luchelele mzunguko
JF-Expert Member
- Feb 12, 2021
- 1,206
- 1,641
Utende kinyume na matakwa yake.Ukitaka kumkosea mungu inabidi ufanye nini?
Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Utende kinyume na matakwa yake.Ukitaka kumkosea mungu inabidi ufanye nini?
Naam[emoji1666]Swali lako ni sawa na mwanafunzi kumuuliza mwalimu hivi unaweza kufeli mtiani? Wakati huo mtiani upo kwa ajili ya mwanafunzi na mwalimu ni mtunzi na msahihishaji.
Dhambi ni uasi wa sheria. Sheria zipo kwa ajili ya binadamu. Yeye ndo anazifata au kuzivunja na mtunzi na anayehukumu ni MUNGU.
Wewe huwezi kujivunia mtoto wako akiwa yuko vizuri?Kwakeli wa kwenye biblia anashangaza sana eti anajigamba kabisa kwa shetani " umemuona mtumishi wangu ayubu......!" Kuonesha kwamba anamtumainia sana why kujigamba nawakati wewe ndiye top
Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
Aisee!Kwa mujibu wa vitabu vya dini, Mungu amewahi kuua si mara moja wala si mtu mmoja.
ameua maelfu kwa maelfu.
Na bado hajaishia hapo ameandaa moto wa Jehanamu awachome wanadamu.
Mungu ni katili sana. hatupaswi kumnyenyekea katili hata kidogo
Oyaaaah[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji119]Boss, Inategemeana na imani yako. mungu anaweza kuwa hata haja kubwa ya mkeo, akinya unakinga mikononi unajifungia chumbani unavuta kwa hisia huku machozi yakikutoka kwamba unafanya ibada. Ni wewe tu na akili yako ilivyo.
Kwani mimi ni MUNGU?Wewe huwezi kujivunia mtoto wako akiwa yuko vizuri?
Mungu alijivunia mwanawe Ayubu
Kila mzazi anakuwa so proud akiona mwanawe yuko vizuri
Wewe umezaa mitoto.zezeta na panya road nini? Umezaa mitoto isiyo na achievement yoyote notable kwa hiyo umejaa frustration kibao unaamua kumalizia hasira zako kwa Mungu za frustrations za mitoto yako kutofikia level ya juu!!
Unalo na hiyo mitoto yako michizi panya road na malaya wa mjini
Na kwenye vitabu vya dini amekataza majivuno kwanini yeye awe na majivuno au hayo majivuno ni kwaajili yake tu?Wewe huwezi kujivunia mtoto wako akiwa yuko vizuri?
Mungu alijivunia mwanawe Ayubu
Kila mzazi anakuwa so proud akiona mwanawe yuko vizuri
Wewe umezaa mitoto.zezeta na panya road nini? Umezaa mitoto isiyo na achievement yoyote notable kwa hiyo umejaa frustration kibao unaamua kumalizia hasira zako kwa Mungu za frustrations za mitoto yako kutofikia level ya juu!!
Unalo na hiyo mitoto yako michizi panya road na malaya wa mjini
Kuna Aina 4 za vifoKwa hiyo Mungu anahukumu watoto wachanga wasiojua jema wala baya adhabu za kikatiri kwa makosa waliyofanya wazazi wao?
Umeona huku tunakokwenda lakini? huoni kuwa umbali huu tuliofika hapa tayari ushaonesha Mungu ni mkatiri?
Sasa kama haya ynaweza kufanywa na Mungu, nafasi ya shetani kwenye ubaya unaweza kuizungumziaje na ika make sense?
I can assure you, unaweza ukanipa list ya mamilioni ya watu ambao Mungu aliwahi kuwaangamiza kwa haraka zaidi ila nikikuambia unitajie watu 10 tu walioangamizwa na shetani lazima ujikune kichwa kutafakari na pengine kufungua upya biblia
😃 😃Oyaaaah[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji119]
Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
Kwanza sio kweli kuwa shetani ana husika na amri kuu za Mungu alizokabidhiwa MusaShetani ni kiumbe
Aliumbwa kama Sisi
Amri za Mungu zinamhusu ana uwezo kama sisi,wa kusikia Lugha ,kuona nk
Na Biblia anaijua
Amri za Mungu ni kwa ajili ya binadamu na malaika pia
Shetani alifukuzwa mbinguni kwa kutaka kumuua Mungu ampindue akae Yeye
Hakujua kuwa Mungu hafi
Baba kamzaa mtoto akiwa amemrithisha uovu wake, hakukuwa na makubaliano kati ya baba na mtoto kuwa huu uovu nakuachia na mtoto akakubali.Kuna Aina 4 za vifo
1. Kifo kinachotokana na Mungu kila Mtu kapewa siku za kuishi
2. Kifo kinachotokana na shetani, wapo watu walio funga mkataba, wachawi
3. Kifo kinachotokana na mapenzi ya binadamu mwezako, watu wanaoua na Mtu Mwingine
4. Kifo kulingana na mapenz yako mwenyewe mfano kujiua
Kuna utofauti kati ya roho na mwili. Mtoto unaweza kumuona mdogo lakini roho yake iko sawa na Mtu mzima, iko sawa na Mama yake Mzazi .
Kuna watoto wapo tumboni na wengine hata mwaka hajafikisha wanafundishwa uchawi hata kuua wanaua pia.
Kuwa mtoto Mchanga siyo kigezo kwamba hawawezi kuukumiwa.
Watoto wanarithishwa mikoba tangu tumboni
You are needed to retreave your biblical knowledge. If you say God is spirit, you say well as He's as well as love you speak the truth. Even the Satan with his army are the spirits and not physical beings also, the question is that; Is spirit love? Didin't Satan sin against God?Mungu hana dhambi, sio kutenda God is not physical being km wewe na mimi ni spiritual being and spiritual means love, hukupa kwa wakati hakawii wala hawai, upendo wa Mungu hakuna mfano
Mungu aliuwa watu wake au mifugo yake yan kma wewe nyumban kwako umefuga kuku au mbuzi sasa unahamua kumchinja so kuna kosa hapoJibu ni Ndiyo
Katika amri kumi alizompa Musa, Mungu aliagiza kuwa "usiue"
Lakini wote tunakubaliana kuwa Gharika, sodoma na gomola yalikuwa ni mauaji ya kikatili mno yaliyo ratibiwa na Mungu mwenyewe.
Safi sana, sasa hivi sote tunakubaliana kwamba Mungu yupo.Jibu ni Ndiyo
Katika amri kumi alizompa Musa, Mungu aliagiza kuwa "usiue"
Lakini wote tunakubaliana kuwa Gharika, sodoma na gomola yalikuwa ni mauaji ya kikatili mno yaliyo ratibiwa na Mungu mwenyewe.
Kuna siku utatamani uwe mnyenyekevu lakini itakuwa too late.Kwa mujibu wa vitabu vya dini, Mungu amewahi kuua si mara moja wala si mtu mmoja.
ameua maelfu kwa maelfu.
Na bado hajaishia hapo ameandaa moto wa Jehanamu awachome wanadamu.
Mungu ni katili sana. hatupaswi kumnyenyekea katili hata kidogo