Mungu anawaogopa nini Wanadamu mpaka awatolee Sadaka ya Mwanae?

Mungu anawaogopa nini Wanadamu mpaka awatolee Sadaka ya Mwanae?

Ndugu yangu toka Lini mababu walikuwa na Dini!? Dini ni hizo Mlizopo nyie. Kuna Mwana JF nishamuelekeza Sehemu na Keshaungwa Huko Telegram ila Wewe unachotaka Ni Ubishi tubishane..

Mbona Mkiw Huko Huwa mnaenda Sehemu mnafundishwa

Mbona Huwa mnanunua Biblia na Vitabu vingine

Ila Mimi Nakuambia Fany Hivi na Vile Unataka Viwekwe Kila Kitu Humu
Hakuna aliyekwambia uweke kila kitu humu acha ujanja ujanja, hivi mkuu unafikiri mtu atashawishika vp kuja tu huko Telegram kisa et wewe unashambulia ukristo na uislamu humu? Acha kutumia muda mwingi kushambulia dini jielekeze kuweka masomo ya hiyo imani yako watu wasome wakivutiwa watataka kujifunza zaidi ndipo watakuja huko Telegram.
 
Wewe ndugu Yangu unahitaji Elimu Kwanza Ya Kuishi kabla Ya Elimu ya Mungu. Nimekuambia Kipo Kitabu na Zipo Audio na Maandishi Yapo Kwenye Technology ya Whatsapp na Telegram. Wewe Technology uliyoiona Ni Softcopy tu

Hujui hata Biblia ina Audio [emoji345]
Tumeshamaliza huna kitabu usirudie tena, maana unadai kitabu kipo whatsapp tu na hakuna nakala yoyote kwenye web
 
Unataka Kitabu kilicho katika Hardcopy kiwekwe JF unataka Audio zaidi ya 500 ziwekwe Humi JF ndugu yangu. Unataka Maandiko Niya-copy na Kuyaweka Humu
Yani unasema kitabu ni Hardcopy alafu unasema kipo whatsapp , kipo whatsapp alafu unashindwa kukiweka hapa , acha janja janja za kitapeli tafuta pesa kwa njia za halali
 
Hakuna aliyekwambia uweke kila kitu humu acha ujanja ujanja, hivi mkuu unafikiri mtu atashawishika vp kuja tu huko Telegram kisa et wewe unashambulia ukristo na uislamu humu? Acha kutumia muda mwingi kushambulia dini jielekeze kuweka masomo ya hiyo imani yako watu wasome wakivutiwa watataka kujifunza zaidi ndipo watakuja huko Telegram.
Wewe ulitaka Madokezo nimekuwekea Madokezo.. Ulitaka Maelezo ya Utofauti uliopo Nikakuwekea Maelezo sasa Hivi unanilaumu Mimi naleta Janja Janja. Nyie Mmeshikiliwa na Roho za Kutotaka Kujifunza.
 
Yani unasema kitabu ni Hardcopy alafu unasema kipo whatsapp , kipo whatsapp alafu unashindwa kukiweka hapa , acha janja janja za kitapeli tafuta pesa kwa njia za halali
Sawa Ndugu. Mie ni Tapeli kama Unavyoona Wewe. Ila Mchungaji wako anayekuambia Anampelekea Mungu sadaka Huoni ni Tapeli

Sijakuomba Pesa wala Kitu chochote kile ndugu yangu
 
Wewe ulitaka Madokezo nimekuwekea Madokezo.. Ulitaka Maelezo ya Utofauti uliopo Nikakuwekea Maelezo sasa Hivi unanilaumu Mimi naleta Janja Janja. Nyie Mmeshikiliwa na Roho za Kutotaka Kujifunza.
Mkuu JF tunajifunza vingi tu sasa sijui kwanini useme hatutaki kujifunza? Tatizo ni wewe kama nilivyokwambia kwamba unatumia muda mwingi kushambulia dini kuliko kuweka baadhi ya hayo masomo yaliyoko huko Telegram. Wewe una challenge imani za dini humu ila nachokiona kwako unaogopa challenge kwenye hiyo imani yako ndio maana unasema waende huko Telegram.
 
Sijaogopa Challenge ndio Maana Nimeweka Topic kibao Humu.

1. Mungu kwanini Haonekani
2. Mungu hakai na Viumbe wake
3. Malaika Na Majini ni Viumbe sawa na Wewe
4. Allah/Jehovah/Jah si Mungu
5. Mungu haongei wala Kuandika Chochote kile
6. Adam na Hawa Si Binadamu wa Kwanza
7. Mungu hazai wala kuzaliwa
8. Mungu si Wengi
9. Mungu si Kiumbe wala Si Nafsi

Hizo ni Baadhi Ya Mambo Niliyoyazungumza Humu. Sasa Wewe ndugu unasema Nashindwa kuweka Imani humu wakati hizo zote nimeshazizungumza Humu

Mimi kukuambia Kwenda Telegram au WhatsApp ni wewe kwenda kujifunza Zaidi. Kama Unavyoenda Sunday school au Madrasa. Hujawahi kuuliza Kwanini unaenda Huko maana Unajua Ni kwenda Kujifunza Zaidi
 
Waafrika wengi bado wanaamini Brian Deacon ni yesu na picha zake wamepamba ndani, hawajui yule ni Raia wa Uingereza aliyelipwa pesa kucheza filamu ya yesu na kwa sasa anaendelea na kazi zake nyingine
Hii ni kweli kabisa
 
Wakat
Peleka uharo wako huko, mjitungie wenyewe msingizie wengine?

Heri ya wa Muta kuliko wewe kila mwanamme anaeingia kwenu unaambiwa mwamkie babako.

iQuote Qur'an, ndio kitabu pekee alichopewa Mtume Muhammad na Allah.

Hizo zingine zote porojo zenu msiokuwa na akili timamu.
I anapewa hicho kitabu kulikuwa na shahidi yeyote aliyeona?
 
Peleka uharo wako huko, mjitungie wenyewe msingizie wengine?

Heri ya wa Muta kuliko wewe kila mwanamme anaeingia kwenu unaambiwa mwamkie babako.

iQuote Qur'an, ndio kitabu pekee alichopewa Mtume Muhammad na Allah.

Hizo zingine zote porojo zenu msiokuwa na akili timamu.
Wakati anapewa hicho kitabu kulikuwa na shahidi au mtu mwingine yeyote aliyeshuhudia? Au ni story za sungura na fisi 🤣🤣
 
Bible inasema Mungu ni upendo. So huwezi sema Mungu hana mapenzi kwa viumbe wake. Kwa upendo wake huo, Mungu akaamua kumtoa Yesu ili awakomboe wanadamu kutoka katika dhambi. Adamu alivyotenda dhambi aliwaingiza binadamu katika dhambi, na mshahara/malipo wa dhambi ni kifo. So kwa upendo Mungu akamtoa Yesu kuwakomboa wanadamu.
Kwahiyo mission yake ilifeli? maana bado kuna dhambi lukuki tu 🤔
 
Kwanza umekisoma hicho kitabu au unataka kubishana hewa tu?
Kukisoma hicho kitabu na swali langu vinahusianaje? mimi nakunukuu wewe umesema kuwa mudi alipewa kitabu na Mungu ndio nimekuuliza kulikuwa na mwingine yeyote alieshuhudia hilo tukio? Na tutajuaje aliempa ni Mungu?
 
Don't judge the book by its cover.

Unajadili kitu ambacho hukifahamu? Ujuha huo. Na pale unapojaribu kujadili kitabu bila kukisoma ndio zaidi ya ujuha.
 
Don't judge the book by its cover.

Unajadili kitu ambacho hukifahamu? Ujuha huo. Na pale unapojaribu kujadili kitabu bila kukisoma ndio zaidi ya ujuha.
Shost si ujibu swali mbona unarukaruka tu? 😂😂😂 Sasa mimi na wewe nani juha mimi nakuuliza swali unaleta porojo jibu ni simple tu kulikuwa kuna watu wengine mashuhuda au alipewa yeye kimya kimya tu unakwama wapi?
 
Don't judge the book by its cover.

Unajadili kitu ambacho hukifahamu? Ujuha huo. Na pale unapojaribu kujadili kitabu bila kukisoma ndio zaidi ya ujuha.
Ungejibu tu , huwa unazunguka Sana na huna majibu

Mjibu ukweli hakuna alieshuhudia Muhammad akipewa Koran , ni Muhammad na stori zake za jibril na Allah

Ungemuongezea pia hakuna muujiza alioleta Muhammad watu wakaona na Koran yenyewe imekiri haitatoa muujiza

Labda ka muujiza ka mutah kwa mbaliii
Maana kanaleta muujiza wa mtoto kutokuwa na baba
 
Back
Top Bottom