Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 301,577
- 754,412
Nimefuatilia mtiririko wa majibizano yetu sijaona popote ulipotaja neno KITU... Mada inamhusu Mungu na dhambi na nimekujibu kwenye mtiririko huo lakini ukaja kuingiza mambo mapya majani na mimea na sasa umeingiza jingine jipya 'KITU'Wewe si nmekuuliza sifa za kitu kuwa hai ni nini?umesema kiwe na roho.
Sasa mbn unasema tena miti ina uhai ila sio roho?
Najua unataka kupanua mjadala lakini jitahidi usitoke kwenye mstari..