Mungu atuepushe na matatizo ambayo pesa haiwezi kutatua

Ndiomaana baadhi ya team kubwa hunyang'anya wachezaji wao simu zinapokaribia mechi ngumu (hasa derby), wachezaji wa Yanga Sc wakipita hapa majukwaani lazima wajione ni washindi hata kabla ya mechi.

Pigeni sana midomo, andikeni sana, a siku hiyo..[emoji1]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa jumapili usipakimbie hapa jukwaani sawa mkuu
 
Ndiomaana baadhi ya team kubwa hunyang'anya wachezaji wao simu zinapokaribia mechi ngumu (hasa derby), wachezaji wa Yanga Sc wakipita hapa majukwaani lazima wajione ni washindi hata kabla ya mechi.

Pigeni sana midomo, andikeni sana, a siku hiyo..[emoji1]

Sent using Jamii Forums mobile app
Hayo mambo ya kizamani wachezaji walikua wanauza sana mechi ndo maana hata kambi zao zilikua zinafichwa huko maporini, ila sasahivi mambo yamebadilika hakuna hizo issue za kupokony'wa simu
 
Mara mbili mfululizo nyinyi ndio mmekuwa mkipakimbia humu, tulivyowapiga mbili, na baadae kuwanyang'anya ngao.

Sotegemei chochote kipya kutoka kwenu..!
Sawa subiria jumapili mtani wangu
 
Hayo mambo ya kizamani wachezaji walikua wanauza sana mechi ndo maana hata kambi zao zilikua zinafichwa huko maporini, ila sasahivi mambo yamebadilika hakuna hizo issue za kupokony'wa simu
Mambo ya kizamani kwa usasa upi uliopo kwenye mpira kwenye nchi ya kijinga na kishamba kama hii.? Team kama Ahly, Raja, na nyinginezo ambazo zinafanya hivyo, tumezizidi nini katika usasa wa mpira.?

Tusema tu kuwa hatuna huo uwezo wa kuwaamuru hivyo wachezaji wa kigeni tunaosajili.
 
Back
Top Bottom