Mungu anipe subra, nampenda mume wangu

Mungu anipe subra, nampenda mume wangu

Nyamwi255

JF-Expert Member
Joined
Dec 2, 2022
Posts
4,848
Reaction score
12,776
Asubuhi ya Leo nimerudi kazini nikiwa najiskia vibaya kweli..

Mume wangu ikabidi anisaidie kuniandalia chai wakati huo Mimi Niko chumbani

Wakati huo simu yake ilikuwa kwa dressing table
muda huo natoka washroom naskia mitetemeko nikawa nimeangalia nikaona kwa screen message 4 what's App za mtu alie m-save sabra mi nikapotezea kwasababu sunaga na sipendi kushika simu yake licha ya yeye kushika simu yangu mara kwa mara Tena muda mwingine anashinda nayo job
Ile nimekaa kidogo mara simu ikaita nikangalia nikakuta ni sabra anapiga vedeo call dah sjui kwann roho imeniuma
Ikabidi nifungue message alizotuma whatsAp nikakuta muda mfupi alimtumia mume wangu pics zipatazo nne na mume wangu aka comment et "woow wakubwa wanafaidi

Baadae sabra akatuma message anamuiliza mume nwangu kama aliajiliwa baada ya mume wangu kukaa kimya wakati muda huo ananiandalia chai ndo akatuma text akilalamika et mbona kimya unafanya nini![

dah sjui kwanini roho inaniuma

Hapa nilipo homa imeisha!!
Na sijazungumza chochote nipo sitting room naangalia seasons
Mungu ANIPE subra nampenda mume wangu
 
Back
Top Bottom