Mungu anaweza kutenda dhambi?

Mungu anaweza kutenda dhambi?

Jibu ni Ndiyo

Katika amri kumi alizompa Musa, Mungu aliagiza kuwa "usiue"

Lakini wote tunakubaliana kuwa Gharika, sodoma na gomola yalikuwa ni mauaji ya kikatili mno yaliyo ratibiwa na Mungu mwenyewe.

Eze 18:20 SUV​

Roho itendayo dhambi, ndiyo itakayokufa; mwana hatauchukua uovu wa baba yake, wala baba hatauchukua uovu wa mwanawe, haki yake mwenye haki itakuwa juu yake, na uovu wake mwenye uovu utakuwa juu yake.

Watu wa Sodoma walitenda dhambi , ambao hawakutenda dhambi walipona kwenye Gharika
 
Kwa mujibu wa vitabu vya dini, Mungu amewahi kuua si mara moja wala si mtu mmoja.
ameua maelfu kwa maelfu.

Na bado hajaishia hapo ameandaa moto wa Jehanamu awachome wanadamu.

Mungu ni katili sana. hatupaswi kumnyenyekea katili hata kidogo
[emoji23][emoji23][emoji23]Dah! Mkuu umezungumza japo kwa uchungu sana
 
Dhambi ni spirit ya kujiona mkosaji baada ya kufanya uovu mf kuua ,kuiba,kuongopa,kubaka,kuzini,
 
Jibu ni Ndiyo

Katika amri kumi alizompa Musa, Mungu aliagiza kuwa "usiue"

Lakini wote tunakubaliana kuwa Gharika, sodoma na gomola yalikuwa ni mauaji ya kikatili mno yaliyo ratibiwa na Mungu mwenyewe.

Kwa mujibu wa vitabu vya dini, Mungu amewahi kuua si mara moja wala si mtu mmoja.
ameua maelfu kwa maelfu.

Na bado hajaishia hapo ameandaa moto wa Jehanamu awachome wanadamu.

Mungu ni katili sana. hatupaswi kumnyenyekea katili hata kidogo

JF bhana ukichomoa betri watu wanatoboa exhaust!!! hahahahah
 
🤣
Jibu ni Ndiyo

Katika amri kumi alizompa Musa, Mungu aliagiza kuwa "usiue"

Lakini wote tunakubaliana kuwa Gharika, sodoma na gomola yalikuwa ni mauaji ya kikatili mno yaliyo ratibiwa na Mungu mwenyewe.
 
Dhambi ni kwenda kinyume na matakwa ya Mungu. Hence, kwake dhambi si kitu na haina maana kabisa!
i.e 1 ÷ 0 = undefined expression

Ni sawa na wewe uweke sheria kwako kuwa mwisho wa wanafamilia kuingia ndani ni saa moja, halafu wewe uingie saa tatu

Sijuwi mumenielewa!
Kwa kuwa dhambi ni tendo chukizi mbele ya Mungu. Yeye sasa ndo kashakuwa Mungu hivyo
 
Eze 18:20 SUV​

Roho itendayo dhambi, ndiyo itakayokufa; mwana hatauchukua uovu wa baba yake, wala baba hatauchukua uovu wa mwanawe, haki yake mwenye haki itakuwa juu yake, na uovu wake mwenye uovu utakuwa juu yake.

Watu wa Sodoma walitenda dhambi , ambao hawakutenda dhambi walipona kwenye Gharika
Kwa hiyo unajenga hoja kusema Mungu hufanya mauaji kwa watu wenye dhambi tu na sio kwa watu wasio na hatia?

Vipi kuhusu Samweli 15:3

Kwa mujibu wa vitabu vya dini, Mungu amewahi kuua si mara moja wala si mtu mmoja.
ameua maelfu kwa maelfu.

Na bado hajaishia hapo ameandaa moto wa Jehanamu awachome wanadamu.

Mungu ni katili sana. hatupaswi kumnyenyekea katili hata kidogo
Aisee
 
Hapana sio tafsiri yake kwakuwa kuna sheria kandamizi.

Dhambi ni jambo lolote lile la kuwaza, la kunena na la kutenda ambalo.

Halimuumizi mhusika ama wengine/vingine.

Halimharibu mhusika wala wengine/vingine.

Halina madhara yoyote yale kwa mhusika wala kwa wengine na vingine
Mkuu, sasa hivi huko bar gani nije kukupa kampani?[emoji23][emoji23]
 
Kwa hiyo unaje.ga hoja kusema Mungu hufanya mauaji kwa watu wenye dhambi tu na sio kwa watu wasio na hatia?

Vipi kuhusu Samweli 15:3

1Samwel 15:3
Basi sasa enda ukawapige Amaleki, na kuviharibu kabisa vitu vyote walivyo navyo, wala msiwaachilie; bali waueni, mwanamume na mwanamke, mtoto naye anyonyaye, ng’ombe na kondoo, ngamia na punda

Kosa la Amaleki walilofanya ni ili, wakastahili kupata walichopata
Roho itendayo dhambi ndiyo itakayokufa

Kutoka 17:8. Wakati huo Waamaleki wakatokea, wakapigana na Israeli huko Refidimu.
Torati 25:17-19
Kumbuka aliyokufanya Amaleki katika njia mlipokuwa mkitoka Misri;

jinsi alivyokukuta katika njia, akapiga katika watu wako walioachwa nyuma, wote waliokuwa wanyonge nyuma yako, ulipokuwa umechoka na kuzimia; wala asimche Mungu.

Basi itakuwa, hapo atakapokwisha kukupumzisha BWANA, Mungu wako, katika adui zako wote walio kando-kando, katika nchi akupayo BWANA, Mungu wako, iwe urithi uimiliki, ndipo uufute ukumbuko wa Amaleki chini ya mbingu; usisahau.
 
Back
Top Bottom