Mungu anaweza kutenda dhambi?

Mungu anaweza kutenda dhambi?

Ni9neshe kwenye maneno yangu mahali nilipoandika "mashoga"

Sahau kuhusu mashoga na rejea kwenye swali la msingi kwamba; Thibitisha ni wapi Mungu aliratibu gharika huko Sodoma na Gomora??-- wewe ndiye unadai kwamba gharika hiyo iliratibiwa na Mungu sasa onesha ushahidi wa kauli yako.
 
Ushahidi wa namna gani unataka?

Maana hizo ni stori za kwenye Biblia na we huiamini
 
Ushahidi wa namna gani unataka?

Maana hizo ni stori za kwenye Biblia na we huiamini

Hizo hizo "stori" za Biblia ziweke hapa ili tuone jinsi Mungu "alivyoratibu" hizo gharika. , je wewe unaiamini Biblia???
 
Kutoka 20:5​

Usiisujudie wala kuitumikia; kwa kuwa mimi Mwenyezi-Mungu, Mungu wako, ni Mungu mwenye wivu. Nawapatiliza wana maovu ya baba zao, hata kizazi cha tatu na cha nne cha wanichukiao

Mathayo 27:24-25
Basi Pilato alipoona ya kuwa hafai lo lote, bali ghasia inazidi tu, akatwaa maji, akanawa mikono yake mbele ya mkutano, akasema, Mimi sina hatia katika damu ya mtu huyu mwenye haki; yaangalieni haya ninyi wenyewe.
25 Watu wote wakajibu wakasema, Damu yake na iwe juu yetu, na juu ya watoto wetu.

Hao watoto wamezaliwa kutoka kwenye viuno vya BABU zao , laana inapitiliza kutoka kwa Baba kwenda kwa Mtoto na wajukuu.
Pitia kwa shishi fud upate supu ya moto. Ntalipia
 
Hizo hizo "stori" za Biblia ziweke hapa ili tuone jinsi Mungu "alivyoratibu" hizo gharika. , je wewe unaiamini Biblia???
Niziwekaje sasa maana hapo zilipo tayari nishaziweka?

Unataka ziwekwe kwa namna gani?
 
Niziwekaje sasa maana hapo zilipo tayari nishaziweka?

Unataka ziwekwe kwa namna gani?

Hiyo Biblia yako haina Sura wala mistari ambamo humo ndimo umesoma kwamba Mungu aliratibu gharika la Sodoma na Gomora??!!--- utajizungusha weeee lakini ili usishikwe uongo itakubidi uthibitishe kwa kuuleta huo ushahidi, hakuna shortcuts .
 
2 Petro 2:6-9​

alishindwa kumsamehe shetani baada ya uasi... Halafu anatuambia sisi tusamehe 7*70😂😂😂

anasema muniabudu mimi ila sio miungu mingine.... wivu😅😅😅

Anasema amewachagua wana wa Israel kuwa taifa teule.. Ubaguzi kwa mataifa mengine😂😂
 
Back
Top Bottom