Mungu anaweza kutenda dhambi?

Mungu anaweza kutenda dhambi?

ANAWEZA,ILA INATEGEMEA NI MUNGU YUPI.SI UNAONA YULE ANAETRASTIWA HATA KWENYE DOLLAR ANAVYOWARUHUSU JAMAA WAUANE KILA PAHALA NA SASA YUPO UKIRENI.GOD ANAWEZA.
 
Uwezo wa kutenda anao au hana?
Mungu hatendi dhambi. Mungu hawezi kuwa muovu kamwe.
Screenshot_20221027-133552_Chrome.jpg
 
Wakulungwa vipi?

Kuna swali huwa linanitatisha.

Kama tuliambiwa Mungu anaweza kila kitu.

Na mungu ana free will.

Je, Mungu anaweza kutenda dhambi?
Mungu hawezi tenda dhambi, ebu nambie Mungu huyu atatenda dhambi gani kwa mfano?
JamiiForums-1720499525.jpg
 
Kipimo cha utakatifu kwako kimejikita kwenye nini?
Naona unatoka kwenye hoja yako, ya He, Mungu anaweza tenda dhambi ?
Hii umeimaliza tuje kwenye Utakatifu wa Mungu ?
 
Jibu ni Ndiyo

Katika amri kumi alizompa Musa, Mungu aliagiza kuwa "usiue"

Lakini wote tunakubaliana kuwa Gharika, sodoma na gomola yalikuwa ni mauaji ya kikatili mno yaliyo ratibiwa na Mungu mwenyewe.


Kwa fikra zako zilivyokuwa finyu hebu thibitisha kwamba mauaji hayo/ gharika hizo ziliratibiwa na Mungu.
 
Back
Top Bottom