Mtu mbalimbali
JF-Expert Member
- Sep 22, 2018
- 551
- 895
Hivi ndo aliaga anaenda honeymoon🤣🤣🤣Huyu ni @Nyimwa255 si juzi tu ameolewa. Ndoa Haina hata mwezi matimbwili tayari
Vitumbua nimeisha chukua kitamboChai...
Ndoa ni nzuri kama utaolewa na mtu sahihi shida kuu inayotesa wanawake wengi wanachukulia ndoa kama hisani au bahati ndio maana hawawezi kukataa kuolewa, kama ambavyo mwanaume anaumiza kichwa kufanya uamuzi wa kuoa na nyie kama wanawake lazima umuanalyze mpenzi wako kwa angle zote je anafaa kuwa husband material kabla ujafanya maamuzi ya kuolewa nae tatizo lenu mkimpenda mwanaume akili mnaiweka pembenisi ndo wewe umeniambia kuleeee ndoa ni kustirika aseee😂, kumbe unataka tuumie wote,,,sitirika mwenyewe
ila ukifata mrejesho wa ndoa za watu wa humu hutakaa uitaman ndoa kamweNdoa ni nzuri kama utaolewa na mtu sahihi shida kuu inayotesa wanawake wengi wanachukulia ndoa kama hisani au bahati ndio maana hawawezi kukataa kuolewa, kama ambavyo mwanaume anaumiza kichwa kufanya uamuzi wa kuoa na nyie kama wanawake lazima umuanalyze mpenzi wako kwa angle zote je anafaa kuwa husband material kabla ujafanya maamuzi ya kuolewa nae tatizo lenu mkimpenda mwanaume akili mnaiweka pembeni