Afrocentric view
JF-Expert Member
- Jun 19, 2022
- 1,374
- 2,280
- Thread starter
- #21
MalaikaAmbake nani sasa?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
MalaikaAmbake nani sasa?
Kwenda kinyume cha sheriaDhambi ninini?
Hiyo amri ya kutoua alipewa nani?Jibu ni Ndiyo
Katika amri kumi alizompa Musa, Mungu aliagiza kuwa "usiue"
Lakini wote tunakubaliana kuwa Gharika, sodoma na gomola yalikuwa ni mauaji ya kikatili mno yaliyo ratibiwa na Mungu mwenyewe.
Hapana sio tafsiri yake kwakuwa kuna sheria kandamizi.Kwenda kinyume cha sheria
Nlimaanisha sheria za mungu.Hapana sio tafsiri yake kwakuwa kuna sheria kandamizi
Dhambi ni jambo lolote lile la kuwaza, la kunena na la kutenda ambalo
Halimuumizi mhusika ama wengine/vingine
Halimharibu mhusika wala wengine/vingine
Halina madhara yoyote yale kwa mhusika wala kwa wengine na vingine
Hukufafanua..basi sawaNlimaanisha sheria za mungu.
Hizo sheria haziwezi kuvunjwa hata na mamlaka yenyewe.Nlimaanisha sheria za mungu.
Kama ni hivyo inakuwaje Mungu atende dhambi? Yeye hawajibiki kwa yoyote wala chochote yuko juu ya kila kitu.Kwenda kinyume cha sheria za mungu
Mungu ni roho sio mwiliMimi naamini dhambi inawahusu viumbe wote wenye akili timamu.
Mungu sio kiumbe hivyo dhambi haipo kwenye daraja lake.
Mungu ni roho sio mwiliMimi naamini dhambi inawahusu viumbe wote wenye akili timamu.
Mungu sio kiumbe hivyo dhambi haipo kwenye daraja lake.
Kwann?Hizo sheria haziwezi kuvunjwa hata na mamlaka yenyewe.
Alipewa Musa
Kwahyo jibu ni ndiyo mungu anatenda dhambi?Mungu hana huruma, anaua anatesa watu, anapenda sifa, ana majigambo, hana msaada wowote.
Hiyo dhana dhambi kuhusu viumbe tu umeitoa wap?Mimi naamini dhambi inawahusu viumbe wote wenye akili timamu.
Mungu sio kiumbe hivyo dhambi haipo kwenye daraja lake.