Vishu Mtata
JF-Expert Member
- Dec 15, 2019
- 15,954
- 35,415
Anataka mjue kua yupo msibani, unadhani utitiri wa hizi nyuzi sababu ni ipi.Kwani kila mtu anamfahamu huyo mke wa Mafuru? kama huna cha kuandika soma tu thread za wenzio.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anataka mjue kua yupo msibani, unadhani utitiri wa hizi nyuzi sababu ni ipi.Kwani kila mtu anamfahamu huyo mke wa Mafuru? kama huna cha kuandika soma tu thread za wenzio.
Ulizaliwa nae?Popoma yuko sawa 200% Naunga mkono hoja. Kumuacha mkeo anamegwa hata huko pepon utakuwa huna amani
Alizaliwa Kwa ajiri yangu "Sasa mmekuwa mwili mmoja" ishi na hiloUlizaliwa nae?
MnadanganywaAlizaliwa Kwa ajiri yangu "Sasa mmekuwa mwili mmoja" ishi na hilo
SawaMnadanganywa
Hii ya ...Mpaka kifo kiwatenganishe..... Unaichukuliaje?Naunga mkono hoja Kwa 500%
Tunapofunga ndoa tunaambiwa Sasa mmekuwa mwili mmoja inakuwaje napokufa anabaki Tena. Hakika sio sawa kabisa mke kubaki analiwa kama ndege wanavyokula matunda juu ya mti.
Umewaza kimbingu zaidi na hivi ndivyo inapaswa iwe. 📌 📍
Kwani ndiye anayezungumziwa hapa?Kwani kila mtu anamfahamu huyo mke wa Mafuru? kama huna cha kuandika soma tu thread za wenzio.
Kichwa cha habari kimebadirishwa hakikuwa hichi unachokisoma sasa.Kwani ndiye anayezungumziwa hapa?
Elewa hoja mkuu mtoa Uzi kasema wazi iwapo Mungu angemuuliza wakuondoka nae .........Sasa mbona tunarudishana chekechekea Tena?Hii ya ...Mpaka kifo kiwatenganishe..... Unaichukuliaje?
Umeamua kumuunga mkono Mr. Nikifa Mke wangu Asiolewe😀Mwenyezi Mungu angekuwa anatuuliza akitaka kutuchukua rasmi kutoka duniani tunataka nini GENTAMYCINE jibu langu la haraka sana Kwake lingekuwa naomba akimtuma Israeli Mtoa Roho kunitwaa rasmi niondoke / anitwae pia na Mpenzi wangu au Mchumba wangu au Mke wangu Mrembo kuliko Wanawake wote duniani kwani akiondoka na Mimi peke yangu Wanaume wengine watafaidi / watajifaidia sana.
Mada imefika mahala pake😀😀Elewa hoja mkuu mtoa Uzi kasema wazi iwapo Mungu angemuuliza wakuondoka nae .........Sasa mbona tunarudishana chekechekea Tena?
Hoja yake nimeielewa vizuri tu. Hoja yangu imetokana na hoja yake. We kama unarudi chekechea rudi peke yakoElewa hoja mkuu mtoa Uzi kasema wazi iwapo Mungu angemuuliza wakuondoka nae .........Sasa mbona tunarudishana chekechekea Tena?
Hukuwa na haja ya kuuliza swali Tena hapaHoja yake nimeielewa vizuri tu. Hoja yangu imetokana na hoja yake. We kama unarudi chekechea rudi peke yako
Kwa sasa ambapo bado upo hai una uhakika hao wanaume wengine hawafaidi?Mwenyezi Mungu angekuwa anatuuliza akitaka kutuchukua rasmi kutoka duniani tunataka nini GENTAMYCINE jibu langu la haraka sana Kwake lingekuwa naomba akimtuma Israeli Mtoa Roho kunitwaa rasmi niondoke / anitwae pia na Mpenzi wangu au Mchumba wangu au Mke wangu Mrembo kuliko Wanawake wote duniani kwani akiondoka na Mimi peke yangu Wanaume wengine watafaidi / watajifaidia sana.