Mungu anaweza kutenda dhambi?

Mungu anaweza kutenda dhambi?

kama anaweza kwenda kinyume na sheria zake mwenyewe basi anaweza kutenda dhambi , nahata akitenda dhambi ww utafanya nini labda?
Baba/mama yako alipokuwa anakukanya usifanye ngono huku wao wakifanya walikuwa wanavunja sheria zao wenyewe? Sheria ni kwa ajili yako sio kwa ajili ya MUNGU.
 
Dhambi ni uasi wa binadamu wa sheria za MUNGU. Na ukitaka kujua kuwa ni kwa ajili ya mwanadamu na si MUNGU zigeuze.

Usiue sisi tuue, Usizeme uongo sisi tuseme uongo, Usizini sisi wote tuzini bila mipaka, Waheshimu baba yako na mama yako we tusiwaheshimu kisha tuone tutakuwa na jamii ya aina gani.
 
Baba/mama yako alipokuwa anakukanya usifanye ngono huku wao wakifanya walikuwa wanavunja sheria zao wenyewe? Sheria ni kwa ajili yako sio kwa ajili ya MUNGU.
mungu ni nani ?
 
Mkuu unanichanganya maana unanizungusha na majibu cyclical
Nmeuliza A ni nini? Ukasema A ni B nakuuliza tena Sifa za B ni nini unasema ni A.
Nauliza roho ni nini? Unasema ni nishati hai
Nkiuliza Hai ni ni nini?Unasema iwe na Roho tena?

Miti ina roho?
Majani yana roho?
Majani na miti ni kitu kimoja ndio vina uhai katika kiwango cha mimea lakini sio roho
 
kinachotenda dhambi kipo kwenye hard copy Mungu yupo kwenye soft copy yupo pia ndani yako roho i radhi ila mwili hautaki.
 
Ukitaka kumkosea mungu inabidi ufanye nini?
Kulitaja jina lake bure...

Moja ya kosa ni hilo ambalo lipo pia katika Amri za MUNGU

Ukienda kinyume na amri za MUNGU unakuwa umeshamkosea...

Tatizo watu wamezikariri amri ila hawaziishi

BWANA YESU KRISTO ATUKUZWE
 
mungu ni nani ?
Boss, Inategemeana na imani yako. mungu anaweza kuwa hata haja kubwa ya mkeo, akinya unakinga mikononi unajifungia chumbani unavuta kwa hisia huku machozi yakikutoka kwamba unafanya ibada. Ni wewe tu na akili yako ilivyo.
 
Katika hao wa Amaleki waliohukumiwa kufa kumbuka kuna hadi watoto wanao nyonya nao wamejumuishwa

Mtoto anaye nyonya anawezaje kutenda dhambi kiasi umfanyie ukatili kama huo?

Kutoka 20:5​

Usiisujudie wala kuitumikia; kwa kuwa mimi Mwenyezi-Mungu, Mungu wako, ni Mungu mwenye wivu. Nawapatiliza wana maovu ya baba zao, hata kizazi cha tatu na cha nne cha wanichukiao

Mathayo 27:24-25
Basi Pilato alipoona ya kuwa hafai lo lote, bali ghasia inazidi tu, akatwaa maji, akanawa mikono yake mbele ya mkutano, akasema, Mimi sina hatia katika damu ya mtu huyu mwenye haki; yaangalieni haya ninyi wenyewe.
25 Watu wote wakajibu wakasema, Damu yake na iwe juu yetu, na juu ya watoto wetu.

Hao watoto wamezaliwa kutoka kwenye viuno vya BABU zao , laana inapitiliza kutoka kwa Baba kwenda kwa Mtoto na wajukuu.
 
Boss, Inategemeana na imani yako. mungu anaweza kuwa hata haja kubwa ya mkeo, akinya unakinga mikononi unajifungia chumbani unavuta kwa hisia huku machozi yakikutoka kwamba unafanya ibada. Ni wewe tu na akili yako ilivyo.
[emoji1787][emoji1787]
 
  • Thanks
Reactions: Tsh
Jibu ni Ndiyo

Katika amri kumi alizompa Musa, Mungu aliagiza kuwa "usiue"

Lakini wote tunakubaliana kuwa Gharika, sodoma na gomola yalikuwa ni mauaji ya kikatili mno yaliyo ratibiwa na Mungu mwenyewe.
Kuna vitu vinafikirisha sana. J2 nitaenda kuuliza kwenye mafindisho
 
Sijaulizia kuwajibishwa.
Nmeulizia kutenda tu kama kutenda dhambi.
Yani kuvunja sheria alizoweka?
Anaweza au hawezi?
Muongozo wa sheria aliouweka Mwenyezi Mungu unaendana na umbile lako na ndo mana hukumu ya wanyama haiwezi kuwa sawa na ya binadamu japo tafsiri ya tendo atakalo lifanya mnyama inaweza ikiwa sawa na binadamu lakini kwao isiwe dhambi ila kwako ikawa ni dhambi. Kwahiyo kauli yako ya kusema Mungu kutenda dhambi tayari umeshakufuru kwa kumshusha na kumlinganisha na viumbe vyake Mwenyez Mungu ametakasika na hilo.
 
Jibu ni Ndiyo

Katika amri kumi alizompa Musa, Mungu aliagiza kuwa "usiue"

Lakini wote tunakubaliana kuwa Gharika, sodoma na gomola yalikuwa ni mauaji ya kikatili mno yaliyo ratibiwa na Mungu mwenyewe.
Amri za Mungu zinamhusu binadamu sio.yeye

Hata wewe ukitengeneza chungu chako cha udongo ukikichoka ukakibomoa sio kesi

Mungu alituumba kwa udongo akikuchoka kukubomoa is kukuua siyo kesi kakutengeneza mwenyewe kwa udongo udongo wewe unarudi state ya udongo ulikotokea

Ndio maana ibada za mazishi viongozi wa dini hutamka maneno kuwa ulitoka kwa udongo unarudi kwenye udongo

Kazi ya Mungu Haina makosa akiamua kubomoa dongo lake alilolitengeneza kwa kuliua

Gharika na Sodoma na Gomorrah aliua madongo yake
 
Kutoka 20:5​

Usiisujudie wala kuitumikia; kwa kuwa mimi Mwenyezi-Mungu, Mungu wako, ni Mungu mwenye wivu. Nawapatiliza wana maovu ya baba zao, hata kizazi cha tatu na cha nne cha wanichukiao

Mathayo 27:24-25
Basi Pilato alipoona ya kuwa hafai lo lote, bali ghasia inazidi tu, akatwaa maji, akanawa mikono yake mbele ya mkutano, akasema, Mimi sina hatia katika damu ya mtu huyu mwenye haki; yaangalieni haya ninyi wenyewe.
25 Watu wote wakajibu wakasema, Damu yake na iwe juu yetu, na juu ya watoto wetu.

Hao watoto wamezaliwa kutoka kwenye viuno vya BABU zao , laana inapitiliza kutoka kwa Baba kwenda kwa Mtoto na wajukuu.
Kwa hiyo Mungu anahukumu watoto wachanga wasiojua jema wala baya adhabu za kikatiri kwa makosa waliyofanya wazazi wao?

Umeona huku tunakokwenda lakini? huoni kuwa umbali huu tuliofika hapa tayari ushaonesha Mungu ni mkatiri?

Sasa kama haya ynaweza kufanywa na Mungu, nafasi ya shetani kwenye ubaya unaweza kuizungumziaje na ika make sense?

I can assure you, unaweza ukanipa list ya mamilioni ya watu ambao Mungu aliwahi kuwaangamiza kwa haraka zaidi ila nikikuambia unitajie watu 10 tu walioangamizwa na shetani lazima ujikune kichwa kutafakari na pengine kufungua upya biblia
 
Amri za Mungu zinamhusu binadamu sio.yeye

Hata wewe ukitengeneza chungu chako cha udongo ukikichoka ukakibomoa sio kesi

Mungu alituumba kwa udongo akikuchoka kukubomoa is kukuua siyo kesi kakutengeneza mwenyewe kwa udongo udongo wewe unarudi state ya udongo ulikotokea

Ndio maana ibada za mazishi viongozi wa dini hutamka maneno kuwa ulitoka kwa udongo unarudi kwenye udongo

Kazi ya Mungu Haina makosa akiamua kubomoa dongo lake alilolitengeneza kwa kuliua

Gharika na Sodoma na Gomorrah aliua madongo yake
Kama unasema amri za Mungu zinamuhusu binadamu ili kumtafutia justfication mungu aonekane hafanyi makosa

Unabidi ukumbuke kuwa hata shetani akiua mtu hawezi kuwa regarded kama kafanya dhambi kwasababu hizo amri kuu zinazo tafsiri kuua kama dhambi, hakupewa yeye
 
Shetani ni kiumbe

Aliumbwa kama Sisi

Amri za Mungu zinamhusu ana uwezo kama sisi,wa kusikia Lugha ,kuona nk

Na Biblia anaijua

Amri za Mungu ni kwa ajili ya binadamu na malaika pia

Shetani alifukuzwa mbinguni kwa kutaka kumuua Mungu ampindue akae Yeye
Hakujua kuwa Mungu hafi
 
Back
Top Bottom