Mungu anaweza kutenda dhambi?

Mungu anaweza kutenda dhambi?

Swali lako ni sawa na mwanafunzi kumuuliza mwalimu hivi unaweza kufeli mtiani? Wakati huo mtiani upo kwa ajili ya mwanafunzi na mwalimu ni mtunzi na msahihishaji.

Dhambi ni uasi wa sheria. Sheria zipo kwa ajili ya binadamu. Yeye ndo anazifata au kuzivunja na mtunzi na anayehukumu ni MUNGU.
Naam[emoji1666]

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
  • Thanks
Reactions: Tsh
Kwakeli wa kwenye biblia anashangaza sana eti anajigamba kabisa kwa shetani " umemuona mtumishi wangu ayubu......!" Kuonesha kwamba anamtumainia sana why kujigamba nawakati wewe ndiye top

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
Wewe huwezi kujivunia mtoto wako akiwa yuko vizuri?
Mungu alijivunia mwanawe Ayubu

Kila mzazi anakuwa so proud akiona mwanawe yuko vizuri

Wewe umezaa mitoto.zezeta na panya road nini? Umezaa mitoto isiyo na achievement yoyote notable kwa hiyo umejaa frustration kibao unaamua kumalizia hasira zako kwa Mungu za frustrations za mitoto yako kutofikia level ya juu!!

Unalo na hiyo mitoto yako michizi panya road na malaya wa mjini
 
Kwa mujibu wa vitabu vya dini, Mungu amewahi kuua si mara moja wala si mtu mmoja.
ameua maelfu kwa maelfu.

Na bado hajaishia hapo ameandaa moto wa Jehanamu awachome wanadamu.

Mungu ni katili sana. hatupaswi kumnyenyekea katili hata kidogo
Aisee!
 
Boss, Inategemeana na imani yako. mungu anaweza kuwa hata haja kubwa ya mkeo, akinya unakinga mikononi unajifungia chumbani unavuta kwa hisia huku machozi yakikutoka kwamba unafanya ibada. Ni wewe tu na akili yako ilivyo.
Oyaaaah[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji119]

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
  • Thanks
Reactions: Tsh
Wewe huwezi kujivunia mtoto wako akiwa yuko vizuri?
Mungu alijivunia mwanawe Ayubu

Kila mzazi anakuwa so proud akiona mwanawe yuko vizuri

Wewe umezaa mitoto.zezeta na panya road nini? Umezaa mitoto isiyo na achievement yoyote notable kwa hiyo umejaa frustration kibao unaamua kumalizia hasira zako kwa Mungu za frustrations za mitoto yako kutofikia level ya juu!!

Unalo na hiyo mitoto yako michizi panya road na malaya wa mjini
Kwani mimi ni MUNGU?

Na kwenye vitabu vya dini amekataza majivuno kwanini yeye awe na majivuno au hayo majivuno ni kwaajili yake tu?

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Kwa hiyo Mungu anahukumu watoto wachanga wasiojua jema wala baya adhabu za kikatiri kwa makosa waliyofanya wazazi wao?

Umeona huku tunakokwenda lakini? huoni kuwa umbali huu tuliofika hapa tayari ushaonesha Mungu ni mkatiri?

Sasa kama haya ynaweza kufanywa na Mungu, nafasi ya shetani kwenye ubaya unaweza kuizungumziaje na ika make sense?

I can assure you, unaweza ukanipa list ya mamilioni ya watu ambao Mungu aliwahi kuwaangamiza kwa haraka zaidi ila nikikuambia unitajie watu 10 tu walioangamizwa na shetani lazima ujikune kichwa kutafakari na pengine kufungua upya biblia
Kuna Aina 4 za vifo
1. Kifo kinachotokana na Mungu kila Mtu kapewa siku za kuishi
2. Kifo kinachotokana na shetani, wapo watu walio funga mkataba, wachawi
3. Kifo kinachotokana na mapenzi ya binadamu mwezako, watu wanaoua na Mtu Mwingine
4. Kifo kulingana na mapenz yako mwenyewe mfano kujiua

Kuna utofauti kati ya roho na mwili. Mtoto unaweza kumuona mdogo lakini roho yake iko sawa na Mtu mzima, iko sawa na Mama yake Mzazi .
Kuna watoto wapo tumboni na wengine hata mwaka hajafikisha wanafundishwa uchawi hata kuua wanaua pia.
Kuwa mtoto Mchanga siyo kigezo kwamba hawawezi kuukumiwa.
Watoto wanarithishwa mikoba tangu tumboni
 
Shetani ni kiumbe

Aliumbwa kama Sisi

Amri za Mungu zinamhusu ana uwezo kama sisi,wa kusikia Lugha ,kuona nk

Na Biblia anaijua

Amri za Mungu ni kwa ajili ya binadamu na malaika pia

Shetani alifukuzwa mbinguni kwa kutaka kumuua Mungu ampindue akae Yeye
Hakujua kuwa Mungu hafi
Kwanza sio kweli kuwa shetani ana husika na amri kuu za Mungu alizokabidhiwa Musa

Pili shetani yupo huru katika mfumo wake, amejitosheleza haendeshi mambo yake kwa kufuata sheria za mfumo mwingine

Zile sheria za Musa zilikuwa dedicated kwa ajii ya watu na ndio maana zilikuwa zikizungumzia makatazo yaliyolenga sifa za watu mfano kumzuia mwanaume au mwanamke asizini.

Pili kama tunaweza kuwaita wema wale watu wote walioweza kufuata huo muongozo wa amri kumi, basi unabidi uniambie Mungu tunayemuita kuwa ni mwema na mkamilifu huwa tunamuita hivyo kwa kuzingatia factor gani?

Kama tuna muita Mungu ni mwema asiye na dhambi kwasababu hafanyi yale mabaya aliyotukataza, vipi Mungu huyu tukimuona anafanya hayo mabaya kwa dhana ya kwamba yale makatazo yalikuwa kwa ajili yetu. huoni hata hiyo recognition ya kusema wema/baya nao umetokana na zile zile amri ambazo unadai hazimuhusu?

Sijui umenielewa hapo?
 
Kuna Aina 4 za vifo
1. Kifo kinachotokana na Mungu kila Mtu kapewa siku za kuishi
2. Kifo kinachotokana na shetani, wapo watu walio funga mkataba, wachawi
3. Kifo kinachotokana na mapenzi ya binadamu mwezako, watu wanaoua na Mtu Mwingine
4. Kifo kulingana na mapenz yako mwenyewe mfano kujiua

Kuna utofauti kati ya roho na mwili. Mtoto unaweza kumuona mdogo lakini roho yake iko sawa na Mtu mzima, iko sawa na Mama yake Mzazi .
Kuna watoto wapo tumboni na wengine hata mwaka hajafikisha wanafundishwa uchawi hata kuua wanaua pia.
Kuwa mtoto Mchanga siyo kigezo kwamba hawawezi kuukumiwa.
Watoto wanarithishwa mikoba tangu tumboni
Baba kamzaa mtoto akiwa amemrithisha uovu wake, hakukuwa na makubaliano kati ya baba na mtoto kuwa huu uovu nakuachia na mtoto akakubali.

Mtoto amejikuta tu amezaliwa na huo uovu, hapo kosa la mtoto hapo liko wapi?

Kama Mungu alioa kuua watoto wachanga waliorithi dhambi kutoka kwa wazazi wao ndio suluhu, kwanini bado kuna wimbi la watu wanaoendelea kutenda dhambi zile zile ambazo Mungu aliangamiza hadi watoto ili kuzifuta zisiwepo kwenye uso wa dunia?

Hizi Dhambi zimetoka wapi?
 
Mungu hana dhambi, sio kutenda God is not physical being km wewe na mimi ni spiritual being and spiritual means love, hukupa kwa wakati hakawii wala hawai, upendo wa Mungu hakuna mfano
You are needed to retreave your biblical knowledge. If you say God is spirit, you say well as He's as well as love you speak the truth. Even the Satan with his army are the spirits and not physical beings also, the question is that; Is spirit love? Didin't Satan sin against God?
 
Jibu ni Ndiyo

Katika amri kumi alizompa Musa, Mungu aliagiza kuwa "usiue"

Lakini wote tunakubaliana kuwa Gharika, sodoma na gomola yalikuwa ni mauaji ya kikatili mno yaliyo ratibiwa na Mungu mwenyewe.
Mungu aliuwa watu wake au mifugo yake yan kma wewe nyumban kwako umefuga kuku au mbuzi sasa unahamua kumchinja so kuna kosa hapo
 
Kwanza ujue nini maana ya dhambi ili uweze kujibu swali lako. Dhambi ni katazo la kiroho na kiimani, hata wewe unaweza ukamuwekea makatazo mtoto wako na akienda kinyume ya makatazo hayo maanaake hajakutii au amekusaliti na kiujumla tunasema amekutenda dhambi. Mungu ndiye CREATOR and FORMULAR MASTER wa kilakitu unachokiona na usivyoviona ulimwenguni. Juu yake hakuna mwingine kwasababu yeye ndiye ALFA & OMEGA meaning hakuna wakumpangia afanye nini, yeye ndiye MWANZO na ndiye MWISHO.
Yeye hana makatazo maanaake hawezi kusaliti, hana wakumtii kwahiyo HAWEZI KUTENDA DHAMBI, HE'S ALL OF ALL. Ameweka makatazo juu ya wote walio chini yake yaani binadamu na malaika, hao sasa ndio wanaoweza kutenda dhambi by willing dhidi ya Mungu.
 
Jibu ni Ndiyo

Katika amri kumi alizompa Musa, Mungu aliagiza kuwa "usiue"

Lakini wote tunakubaliana kuwa Gharika, sodoma na gomola yalikuwa ni mauaji ya kikatili mno yaliyo ratibiwa na Mungu mwenyewe.
Safi sana, sasa hivi sote tunakubaliana kwamba Mungu yupo.
 
Kwa mujibu wa vitabu vya dini, Mungu amewahi kuua si mara moja wala si mtu mmoja.
ameua maelfu kwa maelfu.

Na bado hajaishia hapo ameandaa moto wa Jehanamu awachome wanadamu.

Mungu ni katili sana. hatupaswi kumnyenyekea katili hata kidogo
Kuna siku utatamani uwe mnyenyekevu lakini itakuwa too late.
 
DHAMBI NI KILE MUNGU AMEKATAZA KWAHIYO HAWEZI KUFANYA DHAMBI KWASABABU YEYE NDIO ANAAMUA IPI NI DHAMBI NA IPI SIO.
 
Back
Top Bottom