Mungu atawaadhibu kwa dhambi za wazazi wenu, hata kizazi cha tatu mpaka cha nne

Kila mmoja atahukumiwa kwa dhambi yake. Wewe unatakiwa kujiondoa kwenye chain kwa kuomba toba kwa Mungu kuhusu dhambi za mababu na wazazi. Pia mwombe Mungu asiwaadhibu watoto wako na kizazi Chako kwa dhambi yako. Omba akusamehe na asamehe uzao wako.

Nzuri hii mkuu
 
Pole kwa ndugu zetu wakristo.

Waislam hatuamini kabisa kwenye msingi wa dhambi ya kurithi, tunaamini kila mtu atabeba msalaba wake, kama unazini ni wewe mzinifu ndiye utakaeadhibiwa tena kwa dhambi hiyo hiyo ya kuzini, kama umeua ni wewe muuaji utahukumiwa kwa dhambi hiyohiyo ya uuaji.

Haiingii akilini kabisa kosa afanye babu adhabu aje aipate kitukuu ambae hata hamjui huyo babu mdhambi anafananaje. Huu ni uonevu wa hali ya juu sana.
Muhammad anakuweka sawa na kupotoka kwako

muhammad anasema kama sio dhambi za waisrael nyama zisinge oza na akasema kama sio dhambi za Eva wanawake wasinge toka nje ya ndoa
Muhammad said, "Were it not for Bani Israel, meat would not decay; and were it not for Eve, no woman would ever betray her husband."Sahih al-Bukhari 3399
 
Mungu humhukumu kila mtu kadiri ya matendo yake
1Neno la Mwenyezi-Mungu lilinijia: 2 “Kwa nini mnarudiarudia methali hii katika nchi ya Israeli:
‘Akina baba wamekula zabibu mbichi,
lakini meno ya watoto wao yakatiwa ganzi!’
3Lakini, kama niishivyo mimi Bwana Mwenyezi-Mungu, nasema kwamba methali hii haitatumika tena katika Israeli. 4Jueni kwamba uhai wote ule ni wangu, uhai wa mzazi na uhai wa mtoto. Yeyote anayetenda dhambi, ndiye atakayekufa.
5“Kama mtu ni mwadilifu, anafuata yaliyo haki na sawa, 6kama hashiriki tambiko za sanamu za miungu mlimani wala kuzitegemea sanamu za miungu ya Waisraeli, kama hatembei na mke wa jirani yake wala kulala na mwanamke wakati wa siku zake, 7kama hamdhulumu mtu yeyote, bali hurudisha rehani, kama hanyanganyi watu mali zao, bali huwapa chakula wenye njaa na kuwavalisha walio uchi, 8kama hakopeshi kwa riba, wala kujipatia ziada, kama hafanyi uovu wowote, ila anaamua kwa haki kati ya mdai na mdaiwa, 9 kama anafuata kanuni zangu na kutii sheria zangu kwa dhati, mtu huyo ndiye mwadilifu; naye hakika ataishi. Mimi Bwana Mwenyezi-Mungu nimesema.
10“Ikiwa mtu huyo ana mtoto mkatili au muuaji, 11mtoto huyo ambaye anafanya mabaya asiyofanya baba yake: Anakula tambiko zilizokatazwa huko mlimani, anamnajisi mke wa jirani yake, 12anawadhulumu maskini na fukara, anaiba, harudishi rehani, anaziabudu sanamu za miungu na kufanya machukizo, 13anakopesha kwa riba na kujitafutia ziada, je, mtoto huyo ataishi? La, hataweza kuishi. Kwa kuwa amefanya machukizo yote hayo, hakika atakufa, na yeye mwenyewe atawajibika kwa kifo chake.
14“Lakini kama mtu huyo akiwa na mtoto ambaye ameona dhambi alizotenda baba yake, lakini yeye hatendi mabaya hayo, 15hali tambiko zilizokatazwa huko mlimani, wala kuziabudu sanamu za miungu ya Waisraeli, hamnajisi mke wa jirani yake, 16hampunji mtu yeyote, hashiki rehani, hanyanganyi watu mali zao, bali huwapa chakula wenye njaa na kumvalisha aliye uchi, 17huepa kutenda uovu, hakopeshi kwa riba, wala kujitafutia ziada, huzifuata amri na maagizo yangu; huyo hatakufa kwa sababu ya uovu wa baba yake. Huyo ataishi. 18Lakini baba yake, kwa sababu alitoza bei isiyo halali na kumwibia ndugu yake, wala hakuwatendea ndugu zake wema, hakika atakufa kwa sababu ya uovu wake.
19“Lakini mnauliza, ‘Kwa nini mtoto asiadhibiwe kwa sababu ya dhambi za baba yake?’ Mtoto akitenda yaliyo ya haki na sawa, kama akiwa mwangalifu kuzingatia kanuni zangu zote, basi, huyo hakika ataishi. 20 Atakayetenda dhambi ndiye atakayekufa. Mtoto hatawajibika kwa uovu wa baba yake, wala baba hatawajibika kwa uovu wa mtoto wake. Uadilifu wa mwadilifu utamfaa yeye mwenyewe: Na uovu wa mwovu ataubeba yeye mwenyewe.
21“Kama mtu mwovu akiachana na dhambi zake zote alizotenda, kama akishika kanuni zangu zote, akatenda yaliyo ya haki na sawa, huyo hakika ataishi, hatakufa. 22Makosa yake yote aliyofanya hayatakumbukwa; kwa sababu ya uadilifu wake ataishi. 23Je, mimi Bwana Mwenyezi-Mungu, nafurahia kufa kwake mtu mwovu? La hasha! Mimi napendelea aachane na njia zake mbaya apate kuishi.
24“Lakini, mtu mwadilifu akiacha uadilifu wake, akatenda uovu na kufanya machukizo yaleyale anayofanya mtu mwovu, je, huyo ataishi? La! Matendo yake yote mema aliyotenda hayatakumbukwa tena; atakufa kwa sababu ya uasi na dhambi aliyotenda.
25“Lakini nyinyi mwasema, ‘Hicho afanyacho Mwenyezi-Mungu si sawa!’ Sikilizeni sasa, enyi Waisraeli: Je, ninachofanya mimi si sawa? Mnachofanya nyinyi ndicho kisicho sawa. 26Mtu mwadilifu akiacha uadilifu wake na kutenda uovu atakufa kwa ajili hiyo; atakufa kwa sababu ya uovu aliotenda. 27Lakini mtu mwovu akiachana na uovu aliofanya, akatenda mambo yaliyo haki na sawa, huyo atayaokoa maisha yake. 28Kwa kuwa amefikiri, akaachana na makosa aliyoyafanya, hakika ataishi; hatakufa. 29Lakini nyinyi Waisraeli mwasema, ‘Anachotenda Mwenyezi-Mungu si sawa!’ Enyi Waisraeli, je, ninachofanya mimi si sawa? Mnachofanya nyinyi ndicho kisicho sawa.
30“Kwa hiyo, mimi Bwana Mwenyezi-Mungu, nasema hivi: Nitawahukumu nyinyi Waisraeli, kila mmoja wenu, kulingana na mwenendo wake. Tubuni na kuachana na makosa yenu, yasije yakawaangamiza. 31Tupilieni mbali dhambi mlizonitendea; jipatieni moyo na roho mpya. Enyi Waisraeli, ya nini mfe? 32Sifurahii kifo cha mtu yeyote. Hivyo tubuni ili mpate kuishi. Mimi Bwana Mwenyezi-Mungu nimesema.”
Biblia Habari Njema kwa Watu Wote (Yenye Vitabu vya Deuterokanoni): Tafsiri ya Ushirikiano wa Makanisa (BHN): Hakimiliki -1995, 2001: kwa Chama cha Biblia cha Tanzania na Chama cha Biblia cha Kenya. Haki zote zimehifadhiwa.
Jifunze Mengi Kuhusu Biblia Habari Njema

Chunguza Ezekieli 18 kwa Mstari wa Biblia​

Encouraging and challenging you to seek intimacy with God every day.​

MINISTRY​

USEFUL LINKS​

A DIGITAL MINISTRY OF​

Kiswahili
© 2023 Life.Church / YouVersion

Vifungu vilivyohorodheshwa hapo tumevitoa kwenye kitabu mkuu hii imekaaje? Lile toleo limetoka wapi? Mkuu
Vifungu vyote hivyo ni Va agano la Kale-Yesu alikuja kuweka sawa mambo hayaa ya agano la kale.Na kwa Mateso Kifo ma Ufufuko wake. Mungu baba akasamehe na Kuwapa Binadamu wote Msamaha na Direct Link Kwenda Kwake na ata kumwomba yeye moja kwa moja. Na wote wanaomwamini Yesu Wamefanywa Kuwa Watoto wa Mungu wenye haki sawa Na Yesu ! So Laana, Mikosi na yote mabaya mengineyo hayana Nguvu kwa Anaemini katika Yesu
 
Muhammad anakuweka sawa na kupotoka kwako

muhammad anasema kama sio dhambi za waisrael nyama zisinge oza na akasema kama sio dhambi za Eva wanawake wasinge toka nje ya ndoa
Muhammad said, "Were it not for Bani Israel, meat would not decay; and were it not for Eve, no woman would ever betray her husband."Sahih al-Bukhari 3399
Hapo sijaona kuwa Mungu anatuadhibu kwa kuozesha nyama kisa WaIsrael, sijaona ati Mungu anawafanya KE wasaliti waume zao kisa Hawa.

Au wewe umeona wapi bwana Mokiti
 
Uelewe sheria na neema hutakuwa na shida na Hilo sisi kanisa siyo wayahudi
 
Mungu humhukumu kila mtu kadiri ya matendo yake
1Neno la Mwenyezi-Mungu lilinijia: 2 “Kwa nini mnarudiarudia methali hii katika nchi ya Israeli:
‘Akina baba wamekula zabibu mbichi,
lakini meno ya watoto wao yakatiwa ganzi!’
3Lakini, kama niishivyo mimi Bwana Mwenyezi-Mungu, nasema kwamba methali hii haitatumika tena katika Israeli. 4Jueni kwamba uhai wote ule ni wangu, uhai wa mzazi na uhai wa mtoto. Yeyote anayetenda dhambi, ndiye atakayekufa.
5“Kama mtu ni mwadilifu, anafuata yaliyo haki na sawa, 6kama hashiriki tambiko za sanamu za miungu mlimani wala kuzitegemea sanamu za miungu ya Waisraeli, kama hatembei na mke wa jirani yake wala kulala na mwanamke wakati wa siku zake, 7kama hamdhulumu mtu yeyote, bali hurudisha rehani, kama hanyanganyi watu mali zao, bali huwapa chakula wenye

Kitabu kinachanganya kwengine kinasema vyengine na pengine kinasema vyengine kama kinajipinga chenyewe ipo vipi? Hii
 
Kwa hiyo hiyo dhana haipo tena kupata laana ya wazazi

Kitabu elekezi kinaelezea kuwa bado ipo , sijui tukisikilize kitabu au tumsikilize nan? Na kama haipo kwa nn? Hicho kifungu kisinge futwa au kitabu kisinge endelea kutumika Na kitolewe kitabu kingine kitumike
 
Vifungu vyote hivyo ni Va agano la Kale-Yesu alikuja kuweka sawa mambo hayaa ya agano la kale.Na kwa Mateso Kifo ma Ufufuko wake. Mungu baba akasamehe na Kuwapa Binadamu wote Msamaha na Direct Link Kwenda Kwake na ata kumwomba yeye moja kwa moja. Na wote wanaomwamini Yesu Wamefanywa Kuwa Watoto wa Mungu wenye haki sawa Na Yesu ! So Laana, Mikosi na yote mabaya mengineyo hayana Nguvu kwa Anaemini katika Yesu

La agano la kale sawa

Cha ajabu makanisani kote wanatumia hayo maandiko na kwa kututisha zaidi yaani kana kwamba mambo bado yapo Kwa nn? Kisiachwe hicho kitabu kutumika?
 
Mungu humhukumu kila mtu kadiri ya matendo yake
1Neno la Mwenyezi-Mungu lilinijia: 2 “Kwa nini mnarudiarudia methali hii katika nchi ya Israeli:
‘Akina baba wamekula zabibu mbichi,
lakini meno ya watoto wao yakatiwa ganzi!’
3Lakini, kama niishivyo mimi Bwana Mwenyezi-Mungu, nasema kwamba methali hii haitatumika tena katika Israeli. 4Jueni kwamba uhai wote ule ni wangu, uhai wa mzazi na uhai wa mtoto. Yeyote anayetenda dhambi, ndiye atakayekufa.
5“Kama mtu ni mwadilifu, anafuata yaliyo haki na sawa, 6kama hashiriki tambiko za sanamu za miungu mlimani wala kuzitegemea sanamu za miungu ya Waisraeli, kama hatembei na mke wa jirani yake wala kulala na mwanamke wakati wa siku zake, 7kama hamdhulumu mtu yeyote, bali hurudisha rehani, kama hanyanganyi watu mali zao, bali huwapa chakula wenye njaa na kuwavalisha walio uchi, 8kama hakopeshi kwa riba, wala kujipatia ziada, kama hafanyi uovu wowote, ila anaamua kwa haki kati ya mdai na mdaiwa, 9 kama anafuata kanuni zangu na kutii sheria zangu kwa dhati, mtu huyo ndiye mwadilifu; naye hakika ataishi. Mimi Bwana Mwenyezi-Mungu nimesema.
10“Ikiwa mtu huyo ana mtoto mkatili au muuaji, 11mtoto huyo ambaye anafanya mabaya asiyofanya baba yake: Anakula tambiko zilizokatazwa huko mlimani, anamnajisi mke wa jirani yake, 12anawadhulumu maskini na fukara, anaiba, harudishi rehani, anaziabudu sanamu za miungu na kufanya machukizo, 13anakopesha kwa riba na kujitafutia ziada, je, mtoto huyo ataishi? La, hataweza kuishi. Kwa kuwa amefanya machukizo yote hayo, hakika atakufa, na yeye mwenyewe atawajibika kwa kifo chake.
14“Lakini kama mtu huyo akiwa na mtoto ambaye ameona dhambi alizotenda baba yake, lakini yeye hatendi mabaya hayo, 15hali tambiko zilizokatazwa huko mlimani, wala kuziabudu sanamu za miungu ya Waisraeli, hamnajisi mke wa jirani yake, 16hampunji mtu yeyote, hashiki rehani, hanyanganyi watu mali zao, bali huwapa chakula wenye njaa na kumvalisha aliye uchi, 17huepa kutenda uovu, hakopeshi kwa riba, wala kujitafutia ziada, huzifuata amri na maagizo yangu; huyo hatakufa kwa sababu ya uovu wa baba yake. Huyo ataishi. 18Lakini baba yake, kwa sababu alitoza bei isiyo halali na kumwibia ndugu yake, wala hakuwatendea ndugu zake wema, hakika atakufa kwa sababu ya uovu wake.
19“Lakini mnauliza, ‘Kwa nini mtoto asiadhibiwe kwa sababu ya dhambi za baba yake?’ Mtoto akitenda yaliyo ya haki na sawa, kama akiwa mwangalifu kuzingatia kanuni zangu zote, basi, huyo hakika ataishi. 20 Atakayetenda dhambi ndiye atakayekufa. Mtoto hatawajibika kwa uovu wa baba yake, wala baba hatawajibika kwa uovu wa mtoto wake. Uadilifu wa mwadilifu utamfaa yeye mwenyewe: Na uovu wa mwovu ataubeba yeye mwenyewe.
21“Kama mtu mwovu akiachana na dhambi zake zote alizotenda, kama akishika kanuni zangu zote, akatenda yaliyo ya haki na sawa, huyo hakika ataishi, hatakufa. 22Makosa yake yote aliyofanya hayatakumbukwa; kwa sababu ya uadilifu wake ataishi. 23Je, mimi Bwana Mwenyezi-Mungu, nafurahia kufa kwake mtu mwovu? La hasha! Mimi napendelea aachane na njia zake mbaya apate kuishi.
24“Lakini, mtu mwadilifu akiacha uadilifu wake, akatenda uovu na kufanya machukizo yaleyale anayofanya mtu mwovu, je, huyo ataishi? La! Matendo yake yote mema aliyotenda hayatakumbukwa tena; atakufa kwa sababu ya uasi na dhambi aliyotenda.
25“Lakini nyinyi mwasema, ‘Hicho afanyacho Mwenyezi-Mungu si sawa!’ Sikilizeni sasa, enyi Waisraeli: Je, ninachofanya mimi si sawa? Mnachofanya nyinyi ndicho kisicho sawa. 26Mtu mwadilifu akiacha uadilifu wake na kutenda uovu atakufa kwa ajili hiyo; atakufa kwa sababu ya uovu aliotenda. 27Lakini mtu mwovu akiachana na uovu aliofanya, akatenda mambo yaliyo haki na sawa, huyo atayaokoa maisha yake. 28Kwa kuwa amefikiri, akaachana na makosa aliyoyafanya, hakika ataishi; hatakufa. 29Lakini nyinyi Waisraeli mwasema, ‘Anachotenda Mwenyezi-Mungu si sawa!’ Enyi Waisraeli, je, ninachofanya mimi si sawa? Mnachofanya nyinyi ndicho kisicho sawa.
30“Kwa hiyo, mimi Bwana Mwenyezi-Mungu, nasema hivi: Nitawahukumu nyinyi Waisraeli, kila mmoja wenu, kulingana na mwenendo wake. Tubuni na kuachana na makosa yenu, yasije yakawaangamiza. 31Tupilieni mbali dhambi mlizonitendea; jipatieni moyo na roho mpya. Enyi Waisraeli, ya nini mfe? 32Sifurahii kifo cha mtu yeyote. Hivyo tubuni ili mpate kuishi. Mimi Bwana Mwenyezi-Mungu nimesema.”
Biblia Habari Njema kwa Watu Wote (Yenye Vitabu vya Deuterokanoni): Tafsiri ya Ushirikiano wa Makanisa (BHN): Hakimiliki -1995, 2001: kwa Chama cha Biblia cha Tanzania na Chama cha Biblia cha Kenya. Haki zote zimehifadhiwa.
Jifunze Mengi Kuhusu Biblia Habari Njema

Chunguza Ezekieli 18 kwa Mstari wa Biblia​

Encouraging and challenging you to seek intimacy with God every day.​

MINISTRY​

USEFUL LINKS​

A DIGITAL MINISTRY OF

Kiswahili
© 2023 Life.Church / YouVersion
Mkuu jitahidi kuacha aya ili usomaje uwe rahisi.
 
Hapo sijaona kuwa Mungu anatuadhibu kwa kuozesha nyama kisa WaIsrael, sijaona ati Mungu anawafanya KE wasaliti waume zao kisa Hawa.

Au wewe umeona wapi bwana Mokiti
Nyama zinaoza kwasababu ya dhambi za waisrael na wanawake wanatoka nje ya ndoa kwa sababu ya dhambi ya eva ,

Muhammad said, "Were it not for Bani Israel, meat would not decay; and were it not for Eve, no woman would ever betray her husband."Sahih al-Bukhari 3399

Ila muhammad alikuwa mjinga wa kiwango cha juu sana ,
 
Tubu,acha dhambi utakuwa salama,maelezo ya hiyo mistari ni kuwa Mungu huwa anasamahe dhambi,lakini kama hukutubu maana yake hatakusamehe,na hiyo dhambi itakwenda kwa watoto,mpaka kwa wajukuu n.k.,Kwahiyo ili uwe salama hupaswi kujua wazazi wako walitenda dhambi gani,bali tubu kwa ajili yako na wazazi wako,Mungu atakusamehe wewe na wazazi wako watabaki na dhambi yao kwakuwa hawakutubu walipokuwa hai...
 
Hivi kuna mzazi mwenye uwezo mkubwa kipesa na mwenye nguvu na anayewapenda sana watoto wake anaweza kujengea familia yake nyumba mfano wa dunia hii anbayo 99% ya viumbe ambavyo vilikuwepo vimetowe duniani kutokana na magonjwa, mafuriko ,ukame ,vimbunga ,njaa sizani mzazi mwenye uwezo mkubwa anaweza kuwajengea watoto wake vipenzi nyumba mbovu na hatari kama hii dunia. So mungu sio mwema kama tunavyozani au hana uwezo mkubwa kama tunavyozani.
 
Tubu,acha dhambi utakuwa salama,maelezo ya hiyo ,mistari ni kuwa Mungu huwa anasamahe dhambi,lakini kama hukutubu maana yake hatakusamehe,na hiyo dhambi itakwenda kwa watoto,mpaka kwa wajukuu n.k.,Kwahiyo ili uwe salama hupaswi kujua wazazi wako walitenda dhambi gani,bali tubu kwa ajili yako na wazazi wako,Mungu atakusamehe wewe na wazazi wako watabaki na dhambi yao kwakuwa hawakutubu walipokuwa hai...

Nilikuwa nakazia hata kama haujatubu dhambi ikuumize wewe tu, isiende Kwa watoto wako na wajukuu wako
 
Tubu,acha dhambi utakuwa salama,maelezo ya hiyo ,mistari ni kuwa Mungu huwa anasamahe dhambi,lakini kama hukutubu maana yake hatakusamehe,na hiyo dhambi itakwenda kwa watoto,mpaka kwa wajukuu n.k.,Kwahiyo ili uwe salama hupaswi kujua wazazi wako walitenda dhambi gani,bali tubu kwa ajili yako na wazazi wako,Mungu atakusamehe wewe na wazazi wako watabaki na dhambi yao kwakuwa hawakutubu walipokuwa hai...
Suala la kutubu dhambi za wazazi ambao wakati wanafanya pengine wewe hukuwepo ndilo tatizo letu hapa.

Mimi nasema hiyo siyo haki, kila mtu awajibike kwa dhambi zake.
 
Hivi kuna mzazi mwenye uwezo mkubwa kipesa na mwenye nguvu na anayewapenda sana watoto wake anaweza kujengea familia yake nyumba mfano wa dunia hii anbayo 99% ya viumbe ambavyo vilikuwepo vimetowe duniani kutokana na magonjwa, mafuriko ,ukame ,vimbunga ,njaa sizani mzazi mwenye uwezo mkubwa anaweza kuwajengea watoto wake vipenzi nyumba mbovu na hatari kama hii dunia. So mungu sio mwema kama tunavyozani au hana uwezo mkubwa kama tunavyozani.

Duuuh !!!! Mungu sio mwema kama tunavyozani? Mungu yupi hapo umemzungumzia mkuu
 
Hivi kuna mzazi mwenye uwezo mkubwa kipesa na mwenye nguvu na anayewapenda sana watoto wake anaweza kujengea familia yake nyumba mfano wa dunia hii anbayo 99% ya viumbe ambavyo vilikuwepo vimetowe duniani kutokana na magonjwa, mafuriko ,ukame ,vimbunga ,njaa sizani mzazi mwenye uwezo mkubwa anaweza kuwajengea watoto wake vipenzi nyumba mbovu na hatari kama hii dunia. So mungu sio mwema kama tunavyozani au hana uwezo mkubwa kama tunavyozani.
(For the sake of argument)
Kwani kuna ulazima gani Mungu kutuokoa na hayo madhila?

Kwani Mungu analazimika vipi kututhihitishia kuwa yeye ni muweza wa yote hasa kwa kuyaondoa haya tunayoyaona mabaya?
 
Back
Top Bottom