kuzaliwa bila Baba)

Sasa Hapa Unajiuliza Maswali. Mungu huyo aliyeweza Kumuumba Mwanadamu wa Kwanza Bila Kutumia mifumo ya Uzazi Inakuwaje leo aje Aanze Kumuumba Binadamu mwingine anayedaiwa ni Mwanae kwa Mifumo ya Uzazi na Akaenda kwa Mariam ambaye alikuwa teyari ana Mume(kumbuka Hapa Mungu hazai na Wala Hakuzailiwa)

Sasa Anamzaa mwanae kupitia Mariam mara Yusufu atake kumkimbia Mariam maana Kuna Siri May be Yusufu aliiona akaona Hapa Nimepigwa na Baada ya Yesu kuzaliwa Yusuf Anapotea Ghafla kwenye Maandiko na Historia yake inaishia Hapo hapo

Mungu anamtoa Mwanae. Anakuja Mnamkataa, mnampiga, mnamtesa anawahubiria mnagoma Kukubali maneno yake mnamfukuza kwenye masinagogo yake, Anaenda Kusali mlimani peke yake, anakusanya wanafunzi wake. Hao wanafunzi nao mnawakataa mnawafukuza. Hivi Mungu hapo anawaogopa Nyie kisa Nini mpak Awafanyie Haya Yote Nyie Viumbe wake

Yaani Mungu mpaka Anatoa Mtoto wake Wa Pekee ili awabembeleze nyie mmrudie Yeye na Mnakataa. Sasa Hapo Mungu Anakuwa na Ule Uwezo na Kutoshindwa Kitu kweli. Kama Kawatumia Mwanae na Mmemgomea kawatumia Manabii na Mitume mmemgomea Tena na hamtaki kumrudia. Hivi Mungu anawalemba Hivyo Ili Iweje

Si kila Mtu anayezaliwa bila Baba Yake basi Baba Yake ndio Mungu. Wachawi wanazini na Binadamu kila Siku na Wachawi hao hao ndio Binadamu wenzenu. Wanawake wanabeba Mimba zingine wasizozijua zimetoka wapi

Basi Mjue Kwamba Hapo Mwenye Enzi Mungu hayupo na Mnaozeshwa Akili zenu ndugu zangu. Kaeni Chini Mtafakari kwa Akili zenu Timamu. Mungu hawezi kufanya hayo Kwa Viumbe wake. Yeye hayupo Hivyo

[emoji3507]Mungu si Mmoja
[emoji3507]Mungu si Wengi
[emoji3507]Mungu si Baba
[emoji3507]Mungu si Mama
[emoji3507]Mungu si Kiumbe
[emoji3507]Mungu hachukii Viumbe
[emoji3507]Mungu hapendi Viumbe wake ila Ana Enzi na Viumbe wake (usijione wewe Kiumbe Mtu unapendwa na Mungu Kuliko Viumbe wake wengine aliowaumba)
[emoji3507]Mungu hakuzaa wala Kuzaliwa

Yachunguzeni maandiko Yenu mtajua kwamba si Maandiko ya kiucha Mungu ila Maandiko ya Viumbe wenye Tamaa

ASANTENI
"Vitabu" gani?

Qur'an (Criterion) haisemi yote hayo uliyoyaweka. Soma Qur'an kwa kuielewa utaelewa kuwa Yesu ana baba yake kama binadam mwengine yeyote yule.

Vitabu vingine vimeleta porojo na vimetiwa mikono ya watu, Qur'an ndio kitabu pekee kilicho na miaka zaidi ya 1400 na hakijatiwa mkono wa mtu. Kitabu pekee kinahifadhiwa vifuani mwa watu toka kuteremshwa kwake.
 
Kama hiyo ni fact maana yake umethibitisha Muhammad alitoa unabii wa uongo , nimeshakwambia nimeshamaliza kazi
Hapa kasema Uislamu ulianza kama dini ndogo na utarudi kuwa dini ndogo, na wewe umethibitisha kadanganya kwa kuweka fact
He also reported Muhammad saying, “Islam began as a small religion and will return to the state in which it began. Then blessed will be the few Mishkat al-Masabih 159
kumuelimisha Mjinga ni kazi kweli kweli yni
 
Ukitaka kujadili usiwe unampinga Muhammad , muheshimu, kati ya unabii wake kasema wazi uislamu ulianza kama kituko na utarudi kuwa kituko, ulianza kama dini ndogo na utarudi kuwa dini ndogo
“Islam began as something strange and will go back to being strange, so glad tidings to the strangers.’”Sunan Ibn Majah 3986
He also reported Muhammad saying, “Islam began as a small religion and will return to the state in which it began. Then blessed will be the few Mishkat al-Masabih 159
Sasa wewe poyoyo una report story za watu na majina yao unayataja halafu unaongelea "Muhammad"?

Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?
 
kumuelimisha Mjinga ni kazi kweli kweli yni
Mbona mambo yapo wazi ni elimu gani unataka kutoa
Wewe umesema Uislam unaongezeka na ukaweka fact , Muhammad akasema Uislamu utakuwa dini ndogo , Kati ya nyie wawili mmoja ni muongo sasa unatakiwa ujibu nani? Wewe au Muhammad
Muhammad saying, “Islam began as a small religion and will return to the state in which it began. Then blessed will be the few Mishkat al-Masabih 159
 
Unaongelea allah alivyofanya cloning ya kutengeneza issa bandia , issa bandia akasulubiwa?
157. Na kwa kusema kwao: Sisi tumemuuwa Isa, mwana wa Maryamu, Mtume wa Mwenyezi Mungu - nao hawakumuuwa wala hawakumsalibu, bali walifananishiwa tu.

Kwa nini allah aliwafanyia huu uongo?
Ilo mujiulize nyinyi mulodanganywa kua mumemsulubu mushaambiwa kafananishwa nyie mumeshikilia kasulubiwa sisi hatuamini hilo
 
Sasa wewe poyoyo una report story za watu na majina yao unayataja halafu unaongelea "Muhammad"?

Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?
Mutah girl Wewe sio Sunni kwa hiyo kwenye post zangu Kaa pembeni

“Islam began as something strange and will go back to being strange, so glad tidings to the strangers.’”Sunan Ibn Majah 3986
He also reported Muhammad saying, “Islam began as a small religion and will return to the state in which it began. Then blessed will be the few Mishkat al-Masabih 159
 
Back
Top Bottom