and 100 others
JF-Expert Member
- Feb 3, 2023
- 3,707
- 12,367
Hapa duniani tunaishi kwa kusaidiana, haiwezekani uache mjane mzuri bado analipa, ana kalio na sura halafu wanaume wenzio washindwe kukusaidia kumtunza...majukumu gani tena mkuu mbona unanistua😅
#KATAA NDOA
#NDOA NI UTAPELI
#400 × 1 😆
Kataa ndoaHapa duniani tunaishi kwa kusaidiana, haiwezekani uache mjane mzuri bado analipa, ana kalio na sura halafu wanaume wenzio washindwe kukusaidia kumtunza...
What the hell of 400 x 1majukumu gani tena mkuu mbona unanistua😅
#KATAA NDOA
#NDOA NI UTAPELI
#400 × 1 😆
Ndoa ni udhalilishaji, usije shangaa mjane ambae ni wife wako analiwa jirani yako ambae alikuwa adui yako au hata vijana wadogo wa mtaani, akili za wanawake wanazijua wenyewe...Kataa ndoa
Pamoja na kwamba bado hajakuchukua ila bado wapo wajuba wanamtindua mkeo na Tindo za maana na haujui km wajuba wanamtindua na ukienda pia wajuba bado wataendelea kumtindua mkeo tena zaidi ya vile ulivyokua unamtinduaMwenyezi Mungu angekuwa anatuuliza akitaka kutuchukua rasmi kutoka duniani tunataka nini GENTAMYCINE jibu langu la haraka sana Kwake lingekuwa naomba akimtuma Israeli Mtoa Roho kunitwaa rasmi niondoke / anitwae pia na Mpenzi wangu au Mchumba wangu au Mke wangu Mrembo kuliko Wanawake wote duniani kwani akiondoka na Mimi peke yangu Wanaume wengine watafaidi / watajifaidia sana.
SAhihi mkuuHatuwezi kulea watoto kama mama yao hayupo,sisi sio vituo vya kulea watoto
Niliwasikia kwa Masikio yangu wakisema "Chepuka ila mumeo asishtuke" tena waliokua wakiongea hivyo ni wamama ninaowaheshimu sana na wanaheshimika mno na waume zao hawajui km wake zao huko nje wanauza mechi na hayo wanayoelezana wanaelezana pia kwenye kitchen party zao, walikua wakimzungumzia Dada mmoja ambae ameivuruga Ndoa yake kwa kuchepuka na wanaume wengi kiasi cha kujisahau mumewe akashtukia mchezo kesi ikawa kubwa ndio wakafikia kuongea hayo wenyewe wanakazia "hakuna Mwanamke ambae hachepuki ila chepuka kiakili mumeo asishtuke" nikasema duh hata hawa kumbe ndio walewaleNdoa ni udhalilishaji, usije shangaa mjane ambae ni wife wako analiwa jirani yako ambae alikuwa adui yako au hata vijana wadogo wa mtaani, akili za wanawake wanazijua wenyewe...
Hapo naunga mkono.
Ni wachepukaji wazuri sana mkuu...Niliwasikia kwa Masikio yangu wakisema "Chepuka ila mumeo asishtuke" tena waliokua wakiongea hivyo ni wamama ninaowaheshimu sana na wanaheshimika mno na waume zao hawajui km wake zao huko nje wanauza mechi na hayo wanayoelezana wanaelezana pia kwenye kitchen party zao, walikua wakimzungumzia Dada mmoja ambae ameivuruga Ndoa yake kwa kuchepuka na wanaume wengi kiasi cha kujisahau mumewe akashtukia mchezo kesi ikawa kubwa ndio wakafikia kuongea hayo wenyewe wanakazia "hakuna Mwanamke ambae hachepuki ila chepuka kiakili mumeo asishtuke" nikasema duh hata hawa kumbe ndio walewale
Mwenyezi Mungu angekuwa anatuuliza akitaka kutuchukua rasmi kutoka duniani tunataka nini GENTAMYCINE jibu langu la haraka sana Kwake lingekuwa naomba akimtuma Israeli Mtoa Roho kunitwaa rasmi niondoke / anitwae pia na Mpenzi wangu au Mchumba wangu au Mke wangu Mrembo kuliko Wanawake wote duniani kwani akiondoka na Mimi peke yangu Wanaume wengine watafaidi / watajifaidia sana.
Natamani urudi tena baada ya miaka 15 kama bado utaitamka kwa ujasiri kauli hii.Mwenyezi Mungu angekuwa anatuuliza akitaka kutuchukua rasmi kutoka duniani tunataka nini GENTAMYCINE jibu langu la haraka sana Kwake lingekuwa naomba akimtuma Israeli Mtoa Roho kunitwaa rasmi niondoke / anitwae pia na Mpenzi wangu au Mchumba wangu au Mke wangu Mrembo kuliko Wanawake wote duniani kwani akiondoka na Mimi peke yangu Wanaume wengine watafaidi / watajifaidia sana.
Wewe jifanye mkeo anakupenda sana kumbe kuna kijeba huko kinamkuna kisawasawaNi wachepukaji wazuri sana mkuu...
We si unaona Baltazar alivyokula wake za matajiri...
Mwanamke unamnunulia benz E class ukijua atakupenda na kukuheshimu kumbe hamna kitu.
Tyrese Gibson kapigwa na kitu kizito huko Mwanamke anamwambia alimpendea umaarufu tu ila anaempenda kweli ni X wake, jumba alilojenga jamaa Mwanamke kachukua anatombewa na Mwanaume mwingine ambae hakuchangia hata 10 kwenye ujenzi wa nyumba hio hizo ndio akili za WanawakeNatamani urudi tena baada ya miaka 15 kama bado utaitamka kwa ujasiri kauli hii.
Halafu hayo majamaa ya nje yanawakuna haswa si mchezo, si unajua ukipata mwanamke mgeni, sisi wanaume inakuwa kama libido imeongezeka mara dufu...Wewe jifanye mkeo anakupenda sana kumbe kuna kijeba huko kinamkuna kisawasawa
Hawa viumbe siku zote ili uishi vizuri unatakiwa uwe mbinafsi(ni watu hatari kuzidi nyoka) kwa hiyo usiwe naye peke yake yaani aishi maisha ya wasiwasi kama sio talaka basi kupandishwa cheo ndo itakaa sawa huku ukimzalisha mara kwa mara bata mara chache.Tyrese Gibson kapigwa na kitu kizito huko Mwanamke anamwambia alimpendea umaarufu tu ila anaempenda kweli ni X wake, jumba alilojenga jamaa Mwanamke kachukua anatombewa na Mwanaume mwingine ambae hakuchangia hata 10 kwenye ujenzi wa nyumba hio hizo ndio akili za Wanawake
Wanawake akili zao wanazijua wenyewe, kuna mmoja ameolewa Ndoa haijafika hadi miezi 2 wametibuana na jamaa yake akawa anataka kumtoroka jamaa aende kwao kisa tu ni kwamba Mwanamke alikua na kajamaa kengine ka nje kajeba ambako hadi leo wana mahusiano sijui walisoma wote akawa anakabandua tangu wakiwa shule basi alichofanya Mwanamke ile namba ya jamaa kaisevu Jina la kike 'Kurwa'Halafu hayo majamaa ya nje yanawakuna haswa si mchezo, si unajua ukipata mwanamke mgeni, sisi wanaume inakuwa kama libido imeongezeka mara dufu...
Anakunwa hadi anakopwa na pesa na anatoa, tena pesa zako au za miradi ya familia...