JumaKilumbi
JF-Expert Member
- Sep 7, 2022
- 432
- 507
Bado hiyo hadith haijadai kuwa mpaka leo nyama huoza sababu ya waIsrael, na wala haikutaja kuwa sababu ni DHAMBI za Waisrael kama unavyodai.Hauoni au unajifanya kutokuona ,
- Izo dhambi za waisrael zinakuhusu nini wewe mpaka nyama ioze mpaka leo?
Vipi kama imetaja wakati ule mahususi ambapo WaIsrael walikuwa jangwani wakashushiwa chakula na wakaambiwa wasihifadhi bali wale kinachowatosha, badala yake wakahifadhi na matokeo yake kikaoza?
Wapi pamesemwa ni kutokana na dhambi yake?
- na dhambi ya eva iinawahusu nini wanawake mpaka leo wanatoka nje ya ndoa?
Suala la mama yetu Hawa hadithi haijasema kimahsusi kutokana na dhambi yake, imesema tu “Isingekuwa Hawa Wanawake wasingewasaliti waume zao”
Vipi kama inamaanisha asingeumbwa Hawa wanawake wasingekuwepo, kutokuwepo kwao kungemaanisha kusingekuwa na ndoa, ambapo ingemaanisha kutokuwepo kwa usaliti kwa waume zao?
NB: Na hiyo ni kutokana na kibailojia kwamba ili watu wazaliwe ni lazima awepo ME na KE.
Na vipi kama inamaanisha tendo la Hawa kula tunda kule Eden linamaanisha ushawishi alokuwa nao Hawa kwa mumewe Adam, ambapo umerithishwa kijenetiki na kimazingira kwa KE wote. Sio siri tunafahamu Wake zetu wana ushawishi mkubwa kwetu na wengine ni wanautumia kufanya ulaghai?.
Kuhifazi ❌Muhammad said, "Were it not for Bani Israel, meat would not decay; and were it not for Eve, no woman would ever betray her husband."Sahih al-Bukhari 3399
Mpaka leo nyama zinaoza na imetubidi tumzuie Allah kwa kubuni frigi na njia zingine za kuhifazi nyama
Kuhifadhi ✅
Frigi ❌
Friji ✅
Si jokofu tu, Binaadamu walizikausha nyama kwa moshi na kuzihifadhi miaka mingi jokofu halijagunduliwa na hazikuoza haraka mkuu.
Ninachojaribu kusema ni kuwa hadith iko ‘vague’ hivyo inavutia tafsiri za kila namna, ktk muktadha huu ni lazima tuwaulize wataalam wa somo hili la hadith kutupa ufafanuzi.