Mungu anaweza kutenda dhambi?

Mungu anaweza kutenda dhambi?

Jibu ni Ndiyo

Katika amri kumi alizompa Musa, Mungu aliagiza kuwa "usiue"

Lakini wote tunakubaliana kuwa Gharika, sodoma na gomola yalikuwa ni mauaji ya kikatili mno yaliyo ratibiwa na Mungu mwenyewe.
 
Kwa uelewa (Mpana na mdogo) na kwa kutumia mfano uliouleta, unafkr kwa nn Mungu alifanya alichofanya kwa watu wa Sodoma na Gomora?
 
Kwa mujibu wa vitabu vya dini, Mungu amewahi kuua si mara moja wala si mtu mmoja.
ameua maelfu kwa maelfu.

Na bado hajaishia hapo ameandaa moto wa Jehanamu awachome wanadamu.

Mungu ni katili sana. hatupaswi kumnyenyekea katili hata kidogo
 
Au yeye akifanya dhambi haihesabiki?
 
Anao uwezo wa kutenda dhambi akiamua?
Yes/No
Mungu hana dhambi, sio kutenda God is not physical being km wewe na mimi ni spiritual being and spiritual means love, hukupa kwa wakati hakawii wala hawai, upendo wa Mungu hakuna mfano
 
Kwa uelewa (Mpana na mdogo) na kwa kutumia mfano uliouleta, unafkr kwa nn Mungu alifanya alichofanya kwa watu wa Sodoma na Gomora?
Ngoja nijaribu kufikiria kama nimeelewa target ya swali lako

Kwamba Mungu alikuwa sahihi kuwaangamiza hao watu kwasababu walikuwa na hatia?

Vipi kama nikikupa mkasa mwingine unao onesha kuna watu pia waliwahi kuangamizwa na Mungu bila hatia ikiwemo watoto wadogo?

Reaction yako itakuwaje?
 
Unakufuru utalaanika kiburi Cha uzima hicho. Mungu hawezi tenda dhambi
 
Kwa mujibu wa vitabu vya dini, Mungu amewahi kuua si mara moja wala si mtu mmoja.
ameua maelfu kwa maelfu.

Na bado hajaishia hapo ameandaa moto wa Jehanamu awachome wanadamu.

Mungu ni katili sana. hatupaswi kumnyenyekea katili hata kidogo
mungu wa biblia aliwahi kumuadhibu mmoja kati ya wafalme kwa kosa la kutoua "usiue" jamaa alitii hii amri sema kwa ubaguzi, akaadhibiwa.
 
Back
Top Bottom