Mungu anaweza kutenda dhambi?

Mungu anaweza kutenda dhambi?

Kifo ni tofauti na dhambi au kosa

Kifo kinaweza kutokea bila dhambi au kosa

Hoja ni je naye Mungu hufanya dhambi?
Okeeee, basi jibu ni, Mungu hatendi dhambi, Kwa Sababu Mungu ni Mtakatifu
 
Sijatoka kwenye mstari.
Kitu nilimaanisha thing, inaweza kuwa anything, something, everything au hata nothing.... Kila kitu ni kitu...Ulimwengu ni kitu, Hata Mungu kwa hii definition kitu...
Rudia tena kuufatilia Mlolongo ulikuwa hivi,

Wewe: Mungu ni roho sio mwili
Mimi: Roho ni nini?
Wewe: Roho ni nishati hai
Mimi: Kitu kiwe hai, kinatakiwa kiwe na sifa zipi?
Wewe: Kiwe na Roho
Mimi: Miti na majani ina roho?
Wewe: Miti na majani ni hai ila havina Roho

Ndio tuliishia hapo...Sasa tuendelee mkuu.

Mimi: ili kitu kiwe hai, kinatakiwa kiwe na sifa zipi? (Achana na ya kuwa na Roho, maana miti umesema ipo hai bila roho)

Wewe:...............?
Ili Kitu kiwe Hai lazima kiwe na Brain hai
 
Aah, lakini nmefanikiwa kulipata hilo jambo ambalo naweza kumzidi mungu au sio?
Mimi nina free will na free choice ya kufanya mema au mabaya.
ila Mungu hana free choice maana HAWEZI kufanya mabaya.
Basi mimi ni kiumbe bora kuliko mungu
Nimeona upo Carefully katika kutumia Mungu na mungu
 
Kama dhambi ni kukiuka/kutotii amri ya Mungu.
Sasa, Mungu anapochoma watu moto, au vyovyote afanyavyo, hua amekosa kutii amri ya nani?
 
Wakulungwa vipi?

Kuna swali huwa linanitatisha.

Kama tuliambiwa Mungu anaweza kila kitu.

Na mungu ana free will.

Je, Mungu anaweza kutenda dhambi?
Ukimtafakari Mungu katika upeo wa vitabu vya dini utaona mambo ya ajabu sana kumhusu, kiufupi huyo Mungu wa hivyo vitabu hayupo, Muumba hana sifa hizi za kibinadamu, eti atende dhambi au ana wivu au achukie aisee ni kumfafanua vibaya kanakwamba nayey ni mtu fulani hivi.
 
Nimeongea in general kwa maana ya kugusa stori zote mbili.

Mfano hoja kuhusu Amaleki niligusia hivi

Mungu kama aliangamiza kizazi cha Amaleki chote pamoja na watoto wachanga kwa lengo la kutokomeza dhambi, mbona bado dhambi hiyo inatendeka na watu wengine mpaka hivi sasa?

Sodoma na gomora nayo nilisema hivi

Mungu aliteketeza kile kizazi kwa moto ili kuifuta dhambi hiyo isiweze kufanyika, katika dunia hii ya kisasa still watu wanafanya hiyo dhambi. Imetoka wapi?

Jea Mungu hakuyaona haya kuwa yatajitokeza miaka ya mbele na dhana ya kufikiria kutokomeza hiyo dhambi kwa kuangamiza kizazi itakuwa ni kazi bure?
Kuangamiza kizazi siyo kazi bure Mtoto lazima umkanye na kutoa adhabu.
Bila kuangamiza Sodoma na Gomora kizazi cha sasa hivi tungejuaje kama haya mambo yalikuwepo tangu huko nyuma uzinzi.
 
Kuangamiza kizazi siyo kazi bure Mtoto lazima umkanye na kutoa adhabu.
Bila kuangamiza Sodoma na Gomora kizazi cha sasa hivi tungejuaje kama haya mambo yalikuwepo tangu huko nyuma uzinzi.
Mbona swali langu hujibu?

Nimeuliza hivi

Mungu kama aliangamiza kizazi cha Amaleki chote pamoja na watoto wachanga kwa lengo la kutokomeza dhambi, mbona bado dhambi hiyo inaendelea kutendeka na watu wengine mpaka hivi sasa?

Mungu hakuyaona haya kuwa yatajitokeza miaka ya mbele hivyo dhana ya kufikiria kutokomeza hiyo dhambi kwa kuangamiza kizazi chote pamoja na waoto wachanga itakuwa ni kazi bure?
 
Kama dhambi ni kukiuka/kutotii amri ya Mungu.
Sasa, Mungu anapochoma watu moto, au vyovyote afanyavyo, hua amekosa kutii amri ya nani?
ukitunga sheria je wewe ukiivunja ulietunga ni sawa??? kwa akili za kibinadamu ukifikira haya mambo unamkufuru MUNGU.
 
Kama mbinguni pangekuwa patakatifu sana shetani asingepata mawazo ya kutenda uasi. Dhambi haiwezi kupenya sehemu takatifu.
 
Back
Top Bottom