Mungu anipe subra, nampenda mume wangu

Mungu anipe subra, nampenda mume wangu

Kama hutokaa na jamaa kuongea naye kuhusu swala la Sabra basi utapata shida sana moyoni mwako. Itakutafuna
Ongea na mumeo mpaka moyo wako utakate kbsaa
 
Nakushauri ukae kimya usimwambie chochote maana akisikia ulichokiona huko ana haki ya kukushtaki mahakamani na unafungwa.

Ushauri:
wanandoa msipende kuchunguzana simu zenu.
 
si ndo wewe umeniambia kuleeee ndoa ni kustirika aseee😂, kumbe unataka tuumie wote,,,sitirika mwenyewe
Ndoa ni nzuri kama utaolewa na mtu sahihi shida kuu inayotesa wanawake wengi wanachukulia ndoa kama hisani au bahati ndio maana hawawezi kukataa kuolewa, kama ambavyo mwanaume anaumiza kichwa kufanya uamuzi wa kuoa na nyie kama wanawake lazima umuanalyze mpenzi wako kwa angle zote je anafaa kuwa husband material kabla ujafanya maamuzi ya kuolewa nae tatizo lenu mkimpenda mwanaume akili mnaiweka pembeni
 
ila ukifata mrejesho wa ndoa za watu wa humu hutakaa uitaman ndoa kamwe
 
Back
Top Bottom