Mungu anawaogopa nini Wanadamu mpaka awatolee Sadaka ya Mwanae?

Pinga haya maneno ya Muhammad tufunge mada

Uislamu ulianza kama dini ndogo na utarudi kuwa dini ndogo
-Muhammad saying, “Islam began as a small religion and will return to the state in which it began. Then blessed will be the few Mishkat al-Masabih 159

Akaongeza Uislam utasinyaa na utarudi Madina kama vile nyoka anarudi kwenye shimo lake
-“Faith will shrink back to Medina as a snake shrinks back to its hole.” (Bukhari and Muslim.) Mishkat al-Masabih 160
Nimekuekea aya apo naona upo na mihemuko yako tuu

Kumuelimisha mjinga ni kazi kweli kweli
 
Wewe uliona nini? Kuwa Yesu Mzungu aliyetundikwa msalabani?
Mutah girl jikite kujibu acha longolongo kama umemaliza mutah mda si mrefu ,
Alie fananishia na waliofananishiwa wakaona na wakaandika walicho ona nani muongo?
 
Mutah girl , nakwambia post zangu Kaa pembeni, Mimi na target wenye maandiko Yao wewe hayakuhusu , wewe jikite kufanya mutah
Wewe hili jukwaa huru, huna andiko la maana hapa. Ukiandika uharo tutakuweka sawa, mpaka utaelewa kuwa huu ni uharo.

Muta ni bora kuliko wewe kila mwanamme anaeingia kwenu unaambiwa mwamkie babako.
 
Kama ulikuwa hulewwi, elewa kuwa Qur'an zimo vifuani mwa watu toka siku ya kwanza ilipoteremshwa hadi leo. Hakuna kitabu chochote duniani kilichohifadhiwa vifuani mwa watu kama Qur'an.

Hivyo vya mikono ya watu huko huko mnakodanganyana msiojuwa hata maana ya Qur'an ni nini.
Ok FaizaFoxy. Je unayoyafanya Wewe sasa Hivi Mtume wako Muhammad aliyafanya. Unavyoabudu wewe mtume wako ndio kakuelekeza Na Alifanya Unayofanya Wewe
 
Nimekuekea aya apo naona upo na mihemuko yako tuu

Kumuelimisha mjinga ni kazi kweli kweli
Siitaji Aya Pinga Aya maneno mbona simple tu alafu tunafunga mada
Uislamu ulianza kama dini ndogo na utarudi kuwa dini ndogo
-Muhammad saying, “Islam began as a small religion and will return to the state in which it began. Then blessed will be the few Mishkat al-Masabih 159

Akaongeza Uislam utasinyaa na utarudi Madina kama vile nyoka anarudi kwenye shimo lake
-“Faith will shrink back to Medina as a snake shrinks back to its hole.” (Bukhari and Muslim.) Mishkat al-Masabih 160
 
Kwa hiyo unataka kutuambia Yesu ni mtoto wa Yusufu na hakufanyika kwa uwezo wa Roho mtakatifu?
Kwanza kitendo tu cha kuamini baadhi ya maandiko, tayari umekubaliana na uwepo wake.
Hivyo amini kuwa hakuna analoshindwa.
 
Mungu hayupo Hivyo Mungu hana Upenzi na Viumbe wake yeye ana Enzi na Viumbe wake.(ndio maana ya Mwenyezi Mungu) Wanaopenda ni Mimi na Wewe. Ukisema Mungu anakupenda halafu Kumbe anamtoto anayempenda Zaidi mpaka Akamtoa Kwako umuue Kama Mnavyoamini ujue kwamba Wewe hupendwi anampenda Mwanae zaidi

Mie swali Langu ni Hili. WEWE ULIFANYA NINI MPAKA MUNGU AKAMTOA MWANAE KAMA SADAKA
Bible inasema Mungu ni upendo. So huwezi sema Mungu hana mapenzi kwa viumbe wake. Kwa upendo wake huo, Mungu akaamua kumtoa Yesu ili awakomboe wanadamu kutoka katika dhambi. Adamu alivyotenda dhambi aliwaingiza binadamu katika dhambi, na mshahara/malipo wa dhambi ni kifo. So kwa upendo Mungu akamtoa Yesu kuwakomboa wanadamu.
 
Siitaji Aya Pinga Aya maneno mbona simple tu alafu tunafunga mada
Uislamu ulianza kama dini ndogo na utarudi kuwa dini ndogo
-Muhammad saying, “Islam began as a small religion and will return to the state in which it began. Then blessed will be the few Mishkat al-Masabih 159

Akaongeza Uislam utasinyaa na utarudi Madina kama vile nyoka anarudi kwenye shimo lake
-“Faith will shrink back to Medina as a snake shrinks back to its hole.” (Bukhari and Muslim.) Mishkat al-Masabih 160
kwa kua umetamalaki kwenye ujinga basi endelea kua mjinga
mna nyie makafiri chuki zenu ni za ajabu mnoo
 
Wewe hili jukwaa huru, huna andiko la maana hapa. Ukiandika uharo tutakuweka sawa, mpaka utaelewa kuwa huu ni uharo.

Muta ni bora kuliko wewe kila mwanamme anaeingia kwenu unaambiwa mwamkie babako.
Mutah girl nimekwambia hayo maandiko hayakuhusu , wahusika wako na wanayathamini , wewe jikite kwenye mutah , mbona simple potezea endelea na mutah
 
kwa kua umetamalaki kwenye ujinga basi endelea kua mjinga
mna nyie makafiri chuki zenu ni za ajabu mnoo
Kiswahili kigumu kwako PINGA AYA MAANDIKO
Uislamu ulianza kama dini ndogo na utarudi kuwa dini ndogo
-Muhammad saying, “Islam began as a small religion and will return to the state in which it began. Then blessed will be the few Mishkat al-Masabih 159

Akaongeza Uislam utasinyaa na utarudi Madina kama vile nyoka anarudi kwenye shimo lake
-“Faith will shrink back to Medina as a snake shrinks back to its hole.” (Bukhari and Muslim.) Mishkat al-Masabih 160
 
Bible inasema Mungu ni upendo. So huwezi sema Mungu hana mapenzi kwa viumbe wake. Kwa upendo wake huo, Mungu akaamua kumtoa Yesu ili awakomboe wanadamu kutoka katika dhambi. Adamu alivyotenda dhambi aliwaingiza binadamu katika dhambi, na mshahara/malipo wa dhambi ni kifo. So kwa upendo Mungu akamtoa Yesu kuwakomboa wanadamu.
Hivi wewe unaweza kumuua mwanao ili umpe msamaha mwizi aliokuibia?

Mambo mengine hayo mnadanganywa tu na wazungu, hayaingii kabisa akilini. Kweli, wajinga ndio waliwao.
 
Mutah girl nimekwambia hayo maandiko hayakuhusu , wahusika wako na wanayathamini , wewe jikite kwenye mutah , mbona simple potezea endelea na mutah
Narudia, "shikamo baba" ushamjua yupi ndio wa kweli? Siku hizi kuna dna, kawapime tu wote.

Siku zingine ukome kuleata porojo zako kusingizia ni maneno ya Mtume Muhammad Salla Allahu Alayhi Wasalaam.
 
Bible inasema Mungu ni upendo. So huwezi sema Mungu hana mapenzi kwa viumbe wake. Kwa upendo wake huo, Mungu akaamua kumtoa Yesu ili awakomboe wanadamu kutoka katika dhambi. Adamu alivyotenda dhambi aliwaingiza binadamu katika dhambi, na mshahara/malipo wa dhambi ni kifo. So kwa upendo Mungu akamtoa Yesu kuwakomboa wanadamu.

Sawa Ndugu Lycaon

1. Sasa Dhambi za Adam zinakuwaj Dhambi zako Lycaon kwani Ww ulikula Tunda. Dhambi inarithishwa?

2. Halafu Kama Yesu Alikuja Kukomboa Mbona Bado wanadamu wana Dhambi?

3. Kwanini Unapozaliwa Unaambiwa una Dhambi ya Asili wakati Yesu alifia Dhambi hiyo

4. Ulifanya Jambo Gani lililomfanya Yesu atolewe Sadaka kwa Ajili Yako

La Mwisho. Mungu hana Upendo na Viumbe vyake ukisema Amekupenda wewe basi Malaika na Majini hawapendi huyo Mungu ni Mbaguzi
 
Hivi wewe unaweza kumuua mwanao ili umpe msamaha mwizi aliokuibia?

Mambo mengine hayo mnadanganywa tu na wazungu, hayaingii kabisa akilini. Kweli, wajinga ndio waliwao.
Huo ndiyo upendo usioelezeka. Ndiyo maana imeandikwa kwa maana hii Mungu aliupenda ulimwengu. Na hii habari haijaanzishwa na wazungu.
 
Back
Top Bottom