Mungu anipe subra, nampenda mume wangu

ila ukifata mrejesho wa ndoa za watu wa humu hutakaa uitaman ndoa kamwe
Shida ya binadamu tunapenda kujumuisha mambo ndoa yake ikimshinda anachukulia ndoa zingine ni kama ya kwake
 
Wasaliti wote ndivyo walivyo kutenda watende wao lakini wakitendewa wanaumia sana.
Eti simu yangu yeye anaweza kushinda nayo kutwa nzima akaenda nayo kazini! Si unaweza kuwapanga watu wako wasikupigie wala kukutumia jumbe yoyote hadi utapoanza wewe.
 
Akikuudhi Mnoo Kwangu Mamii,,wala usiteseke Maisha yenyewe marefu haya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…