Kwa Mateso na Kifo Chake YESU hayo yote ya hapo juu yaliuwishwa pale Msalabani- sasa hivi ni Wewe na Mungu! Ubebi dhambi wala hukumu ya Mwingine na wala Watoto wako awarithi dhambi zako
Na kuna madeni mengine tunatengeneza sasa watakuja kulipa mpaka wajukuu wa wajukuu wetu.Kabsa kabsa; tunalipa madeni ambayo hatujawahi hata kuyakopa: inaumiza
"Life span" ya dhambi ni miaka mia 400.Itaendelea kuoperate mpaka kwenye uzao huo mpaka iexpire.Nilikuwa nafikiria Kwa nn? Usiadhibiwe Kwa kosa lako kipi kifanye adhabu ya mwengine iwaumize wengine
Ikiwa hawatoziacha njia zao mbaya. Ukizisoma hizo aya(aya na sio sentens fupi fupi) utagundua kuna kichagizo kiashiria cha hiyo adhabu itaendelea kwao hao waendeleao kuzitenda dhambi zilezile.haja ya kumpangia Mungu!! Kwann? Asingewapa laana hao hao waliofanya hizo dhambi yaani wazazi mpaka kuamishia laana kwa watoto na wajukuu nn? Kilimkwaza Mungu
Eeee Mungu usituangamize!!!
Ndio adhabu hiyo kwa sababu ni kosa kubwa kumwaga damu ya mwenzako. Ni adhabu kali ili watu wasiifanye.Nilikuwa nafikiria Kwa nn? Usiadhibiwe Kwa kosa lako kipi kifanye adhabu ya mwengine iwaumize wengine
Ati kama Adam alifanya dhambi enzi zake kwanini adhabu haikuishia kizazi chake cha nne halafu tunateseka sisi leo kizazi sijui cha milioni tano hukoNilikuwa nafikiria Kwa nn? Usiadhibiwe Kwa kosa lako kipi kifanye adhabu ya mwengine iwaumize wengine
Pole kwa ndugu zetu wakristo.Habari waugwana
Rejea kichwa cha mzizi;
Inanifikirisha kidogo na simpingi Mungu bali nahitaji msaada zaidi kwenye hili, Mungu anakazia katika biblia HESABU 14:18 BHN
View attachment 2503098
Tena kwenye KUTOKA 20:5 BHN
View attachment 2503099
Atawaadhibu watoto na wajukuu hadi kizazi cha tatu na cha nne kwa dhambi za wazazi wao
Hizi hadhabu kwa makosa ya wazazi wetu ni hadhabu gani? Na kwa makosa yapi? Hasa ya wazazi wetu!!!
Mtoto kuzaliwa tu na ulemavu na kupata tabu palee anapozaliwa mpaka kufa kwake- inaogopesha na kutia huruma
Kufa kifo kibaya kama kusagwa sagwa kwa kugongwa na gari kubwaa na kutoka kama chapati ilee hali ya mtu kutokukutambua wewe ni nan?
Kuwa na maisha magumu pindi unazaliwa mpaka kufa kwako yaani wewe chakula chako cha shida una pa kulala wala cha kuvaa mpaka unaiaga dunia!!
Kuzaliwa una jinsia mbili ya kike na yakiume na pengine zote zinafanya kazi au mojawapo ilimradi tu ufedheheke
Nb; nilitaka nijue kutoka kwenu wakuu, dhambi ipi hiyo Mungu anaichukia mpaka akaamisha laana kwa watoto mpaka wajukuu yaani mpaka kizazi cha tatu mpaka cha nne!!
Sina haja ya kumpangia Mungu!! Kwann? Asingewapa laana hao hao waliofanya hizo dhambi yaani wazazi mpaka kuamishia laana kwa watoto na wajukuu nn? Kilimkwaza Mungu
Eeee Mungu usituangamize!!!
Mungu wetu sisi alitaka yale maovu unayowafanyia watu wengine ukiona furaha na kujigamba yawapate na wanao na wajukuu zako kama unaona ni mazuri na wao wayavune.Pole kwa ndugu zetu wakristo.
Waislam hatuamini kabisa kwenye msingi wa dhambi ya kurithi, tunaamini kila mtu atabeba msalaba wake, kama unazini ni wewe mzinifu ndiye utakaeadhibiwa tena kwa dhambi hiyo hiyo ya kuzini, kama umeua ni wewe muuaji utahukumiwa kwa dhambi hiyohiyo ya uuaji.
Haiingii akilini kabisa kosa afanye babu adhabu aje aipate kitukuu ambae hata hamjui huyo babu mdhambi anafananaje. Huu ni uonevu wa hali ya juu sana.
Sasa mkuu hao wana na wajukuu wana kosa gani?Mungu wetu sisi alitaka yale maovu unayowafanyia watu wengine ukiona furaha na kujigamba yawapate na wanao na wajukuu zako kama unaona ni mazuri na wao wayavune.
Hawa wanaofanya maovu dhidi ya wenzao ni watu wenye nguvu hasa za kimamlaka na fedha. Na huwa wanadumu muda mrefu. Sasa Mungu hawezi kusubiri hadi wakati wa Kyama. Ikiwa hivyo watu watakuwa hawajifunzi. Ndio maana anataka awaadhibu hapa hapa. Na dhambi hiyo igawanywe kwenye uzao wako kama unaona ni nzuri basi waivune.Sasa mkuu hao wana na wajukuu wana kosa gani?
Sio kwamba ni ‘fair’ kama alitefanya ndio afanyiwe?
Wazazi wametubu kwaajyetuu