Afrocentric view
JF-Expert Member
- Jun 19, 2022
- 1,374
- 2,280
- Thread starter
- #161
Kwahyo tukubaliane sasa, mungu sio muweza wa vyote?Mungu hatendi dhambi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwahyo tukubaliane sasa, mungu sio muweza wa vyote?Mungu hatendi dhambi.
NdiyoSijakuelewa
Yani unapinga kwamba Ghatika, Sodoma na gomora sio vipindi ambavyo Mungu alikuwa akiteketeza watu au namna gani?
Au unakubali kuwa Gharika, Sodoma na Gomora yalikuwa ni maangamizi ila wewe unayatafsiri kwa namna yako kuwa Mungu kuangamiza watu hao sio jambo la kumhusisha na dhambi?
Kipindi unakuja DSM uliomba Mungu akusaidie. Leo unamuona Mungu hana maana siyo?Kwa mujibu wa vitabu vya dini, Mungu amewahi kuua si mara moja wala si mtu mmoja.
ameua maelfu kwa maelfu.
Na bado hajaishia hapo ameandaa moto wa Jehanamu awachome wanadamu.
Mungu ni katili sana. hatupaswi kumnyenyekea katili hata kidogo
Kwahyo Mungu hawezi kusema uongo?Dhambi ni uasi wa binadamu wa sheria za MUNGU. Na ukitaka kujua kuwa ni kwa ajili ya mwanadamu na si MUNGU zigeuze.
Usiue sisi tuue, Usizeme uongo sisi tuseme uongo, Usizini sisi wote tuzini bila mipaka, Waheshimu baba yako na mama yako we tusiwaheshimu kisha tuone tutakuwa na jamii ya aina gani.
Kwahyo Mungu anaweza kusema uongo?Amri na Sheria amepewa Mwanadamu lakini siyo Mungu!
Watoto wachanga ni Taifa la Kesho . Utakapowaacha wasiuliwe shida. Matatizo ya Israel na Palestina chanzo ni hiki. Israel walipewa naelekezo ya kusafisha majirani waangamizi kabisa aliye Mkubwa mpaka Mdogo.Baba kamzaa mtoto akiwa amemrithisha uovu wake, hakukuwa na makubaliano kati ya baba na mtoto kuwa huu uovu nakuachia na mtoto akakubali.
Mtoto amejikuta tu amezaliwa na huo uovu, hapo kosa la mtoto hapo liko wapi?
Kama Mungu alioa kuua watoto wachanga waliorithi dhambi kutoka kwa wazazi wao ndio suluhu, kwanini bado kuna wimbi la watu wanaoendelea kutenda dhambi zile zile ambazo Mungu aliangamiza hadi watoto ili kuzifuta zisiwepo kwenye uso wa dunia?
Hizi Dhambi zimetoka wapi?
Ukimaanisha kuwa walistahili kuangamizwa kwasababu ya dhambi zao?Yalikuwa matokeo ya kutenda dhambi (kujitenga na Mungu - asili ya wema).
Sasa ushavielewa alivyokuwekea huko mwilini ukavimaliza mpaka uhamie kwenye MUNGU mwenyewe?Huyohuyo aliyeniumba mimi na wewe
kisu kinaweza kuua ? ndio kma kisu kinaweza kuua je kisu ni kibaya jibu ni hapana , ila mtumiaji wa kisu ni mbaya , kisu kpo stationary ni vile tu mtumiaji achague kwa matumuzi yapi , Mungu ni nguvu hiyo nguvu ipo ww tu uchague uitumie vpi ( uwezo wa kuchagua mema au mabaya) mimi sio muumini wamoja kwa moja wa kila kilichopo kwenye vitabu vya din mengne nachuja kulingana na wakati uliopo.Mi sina la kumfanya, sema nlitaka kujua tu kama huo uwezo wa kutenda dhambi anao
Kuna maswali hata hayana umuhimu kuyafikiri ili uyatolee majibu, unaachana nayo tu.Kwahyo Mungu hawezi kusema uongo?
We kiboko!Hawezi kukosea?
Kwahyo kumbe kuna vitu Mungu muweza wa vyote hawezi?
Hujaelewa hoja yangu, ngoja niiweke hapa vizuriWatoto wachanga ni Taifa la Kesho . Utakapowaacha wasiuliwe shida. Matatizo ya Israel na Palestina chanzo ni hiki. Israel walipewa naelekezo ya kusafisha majirani waangamizi kabisa aliye Mkubwa mpaka Mdogo.
Unapuacha Mtoto mdogo na kuangamiza wakubwa, yule mtoto akikua atambiwa sababu ya kuwa yatima, wazazi wake waliuliwa kivyovyote vile Mtoto atakapokuwa Mtu mzima lazima alipize kisasi ndipo pale Ugomvi usioisha.
Israel na Palestina Amani kupatikana lazima Taifa 1 lifutwa kuanzia Mkubwa mpka Mtoto mchanga.
Hakutakuwa na uovu utakaopitiliza kutoka kwa kizazi 1 mpaka kingine.
Kuna aina 2 za binadamu wanaoshi, kuna binadamu ambao ni halisi na siyo halisa. Kuna Dhambi zingine zinafanywa na binadamu ambao siyo halisi ili binadamu halisi wafuate njia zao.
kwann unataka kutumia ubaya wa uchafu kuthibitisha uzuri wa usafi?Kwahyo tukubaliane sasa, mungu sio muweza wa vyote?
Sababu ni kwamba, hizo sheria ndio mamlaka yenyewe.Kwann?
Kwanza lazima utambua kuwa Mungu aliangamiza Dunia mara moja. Kupitia Gharika kuna uzao wa malaika walioasi waliopowaingilia wanadamu wanawake na kupata watoto ambao walikuwa na tabia mchanganyiko.Hujaelewa hoja yangu, ngoja niiweke hapa vizuri
Mungu kaona watu wanafanya dhambi ya uzinzi
Mungu akakasirishwa na dhambi hizo na sasa anaamua kudili na watu hao kuhakikisha anakomesha dhambi hiyo.
Katika namna ya kuondoa hizo dhambi akaona njia sahihi ni kuangamiza kizazi chote ambacho kinahusika na dhambi hiyo.
Kizazi chenye mchanganyiko wa wakubwa na watoto, anafanya hivyo kuwajumuisha na watoto wachanga kwa lengo la kuzuia uwezekano wa kuwepo wazinzi hapo baadaye kutokana na kwamba hao watoto wamerithi ile roho ya dhambi hizo.
Mungu akaangiza hao watu wazima pamoja na watoto wachanga ambao wana link kwenye dhambi hiyo.
Lakini baada ya muda katika ulimwengu huo huo aliofanya maangamizi, tunakuja kuona dhambi ya uzinzi bado ipo, licha ya kuwa huko nyuma alikwisha safisha kila kitu.
Maswali ya kujiuliza
Kwanini tena kuwe na muendelezo wa dhambi hii wakati wale waliokuwa na roho ya kufanya dhambi hii walikwisha kuteketezwa na waliobaki walikuwa ni watu wema?
Kama Mungu aliamua kuangamiza watoto wachanga wasiojua jema wala baya kwa lenho la kuzuia dhambi ya uzinzi halafu tunakuja tena kuona uzizi upo, huoni kuwa hao watoto waliuwawa kwa kuonewa?
Au siku ambayo Mungu alikuwa anataka kutekeleza mauaji kwa watoto wachanga, vision yake haikufika angle ya umbali huu kujua kuwa hata nikiwaua hawa watoto bado ni kazi bure kwasababu huko mbeleni nimeona hii dhambi bado ikifanyika?
Unakufuru ndugu yangu.Wakulungwa vipi?
Kuna swali huwa linanitatisha.
Kama tuliambiwa Mungu anaweza kila kitu.
Na mungu ana free will.
Je, Mungu anaweza kutenda dhambi?
Kwahyo hayana majibu?Kuna maswali hata hayana umuhimu kuyafikiri ili uyatolee majibu, unaachana nayo tu.
Yanayo ila majibu yake yatazaa maswali zaidi na majibu maswali zaidi na majibu maswali zaidi, na majibu maswali zaidi, na majibu maswali zaidi to infinity. Kwa sababu tunataka kuichunguza nguvu ambayo bado hatuielewi.Kwahyo hayana majibu?