Afrocentric view
JF-Expert Member
- Jun 19, 2022
- 1,374
- 2,280
- Thread starter
- #241
Uwezo wa kutenda anao au hana?Nimesema hatendi dhambi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uwezo wa kutenda anao au hana?Nimesema hatendi dhambi.
Wa Amaleki na wengine wengi kutoka kwenye Visa vingineWatoto wapi hao?
Mungu hatendi dhambi. Mungu hawezi kuwa muovu kamwe.Uwezo wa kutenda anao au hana?
Kwahyo kumbe kuna vitu mungu muweza wa vyote Hawezi?Mungu hatendi dhambi. Mungu hawezi kuwa muovu kamwe.View attachment 2399408
Unaelewa nini kuhusu "kutoweza"?Kwahyo kumbe kuna vitu mungu muweza wa vyote Hawezi?
Kutokuwa na uwezoUnaelewa nini kuhusu "kutoweza"?
Mungu hawezi tenda dhambi, ebu nambie Mungu huyu atatenda dhambi gani kwa mfano?Wakulungwa vipi?
Kuna swali huwa linanitatisha.
Kama tuliambiwa Mungu anaweza kila kitu.
Na mungu ana free will.
Je, Mungu anaweza kutenda dhambi?
Ni master wa vyote Good and evilWakulungwa vipi?
Kuna swali huwa linanitatisha.
Kama tuliambiwa Mungu anaweza kila kitu.
Na mungu ana free will.
Je, Mungu anaweza kutenda dhambi?
Naona unatoka kwenye hoja yako, ya He, Mungu anaweza tenda dhambi ?Kipimo cha utakatifu kwako kimejikita kwenye nini?
Ki roho, Miti sio Kiumbe haiMiti ina brain hai?
Unaelewa Maana ya Utakatifu Kwanza ?Kipimo cha utakatifu kwako kimejikita kwenye nini?
Huo uwezo anaoUwezo wa kutenda anao au hana?
Kitu kiwe hai kina sifa zipi?Ki roho, Miti sio Kiumbe hai
Kwann tumuamini sasa kama anaweza kutupotosha?Huo uwezo anao
Jibu ni Ndiyo
Katika amri kumi alizompa Musa, Mungu aliagiza kuwa "usiue"
Lakini wote tunakubaliana kuwa Gharika, sodoma na gomola yalikuwa ni mauaji ya kikatili mno yaliyo ratibiwa na Mungu mwenyewe.