Mungu anaweza kutenda dhambi?

Mungu anaweza kutenda dhambi?

Dhambi ni kwenda kinyume na matakwa ya Mungu. Hence, kwake dhambi si kitu na haina maana kabisa!
i.e 1 ÷ 0 = undefined expression

Ni sawa na wewe uweke sheria kwako kuwa mwisho wa wanafamilia kuingia ndani ni saa moja, halafu wewe uingie saa tatu

Sijuwi mumenielewa!
Kwa kuwa dhambi ni tendo chukizi mbele ya Mungu. Yeye sasa ndo kashakuwa Mungu hivyo
😀 😀 😀 😀 😀 😀 😀 😀 😀 😀 😀 😀 😀 😀 😀 😀 😀kama mbunge akitunga sheria ya kuzuia rushwa siku akitoa rushwa hana kosaa??
 
Kosa ni kuumba Biblia na Quran na kusababisha binadamu tunatengana tunagombana tunafalakana sababu ya vitabu ivyo vitakatifu
 
Jibu ni Ndiyo

Katika amri kumi alizompa Musa, Mungu aliagiza kuwa "usiue"

Lakini wote tunakubaliana kuwa Gharika, sodoma na gomola yalikuwa ni mauaji ya kikatili mno yaliyo ratibiwa na Mungu mwenyewe.
Hapana.

Kila kitu kinatengenezwa na Binadamu mwenyewe!

Mungu humgawia mtu kile anachokiomba...

Sodoma na Gomora haitofautiani na Climate Change effects tunazokutana nazo leo!

Hizi tumezitengeneza wenyewe...

Ni kweli

Mungu ni UPENDO!

HANA NA WALA HANA SABABU YA KUTENDA DHAMBI...na by the way...Dhambi dhidi ya nani?
 
Tatizo mnamjadiri Mungu kama raisi au mfalme!
Yote yanayofanywa na viumbe wake yanapimwa kwa kanuni zake.
Kwahiyo hawez kutenda dhambi kwa sabab hawajibiki popote.
Hana wa kumkosea na hakosei.
 
Hapana.

Kila kitu kinatengenezwa na Binadamu mwenyewe!

Mungu humgawia mtu kile anachokiomba...

Sodoma na Gomora haitofautiani na Climate Change effects tunazokutana nazo leo!

Hizi tumezitengeneza wenyewe...

Ni kweli

Mungu ni UPENDO!

HANA NA WALA HANA SABABU YA KUTENDA DHAMBI...na by the way...Dhambi dhidi ya nani?
Sijakuelewa

Yani unapinga kwamba Gharika, Sodoma na gomora sio vipindi ambavyo Mungu alikuwa akiteketeza watu au namna gani?

Au unakubali kuwa Gharika, Sodoma na Gomora yalikuwa ni maangamizi ila wewe unayatafsiri kwa namna yako kuwa Mungu kuangamiza watu hao sio jambo la kumhusisha na dhambi?
 
kama anaweza kwenda kinyume na sheria zake mwenyewe basi anaweza kutenda dhambi , nahata akitenda dhambi ww utafanya nini labda?
Mi sina la kumfanya, sema nlitaka kujua tu kama huo uwezo wa kutenda dhambi anao
 
Hata wewe unaweza ukaji-incriminate ?!!!

Na Kwa kutumia maandiko yanayoonyesha matabaka na upendeleo tofauti basi according to maandiko hayo sheria hazi-apply sawa kwa kila mtu....

Kwahio kama aliweza kuweka mwanamke awe duni kumtumikia mwanamume au kuteua taifa fulani liwe teule au kuwa na mwanae wa pekee basi vilevile kama wewe baba nyumbani kwako unavyokataza watoto labda wasifanye hili au lile wakati wewe ndio kwaanza unafanya !!!!

Anyway if I were to write a novel kuhusu a superior being asingefanya kile ambacho hataki wengine wafanye ingawa anaweza kufanya (show by example) na kungekuwa hakuna matabaka na choices zingekuwa sawa njoo kwangu utakula bata ingawa hata usipokuja kwangu wewe nenda popote sitakuadhibu ingawa huenda bata zangu hautakula ila siku ukitaka bata wewe njoo tu (No Time Frame)

But that is just me..., and what do I know !!!!!
 
Majani na miti ni kitu kimoja ndio vina uhai katika kiwango cha mimea lakini sio roho
Wewe si nmekuuliza sifa za kitu kuwa hai ni nini?umesema kiwe na roho.
Sasa mbn unasema tena miti ina uhai ila sio roho?
 
Sasa hiyo dhambi atakuwa kamtendea nani wakati hawajibiki kwa kiumbe chochote?
Mfano ukijiwekea sheria kwamba hautakuwa unakunywa soda. Siku ukijisahau ukanywa si utagundua umefanya makosa?
Shida sio nani katendewa, shida ni kwenda kinyume na sheria alizoziweka.
Je akiamua kuua mtu au kumtesa asiye na hatia?(mf. Alivyomfanyia Ayubu)
 
Kulitaja jina lake bure...

Moja ya kosa ni hilo ambalo lipo pia katika Amri za MUNGU

Ukienda kinyume na amri za MUNGU unakuwa umeshamkosea...

Tatizo watu wamezikariri amri ila hawaziishi

BWANA YESU KRISTO ATUKUZWE
Ahaa kumbe kwenda kinyume cha sheria za mungu ndio kutenda dhambi ..Sasa Je mungu mwenyewe hawezi kwenda kinyume na sheria zake?
Hawezi kulitaja bure jina lake mwenyewe?
 
Muongozo wa sheria aliouweka Mwenyezi Mungu unaendana na umbile lako na ndo mana hukumu ya wanyama haiwezi kuwa sawa na ya binadamu japo tafsiri ya tendo atakalo lifanya mnyama inaweza ikiwa sawa na binadamu lakini kwao isiwe dhambi ila kwako ikawa ni dhambi. Kwahiyo kauli yako ya kusema Mungu kutenda dhambi tayari umeshakufuru kwa kumshusha na kumlinganisha na viumbe vyake Mwenyez Mungu ametakasika na hilo.
Kwani kuna sehemu imeandikwa dhambi ni kwaajili ya wanadamu tu?
 
Utende kinyume na matakwa yake.

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
Yeye hawezi kwenda kinyume na matakwa yake mwenyewe?
Mimi naweza kuwa nataka kupunguza uzito kwahyo nikajipangia sheria za kutokula vyakula vya mafuta na kufanya mazoezi kila siku.
ila kwasababu ya kuwa nina free will, ninaweza kuamua kwenda kinyume na matakwa, au malengo nlokuwa nmejipangia..sikuiyo nkala vya mafuta na mazoezi nsifanye.
Yeye mungu anayo free will?
Au yeye ni kama roboti hawezi kubadilika na hawezi kuamua siku iyo afanye kazi za kishetani?
Huo uwezo anao au hana?
 
Swali lako ni sawa na mwanafunzi kumuuliza mwalimu hivi unaweza kufeli mtiani? Wakati huo mtiani upo kwa ajili ya mwanafunzi na mwalimu ni mtunzi na msahihishaji.

Dhambi ni uasi wa sheria. Sheria zipo kwa ajili ya binadamu.Yeye ndo anazifata au kuzivunja na mtunzi na anayehukumu ni MUNGU.
Swali la mwanafunzi kumuuliza mwalimu kama anaweza kufeli mbona linamake sense?

Naku'quote "Dhambi ni uasi wa sheria. Sheria zipo kwa ajili ya binadamu."
Shetani na mapepo sio binadamu.
Je kina shetani hawana dhambi?
 
Baba/mama yako alipokuwa anakukanya usifanye ngono huku wao wakifanya walikuwa wanavunja sheria zao wenyewe? Sheria ni kwa ajili yako sio kwa ajili ya MUNGU.
Waliniambia nisifanye ngono mpaka nikioa...kwahyo wao kwasababu wameoana walifanya na sikuwaona kama wanafiki.
ila wangeniambia usile kitimoto, halafu wao wakawa wanakula, ningewaona manafiki
 
Kama Mungu Ana uwezo was kufanya chochote Basi bila Shaka anaweza akaumba jiwe ambalo yeye hawezi kulibeba au sio wanangu?
 
Back
Top Bottom