Ni9neshe kwenye maneno yangu mahali nilipoandika "mashoga"
Ushahidi wa namna gani unataka?Sahau kuhusu mashoga na rejea kwenye swali la msingi kwamba; Thibitisha ni wapi Mungu aliratibu gharika huko Sodoma na Gomora??-- wewe ndiye unadai kwamba gharika hiyo iliratibiwa na Mungu sasa onesha ushahidi wa kauli yako.
Ushahidi wa namna gani unataka?
Maana hizo ni stori za kwenye Biblia na we huiamini
Pitia kwa shishi fud upate supu ya moto. NtalipiaKutoka 20:5
Usiisujudie wala kuitumikia; kwa kuwa mimi Mwenyezi-Mungu, Mungu wako, ni Mungu mwenye wivu. Nawapatiliza wana maovu ya baba zao, hata kizazi cha tatu na cha nne cha wanichukiao
Mathayo 27:24-25
Basi Pilato alipoona ya kuwa hafai lo lote, bali ghasia inazidi tu, akatwaa maji, akanawa mikono yake mbele ya mkutano, akasema, Mimi sina hatia katika damu ya mtu huyu mwenye haki; yaangalieni haya ninyi wenyewe.
25 Watu wote wakajibu wakasema, Damu yake na iwe juu yetu, na juu ya watoto wetu.
Hao watoto wamezaliwa kutoka kwenye viuno vya BABU zao , laana inapitiliza kutoka kwa Baba kwenda kwa Mtoto na wajukuu.
Niziwekaje sasa maana hapo zilipo tayari nishaziweka?Hizo hizo "stori" za Biblia ziweke hapa ili tuone jinsi Mungu "alivyoratibu" hizo gharika. , je wewe unaiamini Biblia???
Niziwekaje sasa maana hapo zilipo tayari nishaziweka?
Unataka ziwekwe kwa namna gani?